Kwamba kwa sababu kina-share facility ndio maana huungi mkono, hebu fikiri vizuri zaidi impact yake kwa mkoa wa Tabora na Taifa, usiwe selfish kiasi hichoChuo cha reli Moro kina 'shared facilities' na chuo cha ualimu Kigurunyembe kama vile viwanja vya michezo. Pia kuna karakana kubwa ya reli ambapo wanafunzi wangeweza kupata mafunzo kwa vitendo.
Siungi mkono hoja ya kujenga chuo kipya Tabora.
Morogoro ni mkoa wa vyuo. Vyuo vyote vipya na vya zamani vinatakiwa kujengwa Morogoro; The rest, I can not accept...Kwamba kwa sababu kina-share facility ndio maana huungi mkono, hebu fikiri vizuri zaidi impact yake kwa mkoa wa Tabora na Taifa, usiwe selfish kiasi hicho
Ndio. Its now or never! Either chuo kijengwe Morogoro au kisijengwe kabisa ...Wewe sasa kama mtaalamu wa masuala ya reli unatoa ushauri sio?
Hapa ndipo akili zetu sisi waafrika tunapoamua kuziweka mahala.Serikali ya Tanzania imesema imetenga Shilingi Bilion 44.8, kwa ajili ya kuanza Ujenzi Chuo kikubwa cha Reli mkoani Tabora chenye kiwango cha Kimataifa kwa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), Kupitia kipande cha Tabora-Isaka.
Taarifa hiyo imetolewa mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge na Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli (TRC), Bi, Amina Lumuli ambapo ameeleza chuo hicgo kinatarajia kujengwa katika eneo la Malabi lenye ukubwa wa ekari 183.1. Kata ya Cheyo Manispaa ya Tabora
Roho mbaya huna loloteMorogoro ni mkoa wa vyuo. Vyuo vyote vipya na vya zamani vinatakiwa kujengwa Morogoro; The rest, I can not accept...
Sasa naelewa kuwa kumbe umefunikwa fikra na zama za kimapokeo, basi sasa UDOM tutahamishia Moro, UDSM na SAUT tutahamishia Moro, au unasemaje?Morogoro ni mkoa wa vyuo. Vyuo vyote vipya na vya zamani vinatakiwa kujengwa Morogoro; The rest, I can not accept...
Kwamba unasema nchi hii itahudumiwa na UDSM na UDOM tu? Think, Think, ThinkNi sawa na ujenzi wa chuo cha IT wakati UDSM, UDOM vipo vinahitaji marekebisho tu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Alie kwambia Tabora hakuna chuo cha reli nani?Hapa ndipo akili zetu sisi waafrika tunapoamua kuziweka mahala.
Chuo kipo Morogoro kwanini kisiboreshwe na kupanuliwa ili kiwe cha kimataifa?
Mkuu, soma tena mada hapo juu.Alie kwambia Tabora hakuna chuo cha reli nani?
The statement is simple and clear. Morogoro is railway and railway is Morogoro. atakayetenganfanisha Morogoro na reli, azikwe kama mzoga (bila heshima)... Nimemaliza sitaki kibishana... Moro is rail and rail is Moro.Sasa naelewa kuwa kumbe umefunikwa fikra na zama za kimapokeo, basi sasa UDOM tutahamishia Moro, UDSM na SAUT tutahamishia Moro, au unasemaje?