Uchaguzi 2020 Bilionea Nabii Shilla ajitosa kumkabili Lijualikali jimbo la Kilombero kupitia CHADEMA

Uchaguzi 2020 Bilionea Nabii Shilla ajitosa kumkabili Lijualikali jimbo la Kilombero kupitia CHADEMA

Mkuu Huyo gwajima Jau sana ukitaka kuamini kasali pale ata miezi miwili utaelewa ukitaka kuacha
Binafsi sinaga muda kwenda kwenye hivyo vijiwe ambavyo wenyewe wanaita makanisa! maana najua ni ushirikina tu! kwa namna jiwe alivyo mwoga wa uchaguzi na anavyotamani atawa cccm peke yake Gwajima atakuwa amehakikishiwa kupitishwa na hata kura zisipotosha zitajazilizwa!
so tunaweza kuona bunje lijalo litakuwa la namna gani! ikiwa mwaka huu
watu wenye akili tumelidharau bunge la nduGUY lijalo ndio litakuwa majanga kabisa waliotuletea huu mkosi wameimosea sana Nchi
 
Wabunge wanaoishi makwao labda wa kaskazini. Ila mikoa mingine utakuwa unawaonea.
sasa hilo ni tatizo, maana mbunge anatakiwa awepo vikao vya halmashauri ya wilaya ama manispaa aliyopo pia vikao vya bunge katika mwaka, sasa mbunge huyu anapata wapi muda wa kuja Dar????!!!! ndio maana sasa kama mtu anajiona hawezi kuishi huko anakotangazia nia basi isiruhusiwe kuwa hivyo , watangaza nia wabakie wakazi wa eneo husika
 
Sioni kama ni kigezo kizuri cha kumpima Mbunge. Kwani hao ambao wanaishi kwenye majimbo yao, imewafanya wawe na ufanisi kiasi gani?
 
Binafsi sinaga muda kwenda kwenye hivyo vijiwe ambavyo wenyewe wanaita makanisa! maana najua ni ushirikina tu! kwa namna jiwe alivyo mwoga wa uchaguzi na anavyotamani atawa cccm peke yake Gwajima atakuwa amehakikishiwa kupitishwa na hata kura zisipotosha zitajazilizwa!
so tunaweza kuona bunje lijalo litakuwa la namna gani! ikiwa mwaka huu
watu wenye akili tumelidharau bunge la nduGUY lijalo ndio litakuwa majanga kabisa waliotuletea huu mkosi wameimosea sana Nchi
Hii nchi acha tu vijana kibao wapo CCM kusaka vyeo tu njaa mbaya sana
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Peter Lijualikali apata mpinzani Kilombero naye si mwingine ni Nabii Bilionea Daniel Shilla.

Nabii Shilla ametangaza rasmi nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Kilombero kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA).

"Maendeleo hayana chama".

Wimbo wa Sholomwamba akimnadi Nabii Shilla ubunge Kilombero

Akimuonya Lijualikali na Gwajima

Kupatwa kwa wagombea
 
Chadema nao wawe makini na huyu kiumbe, atakuja fanya kitu chenye hawataamini
 
Subpost 3 - _Akili kichwani........Yesu moyoni........ Pesa mfukoni!_ . Nimeipen ( 800 X 640 ).jpg
Subpost 2 - _Akili kichwani........Yesu moyoni........ Pesa mfukoni!_ . Nimeipen ( 799 X 640 ).jpg
Subpost 1 - _Akili kichwani........Yesu moyoni........ Pesa mfukoni!_ . Nimeipen ( 800 X 640 ).jpg

Mwanzo Lijuakali alipokuwa anaomba kazi za usafi kwenye maliwato ya CCM Lumumba huku akimwaga chozi sikumuelewa.

Lakini baada ya kujitokeza hadharani kwa huyu kamanda Shilla nimeelewa kwanini Lijuakali aliamua kuomba kazi ya usafi CCM.
 
CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania kama alivyokuwa Mussa kwa wana wa Israeli.

Na uzuri hakuna ombwe,akituko huyo, anaingia yule.

Ikiwapendeza, na huyu mumuchuke(kama naye atakubali kuuza utu wake) ingawa keshaweka wazi kuwa yeye hana njaa, ila mjue bado watakuja wengine mpaka siku mgundue kuwa mnatwanga maji kwenye kinu.

The end justifies the means-hamahama ni siasa zilizofeli, na mwisho wake umethibitisha hivyo.
 
Huyu Dogo ana akili..hata ukimuangalia na kumsikiliza..kaona fursa ilipo(ujinga wa watz wengi) nae anapita humohumo.
 
Back
Top Bottom