Tetesi: Bilioni 1.9 zaibwa CHADEMA, Wingu zito latanda. Wabunge wagoma kuchangia chama

Status
Not open for further replies.
Majibu kwa nani? Hebu kuwe na seriousness japo kidogo. Majibu kwa kila MTU anaejitafutia bk7? Kama ana vielelezo apeleke policcm, tena watavichangamkia sana.
Kwa hyo yote yatakayoandikwa Na upinzani kuwahusu ccm kipindi hiki tuchukulie Ni propaganda za uchaguzi? Dawa Ni kutoa majibu mkuu
 
Kuna mwenye ubavu wa kumhoji mwenyekiti?
 
Lumumba buku 7 mnaanzisha mada ya kizushi afu mnaitana kuja kuharisha hapa nani kabaini huo wizi na taarifa imetoka wapi zaid kama sio kwa ndugai
 
Halafu kuna wapumbavu wengi hapo wameaminishwa chama huendeshwa kwa pesa binafsi za Mbowe,mara anakikopesha chama.

Kutegemea et hao jamaa wakishika dola kutakuwa na jipya ni zaidi ya ukichaa.
 
Kwani Mwenyekiti na mhazini ni wenyeji wa wapi?
 
Yani CHADEMA ya sasa haina maana kabisa muda wa kufanyika kwa uchaguzi kwa mujibu wa kalenda ya Chama umeshapita na Mbowe hataki kabisa kuitisha uchaguzi labda kwa sababu anahofia madudu yake kubainika.
Mpaka hapa umeshamaliza kabisa,kumbe tatizo siyo kuibiwa kwa pesa tatizo ni uwenyekiti wa Mbowe.
 


CHADEMA wamejikuta wakipoteana mara baada ya mwanachama maarufu katika mtandao wa Twitter Kigogo2014 kuwalipua CHADEMA kwa ufujaji na wizi wa mabilioni ya fedha.

Mwanzoni ndugu Kigogo2014 alipata umaarufu miongoni mwa vijana wa BAVICHA mara baada ya ku tweet leaks mbalimbali ambazo mara nyingi amekua akizipata kwa media House mbalimbali zinapoalikwa Ikulu, Ujanja huu umeaminisha wengi eti anazipata habari ndani ya Idara iliyotukuka yaani TISS.

Moja ya uongo wake wa hivi karibuni ni ule wa Kipilimba kuandaliwa hati ya mashtaka 97 ikiwemo uhujumu uchumi na pia amekamatwa.

Kutokujielewa kwa BAVICHA kumepelekea kumuamini Kigogo2014 Kama mtabiri sasa amewalipua na Pro CHADEMA kama akina Yericko Nyerere wameamua kuanika yote aliyokua akichati na Kigogo mara baada ya kukerwa na ukweli alioutoa Kigogo2014 kuhusu CDM.

Kutokana na Kuishiwa kwa hoja na kupitwa na Wakati Wanachama wengi wa CHADEMA wamekua wakitumia hoja dhaifu za kwenye mitandao ya kijamii kama kipooza maumivu (pain Killer). Ukweli unabakia palepale propaganda za Kigogo2014 haziwezi kuipa CHADEMA unafuu wowote kama ilivyokua kwa Dada wa Taifa Mange Kimambi ambaye mmemchoka sasa baada ya kuwavuna wengi kama Followers wake kwenye mitandao ya k
 
Mkuu hiyo nyumba ni ofisi ya Chadema wilaya ya Kinondoni?
 
Yule kigogo mliokuwa mnamuabudu, huyu hapa sana anasema mbowe kawalamba bil 1.9 chadema
 
Ifisadi hauwezi kuachiliwa hivi hivi ENDAPO KAMA KUNA WALIOHUSIKA NI VYEMA SHERIA IKAFUATA MKONDO HASA BAADA YA UCHUNGUZI WA KINA KUFANYIKA.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…