Bilioni 11 za Rais Samia zamtetemesha RC Shinyanga, afanya maamuzi magumu

Kwahio umuhimu sio kufanya jambo kwa weledi bali ni kutumia pesa kwa wakati ?
 
Huyu dada anapiga kazi nimekubali
 
Hongera Sana Mhe RC
 
Naona mheshimiwa Zitto amekurupuka. In short, PPRA walishatoa muongozo wa nmna ya kufanya ugavi kwenye matumizi ya hizo pesa za IMF kulingana na maelekezo ya Rais aliposema wafuate utaratibu wa PPRA.

PPRA waliissue muongozo kwamba wadau wote watumie single sourcing kutokana na muda ambao wamepewa kutekeleza ujenzi ni mfupi sana na wakisema wafuate utaratibu wa kutangaza tenda Sheria inahitaji ufanyike miezi mitatu hapo January itakuwa imefika.

Sasa kama deadline ya ujenzi ni January na ukifata utaratibu by January ndio uwe umepata mjezi hiyo inamaana haujacomply na maelekezo ya Rais. Ndio maana wameelekeza single sourcing.

Sasa huyu mama naona kuna mawili, either hakuwatumia wakuu wa idara zote mikoani kwa taarifa maana hiyo ni taarifa ilienda kwa maofisa wanaotekeleza hayo maelekezo ya Rais, or huyo mtumishi ni mpuuzi alishindwa kujiongeza maana maelekezo yalishatoka namna ya utekelezaji na wenzie huwa wanaandika kwa PPRA kuulizia wafanyaje kama unakutana na mgongano wa maelekezo na utaratibu wa kisheria? Wacha apishe kwanza .
 
Hapana hajakosea utaratibu unless kama amemuadhibu ingali hakuwasambazia huu muongozo wa PPRA.

Muongozo umetoka tarehe 12 October, ,2021 huyo ofisa ugavi anakaa ofisini hajui Kuna kitu kama hiki???

Ndio maana siamini kwamba hawakupata huu waraka wa PPRA, hao watu wa Halmashauri wanakuwaga na shida sana na wameshaona hela basi hapo kila mtu alikuwa anataka alete mjenzi wake mwisho wa siku hela zingeliwa na shule sizingejemgwa wangepigana zengwe kwenye tenda na kupelekana PPAA mpaka balaa.

Uamuzi wa Rais na PPRA upo sahihi sana.
Smart kwa kuvunja utaratibu !!??

 
Safi Sana Bi Sophia Mjema, Piga kazi
 
Majibu mazuri sana haya
 
Good indeed
 
Majibu mazuri sana haya
Unajua watu wengi huwa hawapendi kutafuta ukweli inapotokea wanasiasa wanavurugana au wanashutumiana mitandaoni.

Zitto huwa ni mkurupukaji sana kwenye makala zake nyingi tu, naelewa huwa anafanya hayo kwa maslahi yake maana huwa ni mbinafsi sana.

Ukiona Zitto hata kama ameamua kufungua kesi Mahakamani kuhusu Jambo fulani, lazima ukichunguza unakuta ana maslahi fulani, huwa hafanyi Jambo kwa manufaa ya wananchi nae asipate kitu.

Hapo lazima Kuna interest au ana ishu yake. Haiwezekani Zitto hajaona haya maelekezo ya PPRA haiwezekani kabisa Ila amefanya makusudi ili avurige tu na mwananchi mtanzania huwa hajui kutafuta ukweli anaposikia mwanasiasa kabwatuka basi nao hupokea na kuyabeba ti ndio maana hata Magufuli aliwaweza sana.
 
Kumbe Zitto ndio alivyo aise,
 
Hongera sana kazi nzuri sana hii
 
Wewe ni mtu wa faida, Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…