Chuo cha Reli?Serikali ya Tanzania imesema imetenga Shilingi Bilion 44.8, kwa ajili ya kuanza Ujenzi Chuo kikubwa cha Reli mkoani Tabora chenye kiwango cha Kimataifa kwa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), Kupitia kipande cha Tabora-Isaka.
Taarifa hiyo imetolewa mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge na Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli (TRC), Bi, Amina Lumuli ambapo ameeleza chuo hicgo kinatarajia kujengwa katika eneo la Malabi lenye ukubwa wa ekari 183.1. Kata ya Cheyo Manispaa ya Tabora.
What a waste!
Hizo pesa ni bora zingetumika kuimarisha chuo cha reli Morogoro.
Chuo cha reli Moro kina 'shared facilities' na chuo cha ualimu Kigurunyembe kama vile viwanja vya michezo. Pia kuna karakana kubwa ya reli ambapo wanafunzi wangeweza kupata mafunzo kwa vitendo.
Siungi mkono hoja ya kujenga chuo kipya Tabora.
Ndio. Its now or never! Either chuo kijengwe Morogoro au kisijengwe kabisa ...
Hapa umenivuruga sijaelewa nimetoka kapa yaan umemaanisha niniUjenzi Chuo kikubwa cha Reli mkoani Tabora chenye kiwango cha Kimataifa kwa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), Kupitia kipande cha Tabora-Isaka
Badala ya kujenga chuo kipya Tabora kwa nini hiyo component ya reli isipelekwe NIT?
Morogoro kile ni tawi tu kwa ajili ya ufundishaji wa mafundi wa vichwa vya treni na madereva.
Main campus ipo Tabora ndipo wanapo fundwa Station masters, Train guards, Carriage and wagons examiners, permanent way inspectors.
Hivyo hata mimi naamini vingeboreshwa zaidi.
Waeleze waelewe hao pingapinga!Morogoro kile ni tawi tu kwa ajili ya ufundishaji wa mafundi wa vichwa vya treni na madereva.
Main campus ipo Tabora ndipo wanapo fundwa Station masters, Train guards, Carriage and wagons examiners, permanent way inspectors.
Hivyo hata mimi naamini vingeboreshwa zaidi.
Kimsingi tangu awali kipindi chuo kinajengwa kulikuwa ni Tabora bila shaka 1947.Sasa moro chuo cha reli kipo wapi mkuu?
Siyo ya kizamani ya Morogoro ni kubwa Afrika mashariki yote pia ndiyo karakana ambayo mambo yote hufanyika mule Corrective maintenances zote hadi Locomotives overhaulNi ya kizamani. Huwezi ilinganisha na ya Moro...
Kuna kozi ni DiplomaChuo cha Reli?
Kinafundisha nini?
Kinatoa kozi gani?
Degree, Diploma au Certificate?
Kipo ndani ya Karakana kuu ya vichwa vya treni kuna madarasa na vifaa vya kujifunzia kimsingi practical ni za kutosha Mzee.Sasa moro chuo cha reli kipo wapi mkuu?
Sana na ni mafundi ambao locomotives zilikuwa zinafanyiwa overhaul hadi huamini kama itarudi kama awali achilia mbali zilizo pata ajali inaweza toka ukajua imeletwa mpya.Tabora kuna chuo cha Reli na kimetoa wataalamu na mdereva wengi wa Treni
Kabla hakijafa malighafi ilitoka wapi?Malighafi na teknolojia ya matairi unavyo!?
Acha kudis mkuu fuatilia tangu 2020 ajira ngapi utumishi wanatangaza za TRC ijumaa tarehe 17/03/2023 wametangaza ajira. Treni ni muunganiko wa kichwa na mabehewa unajua kwa utaratibu wa kitaalamu treni inayovuta Tani 1200 ni mafundi wangapi walifanya inspection ya mabehewa tuchukulie 20 na mfundi wangapi walifanya inspection ya locomotive hizo fani ni maalumu kaka.Ujinga
Kama kilimo wamekosa kuajiriwa hawa je?
Chuo cha reli Moro kina 'shared facilities' na chuo cha ualimu Kigurunyembe kama vile viwanja vya michezo. Pia kuna karakana kubwa ya reli ambapo wanafunzi wangeweza kupata mafunzo kwa vitendo.
Siungi mkono hoja ya kujenga chuo kipya Tabora.
Hapa ndipo akili zetu sisi waafrika tunapoamua kuziweka mahala.
Chuo kipo Morogoro kwanini kisiboreshwe na kupanuliwa ili kiwe cha kimataifa?
Morogoro ni mkoa wa vyuo. Vyuo vyote vipya na vya zamani vinatakiwa kujengwa Morogoro; The rest, I can not accept...
Kimsingi tangu awali kipindi chuo kinajengwa kulikuwa ni Tabora bila shaka 1947.
Baadae kulianzwa kufundishwa kozi mbalimbali baada ya kuvunjika kwa jumuiya ya afrika mashariki.
Sasa kutokana na kwamba karakana kuu ya vichwa vya treni (Diesel locomotives workshop complex) ilikuwa morogoro ilionekana fani za ufundi wa vichwa vya treni (Locomotive Engineering in Diesel Mechanical & Electrical) pia udereva (locomotives driving technology) zipelekwe kule ili wanafunzi kuwa deep zaidi katika practical ndiyo ikawa ni tawi la chuo cha reli.
Hivyo Main campus ni TABORA....