Tetesi: Bilioni 1.9 zaibwa CHADEMA, Wingu zito latanda. Wabunge wagoma kuchangia chama

Status
Not open for further replies.
Niliwahi kusema kuhusu kigogo
Wachangiaji zaid ya 109 walinibeza hasa Wapinzan.
Nilisema hivi,kigogo2014 ni agent Wa serikali na anajulikana na serikali.
Lakin hii ni project ya serikal baada ya kujifunza Kwa akina Mange kimambi, kuwa na giants Wa social media aliye nje ya mfumo ,inatoa mwanya mkubwa Wa kushindwa ku control social media
Sasa wapinzan wakadhan wamepata mbadala Wa akina Mange , kumbe walikua wamepata Trojan horse.
Wengine walianza kumpa endorsement Kibao huko Twitter,
Kama ilivo Kwa sleeper agents ,kigogo ameanza kazi aliyopaswa kuifanya rasmi,
1.ana orchestrate mgogoro Wa act na chadema
2. Ana orchestrate mgogoro Wa wapinzan binafsi ,mfano nondo na yerico
3.ana vunja back borne ya upinzan, baada ya kupata iman ya wafuasi hasa wapinzan ,Sasa anajua anaaminika, anaanza kutema sumu za maana
Kila asemacho asilimia kubwa wanaamin.
Na In short kigogo ni 24 hrs yuko active ,unadhan ni robot ?
Watu Wana shift za kuandika kwenye page ya kigogo , ni office sio mtu
 
Mwenzio kigogo akipost anasepa anawaacha nyie mlumbane sasa wewe mbona povu linakutoka hapa watu wakichangia thread yako?
 

Tueleze na 1.4tr za mwenyekiti wenu ziko wapi
 
Chadema bado kinahitaji fedha kujiendesha, hizi propaganda zenu za bilioni 1.9 hazitasitisha shughuli za Chadema. Wote kwenye akili wanaelewa jinsi gani ccm inavyohaha kufarakanisha Chama hiki ambacho wanaamini kuwa ipo siku kitakufa.
Kama wametumia zaidi ya trilioni 2.4 kwenye mambo yasiyojulikana, wameteka watu wetu na kuumiza na kuua, kuwanunua madiwani na wabunge, kuwaonga wanachama wetu vyeo lakini Chadema bado ni msitu mnene, tujiulize kwa nini propaganda nyingi zisiwepo. Kama mwanachadema stand for your right
 
Mleta mada na Ndugai akili yenu ni moja, mumezuia michango halafu unaleta mada tuwajadili kina Mbowe. Shetani was kijani ashindwe. Kama Ndugai anashinda kutwa mzima kuiombea na kuikandamiza upinzani kwa mini tushitushituke kuwa ni ajenda aliichomeka makusidi. Shikeni masikio muelewe kuwa kama walipiga stop trilioni 2.4 isijadiliwe nyie ni nani mnajimaliza kwa bilioni 1.9? Upinzani ni mkali sana nje na mkiruhusu ikahamia ndani hakuna atakayebaki salama
 
Hili nalo neno
 
Dah haya mavyama Ni shida tupu, yaani ccm chini ya magu 2.4 trilioni hazieleweki, upande wa chadema 1.9 bilioni duh.watanzania wanyonge watakimbilia wapi? Kwa kweli wanasiasa Ni shida.
2.4t = 2,400,000,000,000/= CCM
1.9b= 1,900,000,000/= Chadema

Namba hizoo...
 
Duh!! So wewe imekuuma sana?
 
Yaani mnavyoteseka hadi huruma. Huu upuuzi mtaacha lini?

Udipende mpaka upofuke macho. Angalia bavicha wamecharuka yericko kavujisha mazungumuzo
 

Attachments

  • Screenshot_20190921-035816.png
    274.4 KB · Views: 13
  • Screenshot_20190921-035803.png
    276.1 KB · Views: 15
  • Screenshot_20190921-035129.png
    144.2 KB · Views: 14
mbona mnaharaka subirini kwanza kazi aliyopewa kabakiza mkia tu ccm itang'ooka muda si mrefu tutachagua Mwenyekiti mwingine.
 
Chadema ni msitu mnene πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wabunge wengi wa CHADEMA walimtonya asiendelee kuwakata hela zao zinaliwa na mchwa kwenye account ya ECO benki.
 
Point,napigia msumari.
 
Kama hawakatwi wanapewa pesa yote, nini kinawazuia wasizipeleke wenyewe kwa mfumo mwingine?
Makato kwa mtumishi ni makubaliano ya kisheria ikitokea malalamiko lazima kuzingatia.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…