Bilioni 14 kuhamisha Gereza la Kilimo Mbeya kupisha uchimbaji wa madini ya Niobium

Hili gazeti jipu
 
eti mradi una manufaa kamkubwa san kama ajira zaidi ya 400 na huduma za kijamii hivi kweli tuna viongozi wanaofikiri sawasawa
huo ji mgodi wa 4 duniani na hakuna mwingine tenankwa sasa. ningekuwa mm ningewaambia wahamishe kiwada cha kutengeneza hayo mabomba na rocket
 
Kaabah anasema una manufaa kwa Tanzania,nadhan ni hizo ajira 400 ndo zinampa ushawishi
 
Chonde chonde chama tawala jamani
Hizi keki za taifa ziendane na Ari ya wanainchi
Ziwa Victoria liliuzwa kwa miaka 99, waulize wanaoishi maeneo yale wananufaika vipi? kama si kuachwa wajifie
 
Mkuu kuuliza ivyo nataka kujua kwasababu kuna baadhi ya watu wametuingiza kwenye mikataba ovyo uko nyuma na isije ikatokea kwenye huu mgodi na kuna mchangiaji kasema haya madini adimu sana yapo brazil na canada

mkataba mkataba mkataba naona huyo mzungu anasema eti tusaini haraka ili aanze kazi,no haraka ya nini?safari hii nasisi tupewe hata mwezi tuipitie na sisi na ipelekwe bungeni.naiandikwenye magazeti kama bajeti vile.
 
Njaa ya tumbo mbaya unashindwa hata kuhoji vitu vya msinga kitu umeambiwa upinge jamvo lolote mitandaoni ili ulipwe hiyo buku 7
Na wewe unalipwa nini ufipa..!?
 
 
mkataba mkataba mkataba naona huyo mzungu anasema eti tusaini haraka ili aanze kazi,no haraka ya nini?safari hii nasisi tupewe hata mwezi tuipitie na sisi na ipelekwe bungeni.naiandikwenye magazeti kama bajeti vile.
Mkuu mkataba ukienda bungeni utskutana na mzee nyoka wa makengeza msaka noti mpiga dili
 
Nchi hii tatizo wala sio ccm tatizo ni IQ ndogo, kwa mfano kila mwananchi/mwanasiasa utasukia anasema nchi hii ni tajiri sana huku akiorothesha utajiri tulionao, hakuna anayesema atatumia strategy gani kumaximize returns kutoka kwenye huo utajiri ghafi. PPP strategy kwenye natural resources ingesaidia sana, badala ya tax strategy ambayo multinationals walishajenga mikakati ya kuikwepa from day one.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…