RealixT JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 1,547 Reaction score 2,751 Jul 26, 2023 #122 FaizaFoxy said: Wewe kilichokuumiza ni hiyo "Muislam" tu? Hiyo ndiyo ukisikia "Islamophobia". Jina tu Uislam linawatia uoga na taharuki. Hakika Uislam ni mwema sana. Mashetani utayajuwa tu. Click to expand... Halitutii uoga ni jina la YESU pekee
FaizaFoxy said: Wewe kilichokuumiza ni hiyo "Muislam" tu? Hiyo ndiyo ukisikia "Islamophobia". Jina tu Uislam linawatia uoga na taharuki. Hakika Uislam ni mwema sana. Mashetani utayajuwa tu. Click to expand... Halitutii uoga ni jina la YESU pekee
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Jul 26, 2023 #123 RealixT said: Halitutii uoga ni jina la YESU pekee Click to expand... 4 Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye. 5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
RealixT said: Halitutii uoga ni jina la YESU pekee Click to expand... 4 Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye. 5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.