Uchaguzi 2020 Bilionea Nabii Shilla ajitosa kumkabili Lijualikali jimbo la Kilombero kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Bilionea Nabii Shilla ajitosa kumkabili Lijualikali jimbo la Kilombero kupitia CHADEMA

Ifikie hatua hata kama ndiyo uhuru wa kuandika muwe na adabu, huwezi kulinganisha mfumo wa kishetani (Demokrasia) na nidhamu za Mola katika kuwakomboa wanadamu na kuwaadabisha.

Uhuru usio na mpaka ni utumwa wa kujitakia.
Huna lolote wewe !
 
CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania


Mungu anapenda walevi na waongo??---- eti kavamiwa na wasiojulikana!!!🤣🤣.

What the fabrication!!!, Looking for a political mileage and a public sympathy , shame on him.
 
Kule Gwajima anapondwa kwa kutia nia akiwa kiongozi wa dini, huku kwa nabii watu cheko. Siasa hizi!!
Umeonaee ujue hapo swala sio kugombea swala ninani anagombea na anaiffect vipi kwenye jamii wanamuogopa Gwajima hawana lolote
 
Siasa ni kama indicator muda wowote hubadilika rangi. Kwa makaribisho yale pale kilosa wiki mbili zilizopita na ninachokishuhudia hapa Kilombero mchuano wa 2020 yeyote anaweza kuchukua kombe...

Morogoro is still Red and blue...
 
Huyu jamaa ni CCM na sijui kama Chadema watampitisha. CCM kabisa hata zile mikusanyiko yake wanakuwepo kijani wa kutosha na influence zao.
 
Ila huyu shillah ni msanii msanii hivi, anawachora cdm!
Mimi si nzi wa kijani na wala haitokaa niwe upande huo lakini huyu shillah simkubali hata kidogo!
...anafuta umaarufu, hachelewi kubadilika ndani ya dakika 5 huyo!
Ni jamaa mmoja tu alimtamkia gombea ubunge, hajawahi kuwaza kugombea hapo kabla!
Ni kama mapadlock!

Huyu hana tofauti na Gwajima kwa usanii na hata akipata ubunge ataunga mkono juhudi kama lijuakali.
 
Back
Top Bottom