Bilionea wa Urusi auza medali yake ya Nobel Prize kwa dola milioni 103 kusaidia watoto yatima na wakimbizi wa Ukraine

Bilionea wa Urusi auza medali yake ya Nobel Prize kwa dola milioni 103 kusaidia watoto yatima na wakimbizi wa Ukraine

Putini akisikia hivi kwa watu wake kuisaidia Ukraine lazima huhusi choo kile chemba chembamba cha mara kwa mara
 
Sasa wewe unampangia afanye unachopenda wewe? tafuta uwezo kama yeye iliufanye unachotamani sio kupangia watu wafanye unavyotamani wewe
Wasingetuhabarisha humu,
Lengo la kuletwa humu ni kujadili,
Ukiwa dikteta huwezi kubali maoni ya wengine,
Namshauri putin aendelee kuzalisha wahanga wengi,
Tuone watu watakavyojitolea mpaka pumzi ikate🤣
 
Wasingetuhabarisha humu,
Lengo la kuletwa humu ni kujadili,
Ukiwa dikteta huwezi kubali maoni ya wengine,
Namshauri putin aendelee kuzalisha wahanga wengi,
Tuone watu watakavyojitolea mpaka pumzi ikate🤣
Kwani ndio putin kwa vikwazo vitakapombana pumzi haitomkata?
 
urrusi ina mabilionea wengi sijapata kuwahi kuelewa kwa kweli wale watu wakoje ?
Wizi. Baada ya kuporomoka kwa Ukomunisti, viwanda na makampuni yote yalifiisika. Mali ya umma ikauzwa kwa visenti (kidogo kama mwisho wa Ujamaa katika TZ, ila mara 1000 kadhaa). Aliyekuwa na akili, ujanja au hasahasa marafiki katika siasa alijipatia kipande kikubwa. Hasa wale waliopata mali katika sekta za mafuta na gesi walitajirika sana, lakini pia wale wenye uwezo kutoa huduma. Wananchi wengi walibaki maskini. Sehemu ya wananchi, hasa kwenye maeneo ya vijijini, bado wanaishi kama zamani. Asilimia 20 ya makazi hakuna vyoo ndani ya nyumba.
1656419324072.png

Jisomee: Indoor Plumbing Still a Pipe Dream for 20% of Russian Households, Reports Say - The Moscow Times
 
Back
Top Bottom