Bilioni 44.8 kujenga chuo cha kimataifa cha reli mkoani Tabora

Umekimbia kule imekuja huku baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani 😁😁😁

Rudi nikutindue sijamaliza kweka miradi ya miaka 2 ,achana na hiki Chuo Cha Tabora ninayo mingine .

Legacy itayeyuka automatic πŸ˜†πŸ˜†
 
Umekimbia kule imekuja huku baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani 😁😁😁

Rudi nikutindue sijamaliza kweka miradi ya miaka 2 ,achana na hiki Chuo Cha Tabora ninayo mingine .

Legacy itayeyuka automatic πŸ˜†πŸ˜†
Kula haujaleta chochote cha kunitisha Miradi yote 90 kaacha JPM,mnafanya tu kumpachika huyo Mama yenu pale apigie picha
Lingine Sasa hivi hatuna chama chochote cha upinzani chenye akili na Makini kinachotetea watanzani dhidi ya udhalimu wa hawamu hii.
Sisi tumejitolea kuwa semea.
 
Ngoja niendelee kumpachika Ili nikunyooshe vizuri.Tulia dozi ikuingie.


Niongeze bakora?
 
TRC Wana Mkurugenzi Mkuu mpya Bi. Amina? Masanja (Sukuma gang) tupa kule
Si kweli Amina Lumuli huyo ni Director of Human resources management & Administration huwa ni mkurugenzi msaidizi. Masanja Kungu ni Director General. Labda kama kateuliwa sasa hivi.
 
Kujenga "chuo" ni sawa kabisa; lakini hayo ya hadhi ya kimataifa ni mbwembwe tu zisizokuwa na maana yoyote. Hiyo ni hela ya kujenga sekondari tu!
 
Tuache kutupa pesa za watanzania! Hizo pesa zitumike kukarabati reli ya kati na kaskazini.
 
Tunazalisha graduates wajinga siku hizi wapo wanakwenda sekondari hawajui kusoma!
 
Kama vyuo vyote zitaboreshwa hamna shida.

Lakini si kujenga chuo kipya katika eneo jipya.

Vyuo vikiboreshwa huenda gharama isifike hiyo ilotajwa.
Chuo kwa ajili ya SGR kinajegwa TABORA,imeisha hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…