Uchaguzi 2020 Bilionea Nabii Shilla ajitosa kumkabili Lijualikali jimbo la Kilombero kupitia CHADEMA

Nimempenda na namuheshimu sana huyu jamaa kwa maamuzi yake kutaka kugombea "jimbo la vijana" kupitia upinzani. Ukweli ni kwamba natamani kuona ccm inapata changamoto na wasidhani wao ndo wamiliki wa kila kitu hapa nchini.
 
Huyu hajachanganya dini na siasa wandugu? Mbona naona comment nyingi tofauti na alivyotangaza nia Gwajima? Tuache unafki kwenye nyeusi tuseme nyeusi haijalishi ni upande gan!
Kwani huyu ni mzinzi Kama Gwaji??
 
Hapo ndo watampopoa vibaya mno. Aendeleee kutoa huduma ya neno tu kwa waumini wake siasa mchezo mchafu sana.
 
Mbona Kama nahisi tofauti
Isije ikafika mwishoni tukaambiwa mtu amejitoa kwenye uchaguzi.
Nina wasiwasi na Huyu Shila
 
Kabisa mkuu hapa cdm ndo wanapofeli huyu jamaa amekua close Sana na Bashite 3 month ago amekua akishiriki sijui wale viongoz wa dini wa cm kumwombea jiwe inshort ni amepandikizwa na ccm ili avuruge cdm wasipate mgombea makini
 
Kwahiyo huyu yeye hachanganyi dini na siasa kama Gwajima?
Hoja mfu kabisa hii.. kwa hiyo siasa ni ya wapagani pekee??

Hivi akina Nabii Musa, Daudi, Sulemani, Samweli, Daniel, nk ambao walikuwa watumishi pia viongozi wa jamii hapohapo walikosea??
 
Huyu snitch kama lijuakali. Chadema wakimpitisha huyu ni sawa na kumpa ubunge mwana CCM
 
Ata akishinda ni tume gani itakayodiriki kumtangaza kama mshindi?? Je kuna mabadiliko yoyote yaliyofanyika tangu kutokea kwa yale ya kinondon, ukonga etc, tunazidi kujidanganya kama watoto wadogo, kwa hali ilivyo sasa wabunge wa upinzani wakizidi watano bungeni kwenye huu uchaguzi ulio mbele najitoa rasmi jf.
 
Kabisa mkuu hapa cdm ndo wanapofeli huyu jamaa amekua close Sana na Bashite 3 month ago amekua akishiriki sijui wale viongoz wa dini wa cm kumwombea jiwe inshort ni amepandikizwa na ccm ili avuruge cdm wasipate mgombea makini
Ni kweli kabisa
 
Mpigeni chini huyo dogo ni msanii tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…