Bilioni 44.8 kujenga chuo cha kimataifa cha reli mkoani Tabora

Bilioni 44.8 kujenga chuo cha kimataifa cha reli mkoani Tabora

Umekimbia kule imekuja huku baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani 😁😁😁

Rudi nikutindue sijamaliza kweka miradi ya miaka 2 ,achana na hiki Chuo Cha Tabora ninayo mingine .

Legacy itayeyuka automatic πŸ˜†πŸ˜†
 
Kula haujaleta chochote cha kunitisha Miradi yote 90 kaacha JPM,mnafanya tu kumpachika huyo Mama yenu pale apigie picha
Lingine Sasa hivi hatuna chama chochote cha upinzani chenye akili na Makini kinachotetea watanzani dhidi ya udhalimu wa hawamu hii.
Sisi tumejitolea kuwa semea.
 
Ngoja niendelee kumpachika Ili nikunyooshe vizuri.Tulia dozi ikuingie.

Niongeze bakora?
 
TRC Wana Mkurugenzi Mkuu mpya Bi. Amina? Masanja (Sukuma gang) tupa kule
Si kweli Amina Lumuli huyo ni Director of Human resources management & Administration huwa ni mkurugenzi msaidizi. Masanja Kungu ni Director General. Labda kama kateuliwa sasa hivi.
 
Serikali ya Tanzania imesema imetenga Shilingi Bilion 44.8, kwa ajili ya kuanza Ujenzi Chuo kikubwa cha Reli mkoani Tabora chenye kiwango cha Kimataifa kwa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), Kupitia kipande cha Tabora-Isaka.

Taarifa hiyo imetolewa mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge na Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli (TRC), Bi, Amina Lumuli ambapo ameeleza chuo hicgo kinatarajia kujengwa katika eneo la Malabi lenye ukubwa wa ekari 183.1. Kata ya Cheyo Manispaa ya Tabora.
Kujenga "chuo" ni sawa kabisa; lakini hayo ya hadhi ya kimataifa ni mbwembwe tu zisizokuwa na maana yoyote. Hiyo ni hela ya kujenga sekondari tu!
 
Serikali ya Tanzania imesema imetenga Shilingi Bilion 44.8, kwa ajili ya kuanza Ujenzi Chuo kikubwa cha Reli mkoani Tabora chenye kiwango cha Kimataifa kwa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), Kupitia kipande cha Tabora-Isaka.

Taarifa hiyo imetolewa mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge na Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli (TRC), Bi, Amina Lumuli ambapo ameeleza chuo hicgo kinatarajia kujengwa katika eneo la Malabi lenye ukubwa wa ekari 183.1. Kata ya Cheyo Manispaa ya Tabora.
Tuache kutupa pesa za watanzania! Hizo pesa zitumike kukarabati reli ya kati na kaskazini.
 
Acheni upuuzi na ujinga nyie,Tanzania Iko nyuma Kwa Nchi zote za EAC Kwa Elimu Kwa idadi ya vyuo na Wanafunzi ndio maana ni lazima kuongeza fursa za Elimu Ili kupunguza ujinga kama huu wako..

On top of that Serikali itajengwa Chuo Cha masuala ya Gas na Mafuta Lindi,Inajenga Vyuo Vikuu Mikoa yote ambayo hakuna.
Tunazalisha graduates wajinga siku hizi wapo wanakwenda sekondari hawajui kusoma!
 
Kama vyuo vyote zitaboreshwa hamna shida.

Lakini si kujenga chuo kipya katika eneo jipya.

Vyuo vikiboreshwa huenda gharama isifike hiyo ilotajwa.
Chuo kwa ajili ya SGR kinajegwa TABORA,imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom