Bilioni 44.8 kujenga chuo cha kimataifa cha reli mkoani Tabora

Bilioni 44.8 kujenga chuo cha kimataifa cha reli mkoani Tabora

Hivi Chuo ni infrastuture pekee, sababu naona tumekuwa vain sana..., haya hayana tofauti na kujisifia madarasa yenye aluminium na AC wakati hakuna waalimu....

Anyway nisijali na ningesema to each his/her own lakini naonea huruma Kodi zetu
 
MKuu nimesoma na nimeelewa,, Tabora kuna chuo cha reli hivyo pia wana haki ya kuongezew kama unavyolazimisha kwa Morogoro.
Kama vyuo vyote zitaboreshwa hamna shida.

Lakini si kujenga chuo kipya katika eneo jipya.

Vyuo vikiboreshwa huenda gharama isifike hiyo ilotajwa.
 
Sasa naelewa kuwa kumbe umefunikwa fikra na zama za kimapokeo, basi sasa UDOM tutahamishia Moro, UDSM na SAUT tutahamishia Moro, au unasemaje?
Badala ya kujenga chuo kipya Tabora kwa nini hiyo component ya reli isipelekwe NIT?
 
Serikali ya Tanzania imesema imetenga Shilingi Bilion 44.8, kwa ajili ya kuanza Ujenzi Chuo kikubwa cha Reli mkoani Tabora chenye kiwango cha Kimataifa kwa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), Kupitia kipande cha Tabora-Isaka.

Taarifa hiyo imetolewa mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge na Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli (TRC), Bi, Amina Lumuli ambapo ameeleza chuo hicgo kinatarajia kujengwa katika eneo la Malabi lenye ukubwa wa ekari 183.1. Kata ya Cheyo Manispaa ya Tabora
Fursa nyingine ya wachumia tumbo kupiga pesa za walala hoi
 
Chuo cha reli Moro kina 'shared facilities' na chuo cha ualimu Kigurunyembe kama vile viwanja vya michezo. Pia kuna karakana kubwa ya reli ambapo wanafunzi wangeweza kupata mafunzo kwa vitendo.
Siungi mkono hoja ya kujenga chuo kipya Tabora.
Makumi moja
 
Hapa ndipo akili zetu sisi waafrika tunapoamua kuziweka mahala.

Chuo kipo Morogoro kwanini kisiboreshwe na kupanuliwa ili kiwe cha kimataifa?
Morogoro kile ni tawi tu kwa ajili ya ufundishaji wa mafundi wa vichwa vya treni na madereva.

Main campus ipo Tabora ndipo wanapo fundwa Station masters, Train guards, Carriage and wagons examiners, permanent way inspectors.

Hivyo hata mimi naamini vingeboreshwa zaidi.
 
Serikali ya Tanzania imesema imetenga Shilingi Bilion 44.8, kwa ajili ya kuanza Ujenzi Chuo kikubwa cha Reli mkoani Tabora chenye kiwango cha Kimataifa kwa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), Kupitia kipande cha Tabora-Isaka.

Taarifa hiyo imetolewa mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge na Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli (TRC), Bi, Amina Lumuli ambapo ameeleza chuo hicgo kinatarajia kujengwa katika eneo la Malabi lenye ukubwa wa ekari 183.1. Kata ya Cheyo Manispaa ya Tabora.
TRC Wana Mkurugenzi Mkuu mpya Bi. Amina? Masanja (Sukuma gang) tupa kule
 
Serikali ya Tanzania imesema imetenga Shilingi Bilion 44.8, kwa ajili ya kuanza Ujenzi Chuo kikubwa cha Reli mkoani Tabora chenye kiwango cha Kimataifa kwa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), Kupitia kipande cha Tabora-Isaka.

Taarifa hiyo imetolewa mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge na Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli (TRC), Bi, Amina Lumuli ambapo ameeleza chuo hicgo kinatarajia kujengwa katika eneo la Malabi lenye ukubwa wa ekari 183.1. Kata ya Cheyo Manispaa ya Tabora.
Wanaopinga hawatakosekana 😁😁
 
Tangia mmeanza kutoa ahadi miaka 2 sasa imetimia sjawaiona ata uzinduzi wa chooo,Kila siku blaaablaaa tu.
 
Hapo haijakaa poa. Hapo ingekuwa ni upanuzi wa chuo cha usafirishaji. Hapo pawe ni tawi la Tabora. Linaloshighulika na usafiri wa reli na taaluma zake.
Acheni upuuzi na ujinga nyie,Tanzania Iko nyuma Kwa Nchi zote za EAC Kwa Elimu Kwa idadi ya vyuo na Wanafunzi ndio maana ni lazima kuongeza fursa za Elimu Ili kupunguza ujinga kama huu wako..

On top of that Serikali itajengwa Chuo Cha masuala ya Gas na Mafuta Lindi,Inajenga Vyuo Vikuu Mikoa yote ambayo hakuna.
 
Back
Top Bottom