Tetesi: Bilioni 1.9 zaibwa CHADEMA, Wingu zito latanda. Wabunge wagoma kuchangia chama

Status
Not open for further replies.
Mkuu kumbe na wewe ni member au avatar ni ya mshua?
 
Kwanini asiendelee na utaratibu wake Wa kukata kama ilivyokua awali? Au kuna wabunge Wa Chadema waliomlalamikia kuhusu suala hilo?
Soma hapo chini Halima anasema kuna wabunge wa CDM walienda kuomba/kufanya fitina hiyo pesa isikatwe.
 
Hahaaa mama umeachika nini,mbona husomeki au umekula guberi
 
Nilikuwa nashangaa sana Chama kinaongozwa na mchanga alafu anachukua hela za CDM kila mwezi, aache kupiga, kuna issue ya ruzuku kila mwezi ya CDM nasikia ukiuliza auditing report yake, unafukuzwa CDM haraka.. Transparence ZERO.
 
yule jamaa mrema yule kawashika pabaya wabunge wa cdm....sugu pamoja na ukurukakara wake wote kwa yule jamaa kashikwa kalio katulia
 
Wamebaki kusema Ati Rais Hajui kimombo
Juzi akachakaza kimombo sadc imesmama hawana la kusema sasa
Warudi kwa mange
Aliwambia pia kuwa kipilimba kakamatwa na muda wowote anafikishwa mahakamani, ana mashtaka 97 yalivyo majinga hadi akina fatma karume wakaamini!
Leo kipilimba kateuliwa ubalozi
 
Safi sana Halima Mdee, ni kwa vile imani yangu ya dini inanitaka niwe na mke mmoja lakini hakika ningekuchumbia mwanamke jasiri wewe!
Sumu haifai kukaa mwilini Ila ni kuitapika, watajeni hadharani hao wanaojua kuchangia ni takwa LA kikatiba na limesaidia sana shughuli za chama hutaki kuchanga si utoke ukapitishwe huko na ccm!
 
Hivi nikweli huo upupu umeandika na huyo Halima?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…