Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,010
- 6,678
Yeye amefanya kwa watoto wa Ukrain wewe fanya kwa hao ambao yeye hakuwaonaSiasa hiziiii,
Yaani ameona watoto wa Ukraine tu,
Drc,libya, Syria, car, yemen nk nk?
Huko kote ni wanyama?
Sipingi alichofanya kwani ni jambo jema ila huku kwingineko hakuona?
Natamani sana ila tatizo uwezo,Yeye amefanya kwa watoto wa Ukrain wewe fanya kwa hao ambao yeye hakuwaona
Sasa wewe unampangia afanye unachopenda wewe? tafuta uwezo kama yeye iliufanye unachotamani sio kupangia watu wafanye unavyotamani weweNatamani sana ila tatizo uwezo,
Halafu pia jitahidi kuelewa kwanza kilichosemwa
Wasingetuhabarisha humu,Sasa wewe unampangia afanye unachopenda wewe? tafuta uwezo kama yeye iliufanye unachotamani sio kupangia watu wafanye unavyotamani wewe
Kwani ndio putin kwa vikwazo vitakapombana pumzi haitomkata?Wasingetuhabarisha humu,
Lengo la kuletwa humu ni kujadili,
Ukiwa dikteta huwezi kubali maoni ya wengine,
Namshauri putin aendelee kuzalisha wahanga wengi,
Tuone watu watakavyojitolea mpaka pumzi ikateš¤£
Wizi. Baada ya kuporomoka kwa Ukomunisti, viwanda na makampuni yote yalifiisika. Mali ya umma ikauzwa kwa visenti (kidogo kama mwisho wa Ujamaa katika TZ, ila mara 1000 kadhaa). Aliyekuwa na akili, ujanja au hasahasa marafiki katika siasa alijipatia kipande kikubwa. Hasa wale waliopata mali katika sekta za mafuta na gesi walitajirika sana, lakini pia wale wenye uwezo kutoa huduma. Wananchi wengi walibaki maskini. Sehemu ya wananchi, hasa kwenye maeneo ya vijijini, bado wanaishi kama zamani. Asilimia 20 ya makazi hakuna vyoo ndani ya nyumba.urrusi ina mabilionea wengi sijapata kuwahi kuelewa kwa kweli wale watu wakoje ?