Jibu hoja bro ukifafania vizuri huenda tukaona nuru tukaamua kujiunga na dini ya haki.Inahusika vip na mada [emoji23]yaani chuki mpk mnachanganyikiwa [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu hoja bro ukifafania vizuri huenda tukaona nuru tukaamua kujiunga na dini ya haki.Inahusika vip na mada [emoji23]yaani chuki mpk mnachanganyikiwa [emoji23][emoji23]
Cha upekee ni nini?maana London ina matajiri wengi kutoka urusi wmewekeza pesa ndefu saana,Trocadero Ilijengwa mwaka 1896, ni mojawapo ya majengo ya burudani maarufu zaidi ya London
Tajiri Asif Aziz anajenga msikiti huo wa gorofa tatu ndani ya jengo la Trocadero
Msikiti huo ambao utakuja kuitwa 'Piccadilly Prayer Space' utafunguliwa ndani ya miezi kadhaa.
Iakini upango huo umepata Wakosoaji kadhaa ndani na nje ya uislamu wamehoji ikiwa inafaa kujengwa msikiti katika eneo lililojaa baa za kuwenyea pombe, night clubs, na kumbi za mashoga ambazo zote haziendani na Uislamu na zinachukuliwa kama ni dhambi.
Bw Aziz mzaliwa wa Malawi, ambaye anamiliki utajili wa zaidi ya Pauni 2 bilioni na alinunua Trocadero kwa zaidi ya pauni milioni 220 mwaka 2005, anaanzisha msikiti huo kupitia ufadhiri wake wa Aziz Foundation.
Aziz Foundation ilisema msikiti huo utahudumia Waislamu wanaofanya kazi katika eneo hilo, pamoja na wale wanaotembelea London kama watalii
Msikiti huo takuwa na uwezo wa kubeba watu 390
Mapendekezo ya hapo awali yalikuwa kujenga msikiti wenye uwezo wa kubeba watu 1,000 lakini uliondolewa mnamo 2020 kufuatia upinzani kutoka kwa wakazi wa eneo hilo lakini Pia na vikundi vya Watu wenye mrengo wa kulia.
Sina tatizo na komenti yako hii, shida ni ileMkuu mahakama izo zinaendeshwa kidini .na hii nchi serikali haina dini
Adhana Ulaya?Ma Shaa Allah, adhana itasikika mpaka piccadilly circus.
Kama umefika London, Uingereza utanielewa nasema nini.
Kwamba wewe na waislamu wenzio ndo mnajua elimu na mmeelimika.Elimu ipi?Hii ya mabikra 72?Kuna kipindi huwa nikiangalia unavyoboast kuhusu elimu nacheka sana.Sitaki kuongea sana ila ukiniletea masheikh kumi PhD holders wa elimu ya dunia mimi nitakuletea mapadre Elfu moja PhD holders kutoka shirika la.wabenedikti TanzaniaUsilete vichekesho, kuna anaeijuwa elimu zaidi ya Muislam? Kuna anaeijuwa afya zaidi ya Muislam?
Hayo maneno "elimu" na "afya" bila kuletewa na Waislam usingeyajuwa leo hii. Kumbuka hilo.
Vipi wewe ukienda chooni huchambi?
Naturally waislam si wasomi wala wavumbuzi hata ile islamic golden age wavumbuzi wakubwa walikuwa ni wakristo waliolazimishwa kusilimu kuokoa maisha yao.Ushahidi upo na nature ya uvumbuzi na.teknolojia hata leo ina wenye nayo na hawajisifuHivi kumbe haujui waislamu ndio walionzisha universities (sio mdrasa ni chuo kikuu) na ndio tulikuwa mbele kielimu kwenye medicine tulikuwa na Abu Ali Ib NNn Sina knowledge yake bado unaendelea kutumika since the invention, kwenye physics wakina Al Biruni na Abuul Fath Al-Khazni tayari walishakwisha ichambua Density na kinetic energy kwenye vitabu vyao,
Hata uvumbuzi wa LAWS OF MOTION wa Isaac Newton sio kitu kipya kwenye ulimwengu WA kiislamu, LAWS zote tatu zlikuwepo kwenye vitabu vya uislamu Kabla yake ,Hata ugunduzi wa awali WA ndege ulianza Kwa kutengeneza flying machine Abbas Ibn Firnas ndio anayetambulika kama father of flying machine , lakin credit akaja kupewa Da Vinci
Bado sijagusa kwenye elimu ya anga we explored since since 7 century, mathematics kuna kina algebra, chemistry waislamu ndio wagunduzi wa vifaa upasuaji , optical pamoja na Idea ya ugunduzi wa camera ilianzia Kwa al-Haytham etc etc....etc
Wazungu ndio waliokuwa wanenda Spain na Baghdad kuchukua elimu kwa uislamu Kabla ya wacrusade na Mongolian kutufanyia uharibifu ,
Hata hayo majoho wanayoyavaa wakati WA kuhitimu chuo yametokana na mavazi ya kiarabu 'Robe'
Inferiority complexitiesIli tuelewane nikubaliane na yote haya uliyoandika hapa.
Sasa swali langu waliofanya haya ni dini au ni watu individual?
Mbona Da Vinci hujamtambulisha kwa dini yake wala Newton?
Tukiwaita wajinga mtasema tunawatukana sasa tuwaite jina gani, matutusa?
Europe ikishakuwa islamized mnachukua credit za wasomi wazungu kusema.ni maendeleo ya uislamu.We want to islamalized the Europe.
-Tunaingia Europe
-Tunazaliana sana
-Tukishakuwa wengi tunadai haki zetu
-Tunanunua makanisa yao na majengo yao tunageuza misikiti
-Tunaspread uislamu
Europe will be islamalized inshallah
Marekani Warusi wako powerful kiuchumi na madeal, sasa ingekuwa ndio Waarabu hawa waislamu mbuzi wa kwa Mtoro kariakoo sijui ingekuwaje?Cha upekee ni nini?maana London ina matajiri wengi kutoka urusi wmewekeza pesa ndefu saana,
Sasa huyo Islam kujenga msikiti London,cha upekee ni kipi?au kwa sababu Islam kapata nafasi ya kujenga msikiti ndani ya nchi ya kikristo?
Kule wanakimbia Sharia.😀😀Halafu ikishakuwa?
Kuna serikali ya Kiislam Iran na Afghanistan. Mbona hamukimbilii kuishi huko badala yake mnapakimbia?
Kabla ya kushauri Wakristo wasiwachukie waislamu hebu tupe tafsiri ya makafir ni watu gani kwenye Quran?Tatizo nyie wakristo mnawachukia waislamu bure tu bila kujua dini yao kwa hakika. Unasikiliza media ambazo zinamilikwa na west ambazo agenda zao kubwa ni kuumaliza uislam na mengine mnaambiwa na viongozi wenu huko kwenye nyumba za ibada na nyinyi mnaamini tu bila kufanya utafiti.
Hebu chukua Quran usome mwenyewe uone kama hayo yanayosemwa ni kweli? utajikuta unajilaumu kwa kufuata mkumbo wa kuwachukia waislam bure tu. Nawasihi tumieni akili zenu ndugu zetu msifate mkumbo. Do your own research
Hata sasa Bakwata inahudumiwa na serikali, hatuna shida na hilo, Bakwata ni tawi la Ccm.Yaani kodi nilipe kumhudumia sheikh una akili wewe?
Waislamu wapende na waheshimu pia Uwaombee sana , hawajui walifanyalo ni nini, hawajui ukweli hawajajifunza ukweli,!!!Ukisoma historia ya dini, Issa sio Yesu. Ni obvious hilo liko wazi.
Ni waislamu walijaribu kutaka kuhusisha uislamu na yesu angalau kutafta relevance ila ukisoma Quran na Biblia ni vitabu vimeandikwa na viumbe 2 tofauti.
Haiwezekani Mungu akamtuma Yesu aje kufundisha habari njema za upendo na kupendana, msamaha na kusameheana, kujaliana, kutokulipa kisasi kua na huruma nk halafu ghafla Mungu akamtuma Mohamed aje kutangaza mauaji, kuua watu, kubaka watoto, kulawiti watu nk.
Mungu wa kwenye Quran ni Mungu ambae kama amechanganyikiwa, yuko very frasturated, amevurugwa na maisha, amejaa visasi, hana huruma, hana msamaha, God of no mercy. Mungu wa kulazimisha watu wakubaliane na hoja zake za kitaahira ukikataa anataka uuwawe nk.
Unalipa kodi kiasi gani kwa mwaka?Yaani kodi nilipe kumhudumia sheikh una akili wewe?
Kabla sijajibu hoja yako Naomba kwanza nitajie hao wavumbuzi waliolazimishwa(as you claimed) , pengine sijui vizuri history or I have been brainwashed.Naturally waislam si wasomi wala wavumbuzi hata ile islamic golden age wavumbuzi wakubwa walikuwa ni wakristo waliolazimishwa kusilimu kuokoa maisha yao.Ushahidi upo na nature ya uvumbuzi na.teknolojia hata leo ina wenye nayo na hawajisifu
That will happen insha'Allah .Tukitoka England tunaingia Italy [emoji634]
ni Islamization of Europe
Hakuna anayebisha Kwa hilo ni kweli hawa ni Yesu wawili tofauti kabisaUkisoma historia ya dini, Issa sio Yesu. Ni obvious hilo liko wazi.
Ni waislamu walijaribu kutaka kuhusisha uislamu na yesu angalau kutafta relevance ila ukisoma Quran na Biblia ni vitabu vimeandikwa na viumbe 2 tofauti.
Haiwezekani Mungu akamtuma Yesu aje kufundisha habari njema za upendo na kupendana, msamaha na kusameheana, kujaliana, kutokulipa kisasi kua na huruma nk halafu ghafla Mungu akamtuma Mohamed aje kutangaza mauaji, kuua watu, kubaka watoto, kulawiti watu nk.
Mungu wa kwenye Quran ni Mungu ambae kama amechanganyikiwa, yuko very frasturated, amevurugwa na maisha, amejaa visasi, hana huruma, hana msamaha, God of no mercy. Mungu wa kulazimisha watu wakubaliane na hoja zake za kitaahira ukikataa anataka uuwawe nk.
Mnasubiri mzaliane ulaya muwe wengi muanzishe vikundi vya Kigaidi kama cha kule Kibiti halafu muanze kuripua maghorofa ya watu huko ulaya Mkisilimisha watu kwa upanga.Hivi unaamini wazungu ni wajinga kiasi hicho?