Tanzania imebarikiwa kila mahali,JPM anazo resources za kutosha kuhakikisha kila anachokusudia kinafanyika.
hii Niobium bei yake ni nzuri sana katika soko la dunia na inapatikana Brazili na Canada tu.
kilo moja ya Niobium (FeNb) inauzwa $40
hizo tani millioni 96.3 tulizopata zina average grade of 0.52% Nb2O5. kwa hiyo ni kama tani million 0.5 za pure Nb2O5 ni sawa na kilo billion 0.5 kwa hiyo thamani ya madini hayo huko Mbeya ni sawa na $20bn!
Lazima PSA iwe wazi pia sheria ya PSA days zinaanza countdown siku wa kisign ili muwekezaji aanze kazi haraka. Ni kiasi gani total money invested? Cost recovery lazima mwanzo iwe 60% investor 40% goverment, kila pesa yao ikirudi % ya goverment ipande. Wakisha recover cost then window of profit 70% Goverment 30% wao. After 20 yrs 100% Goverment na kama capital sio kubwa kama payback basi miaka ya PSA iwe kidogo. Profit lazima iwe control. Ndio Goverment itafaidika. Lakini navyojuwa PSA kwanza kabla ya kuanza kazi hapa kama makubaliano ready yaani hatujifunzi. PSA isiwe siri ijadiliwe kwa uwazi watu waone kama ina mapungufu na wakitia wino tu siku zinaanza countdown kama 15 or 20 years inategemea.Tanzania imebarikiwa kila mahali,JPM anazo resources za kutosha kuhakikisha kila anachokusudia kinafanyika.
hii Niobium bei yake ni nzuri sana katika soko la dunia na inapatikana Brazili na Canada tu.
kilo moja ya Niobium (FeNb) inauzwa $40
hizo tani millioni 96.3 tulizopata zina average grade of 0.52% Nb2O5. kwa hiyo ni kama tani million 0.5 za pure Nb2O5 ni sawa na kilo billion 0.5 kwa hiyo thamani ya madini hayo huko Mbeya ni sawa na $20bn!
Na wewe unalipwa nini ufipa..!?
MAGOGONI alijenga Mjerumani alipohamisha makoa makuu ya koloni kutoka Kilwa.nmeanza kuamini maneno ya mdau mmoja kuwa nyerere kipindi cha ukoloni sehemu zilizokuwa na madini jamaa aliweka makambi ya majeshi,magereza,ofisi za serikali pana shaka hata pale magogoni kuna vtu wanavyopendaga wadhungu
Unaposimania haki, utaitwa mpinzani, mhalifu, mvunja amani na mchochezi.Silipwi pesa na mtu na naamini wote wasiopenda madudu ya Serikali hii hawalipwi na mtu yoyote japo mnazani ni wa Ufipa tafuteni kazi za kujiajiri acheni kutumika kama mapulizo ya kiume buku saba fc
Buku 7 Fc na huu usajiri wao mpya wameajiri vituko Vijana popote hata pasipostahili wao wanakurupuka na boss wao @ Lizaboni amebaki peke yake anahangaika tu bora abadili jina anatuzalilisha watu wa Songea maana ukuu wa Wilaya kakosa na Das kakosaUnaposimania haki, utaitwa mpinzani, mhalifu, mvunja amani nmchochezi.
mkataba mkataba mkataba naona huyo mzungu anasema eti tusaini haraka ili aanze kazi,no haraka ya nini?safari hii nasisi tupewe hata mwezi tuipitie na sisi na ipelekwe bungeni.naiandikwenye magazeti kama bajeti vile.
Tax holiday ni wimbo gani,toka lini ukaenda dukani kununua sukari ukaambia chukua bure kwa miaka 10?Utashangaa kwenye mkataba utakaowekwa saini, serikali inapata 3% pamoja na tax holiday juu.
Lazima PSA iwe wazi pia sheria ya PSA days zinaanza countdown siku wa kisign ili muwekezaji aanze kazi haraka. Ni kiasi gani total money invested? Cost recovery lazima mwanzo iwe 60% investor 40% goverment, kila pesa yao ikirudi % ya goverment ipande. Wakisha recover cost then window of profit 70% Goverment 30% wao. After 20 yrs 100% Goverment na kama capital sio kubwa kama payback basi miaka ya PSA iwe kidogo. Profit lazima iwe control. Ndio Goverment itafaidika. Lakini navyojuwa PSA kwanza kabla ya kuanza kazi hapa kama makubaliano ready yaani hatujifunzi. PSA isiwe siri ijadiliwe kwa uwazi watu waone kama ina mapungufu na wakitia wino tu siku zinaanza countdown kama 15 or 20 years inategemea.
Hii ni mwanzo tu ili arudishe cost zake haraka maana hapa sio pesa tu ni technology kila gharama zikirudi haraka share za Goverment zinapanda haraka. Hii ni hali halisi ya kibiashara duniani. Goverment hawatii hata shilling moja ila wanachukuwa share. Ukisema uuze share kwa watu ni watu wachache ndio wana uwezo huo tutarudi kulele hapa sio wazungu au wa Tz ni suala watu wote watanufaika kivipi sio wachache kutajirika. Lazima tujuwe sisi technology bado ndio maana mpk ugunduzi ni wao sijawahi kusikia wataalamu wetu wamegundua. Pia kama sisi kuendesha viwanda si unajuwa tabia zetu cha serikali tutaiba tu na kama Goverment haifanyi biashara huko tumeshapita take share basi. Lakini haya ni majadiliano tu sio kwamba niko sawa ila ni healthy discussion.Poor calculation kwanini investor asiwe 70% serikali na 30% huyo mzungu?Huyo mzungu anakopa kwenye mabenki kama mali kauli,tena kwa dhamana ya serikali yetu.A GOOD DEAL NI serikali iuze hisa kwa wananchi wao ndio wamiliki mgodi.
Tax holiday ni wimbo gani,toka lini ukaenda dukani kununua sukari ukaambia chukua bure kwa miaka 10?
Hii ni mwanzo tu ili arudishe cost zake haraka maana hapa sio pesa tu ni technology kila gharama zikirudi haraka share za Goverment zinapanda haraka. Hii ni hali halisi ya kibiashara duniani. Goverment hawatii hata shilling moja ila wanachukuwa share. Ukisema uuze share kwa watu ni watu wachache ndio wana uwezo huo tutarudi kulele hapa sio wazungu au wa Tz ni suala watu wote watanufaika kivipi sio wachache kutajirika. Lazima tujuwe sisi technology bado ndio maana mpk ugunduzi ni wao sijawahi kusikia wataalamu wetu wamegundua. Pia kama sisi kuendesha viwanda si unajuwa tabia zetu cha serikali tutaiba tu na kama Goverment haifanyi biashara huko tumeshapita take share basi. Lakini haya ni majadiliano tu sio kwamba niko sawa ila ni healthy discussion.
Nenda www.wikipedia.com search neno tax holiday, utakuwa maana yake.Tax holiday ni wimbo gani,toka lini ukaenda dukani kununua sukari ukaambia chukua bure kwa miaka 10?
Sio rocket science lakini ni technology na utaalamu huko lazima tukubali bado. Suala la mazingira linakuwa kwenye PSA sharti nikuwa wanaweka pesa dhamana bank chini ya serikali kuwa hawataaribu mazingira na siku wakiwa wanaondoka lazima waache hali salama au serikali inachukuwa pesa ile kuweka sawa ila ktk process vitu vyote vinajadiliwa. Lazima tujue hii ni long time business ndio maana mwanzo nikasema lazima tujuwe ni miaka mingapi reserve ipo ili ujadili urefu wa PSA. Investor yeye ni ku make profit lakini nchi itabaki mali yake sio unampa PSA mpaka akiondoka ni mashimo tu no sio sawa. Lazima tuwe na watu makini na kuweka maslahi ya pande zote sawaMku
Kama hali ndio hiyo basi hakuna faida,zaidi ya kuwachiwa mashimo,na uchafuzi wa mazigira,Ili tunufaike kama Taifa ni kuwa wabia wakubwa na wenye sauti,Sio kweli kwamba huyo mzungu ndio mwenye High Teck.Huyo mzungu nae atakodi kampuni yenye Tekinologia ambayo serikali yetu au wananchi wenye hisa wana weza kukodi.Mkuu Uchimaji wa madini haya SIYO ROCKET SCIENCE
Sio rocket science lakini ni technology na utaalamu huko lazima tukubali bado. Suala la mazingira linakuwa kwenye PSA sharti nikuwa wanaweka pesa dhamana bank chini ya serikali kuwa hawataaribu mazingira na siku wakiwa wanaondoka lazima waache hali salama au serikali inachukuwa pesa ile kuweka sawa ila ktk process vitu vyote vinajadiliwa. Lazima tujue hii ni long time business ndio maana mwanzo nikasema lazima tujuwe ni miaka mingapi reserve ipo ili ujadili urefu wa PSA. Investor yeye ni ku make profit lakini nchi itabaki mali yake sio unampa PSA mpaka akiondoka ni mashimo tu no sio sawa. Lazima tuwe na watu makini na kuweka maslahi ya pande zote sawa
Achana na mkataba.. angalia manufaa ya mradi huu kwa wanaTZ
400 billion kuhamisha gereza tena la wilaya ni pesa ndefu sana hasa ukichukulia hao wawekezaji wenyewe ni kina mwakibinga