ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #101
Ilizitumia kwenye areas gani? Kujenga miundombinu tuu bila kuwekeza kwenye Huduma za Kisasa na vifaa vya Kisasa vya kufanya kazi Haina tofauti na kujenga Hospital bila dawa na vifaa tiba au wataalamu.Yaani billion 600 na point zimeongeza ufanishi mara tatu zaidi wakati serikali yetu kabla ilishatumia zaidi ya trilion 2 kurekebisha hapo bandari na utendaji haukuongezeka kiivyoo..
Watanzania tumerogwaa *****..
Hapakuwa na haja ya kutangaza zabuni kulingana na mazingira ya uwekezaji mzima ulivyo. DPW anafanya biashara nzima ya logistic kwa maana ya kuufuata mzigo unaotoka huko DRC kuja bandarini na kwenda huko nje.
Sio kila biashara inaanza kwa zabuni yake kuwekwa wazi, inategemea na nature ya biashara nzima ipo vipi.
Tanzania na DPW haziruhusu mkataba mzima kuanikwa hadharani sawa na ile biashara ya adani ya magati namba 8 mpaka 11.
Zabuni ziko za aina nyingi sio lazima open tendering..Mamlaka ya Bandari kutangaza zabuni ni takwa la KISHERIA.
Ndo mnavyodanganyana huko vilingeni kwenu kwenye yale mapango milimani
Zabuni ziko za aina nyingi sio lazima open tendering
Waraka wa kila Jumapili.Zile kelele za Padre Kitima za kusambaza waraka makanisani sasa hivi zipo kimyaaa,, ubaya huwa haudumu na mwisho wake ni aibu kwa kutumia ile hekima ya wahenga.
Wateseka Masikini!Maajabu ya layman kumfundisha sheria mwanasheria!.
Wewe ni layman kwasababu hata ile IGA hukuwahi kuiona, kama ungeiona kwa kuisoma na kuielewa usingeandika hizi pumba zako hapa.
Nimekuelezea mazingira ya biashara nzima anayotegemea kuifanya huyo DPW hapa nchini. Kwamba yapo tofauti na biashara nyinginezo...Mamlaka ya Bandari kutangaza zabuni ni takwa la KISHERIA.
Tumejawa na hulka za kutoa hukumu kwa masuala ambayo hata hatuyafahamu kwa kina.Waraka wa kila Jumapili.
Kuna watu humu ilikuwa kila siku ni kuanzisha thread za bandari
Zabuni aliyopewa DPW ni tofauti na hizo unazoziongelea wewe, DPW anamiliki mali nyingi huko Rwanda na Burundi na pia ni mjuzi wa masuala ya bandari hivyo zabuni katika mazingira ya aina hiyo haitangazwi kimazoea tu...mueleweshe Steven Joel Ntamusano kuhusu masuala ya zabuni ktk taasisi za umma.
Nimekuelezea mazingira ya biashara nzima anayotegemea kuifanya huyo DPW hapa nchini. Kwamba yapo tofauti na biashara nyinginezo.
Hii ya adani pia haijatangazwa na anafanya kazi muda huu pale TPA, sio kila zabuni inatangazwa...SHERIA haijaelekeza kwamba mashirika ya umma hiyari ya kutangaza, au kutokutangaza zabuni.
Zabuni aliyopewa DPW ni tofauti na hizo unazoziongelea wewe, DPW anamiliki mali nyingi huko Rwanda na Burundi na pia ni mjuzi wa masuala ya bandari hivyo zabuni katika mazingira ya aina hiyo haitangazwi kimazoea tu.
Zabuni iliyompa ushindi Arab Contractors ilitangazwa wapi?..ameandika uongo.
..na sijui nia yako ni nini haswa.
Zabuni iliyompa ushindi Arab Contractors ilitangazwa wapi?
Tatizo kubwa la jamii forums kwa sasa lipo kwenye watu kuandika vitu kwa confidence ikiwa hamfahamu chochoteBandarini ni maji pekee yanayoweza kuwekwa kwenye kundi la rasilimali, huwezi ukaiweka mitambo na makasha yanayobeba bidhaa katika kundi la rasilimali.
Hivyo ni kosa kuiweka bandari katika rasilimali kwani ni sehemu ndogo tu yenye kujumuishwa kwenye kundi hilo.
Bandari ni kitegauchumi cha nchi, haiingii kwenye kundi la hiyo sheria ya 2017.
Zabuni iliyompa Adani tenda ya kuendesha magati namba 8-11 umewahi kuisikia?.
Hiyo IGA ya DPW ilivuja kimakosa tu.
Asante kwa kunisahihisha. Nilichukulia ni sawa na ile ya magati namba 3-7 aliyopewa DPW.Tatizo kubwa la jamii forums kwa sasa lipo kwenye watu kuandika vitu kwa confidence ikiwa hamfahamu chochote
Nani alikuambia zabuni ya kuendesha ghati nba 8-11 haikutangazwa? Ilitangazwa wazi kabisa
Kwa nn unaandika jambo kama hili bila kufahamu chochote?
Mnajadili haya mambo kihisia na wote hamjui hata mnachojadili. Nani nawaambia tender ya kuendesha ghati namba 8-11 haikutangazwa?..unasema uongo.
..zabuni kwamba TPA wanakodisha gati # 8 - 11, pamoja na gati nyingine, ilipaswa kutangazwa ili makampuni mbalimbali yaweze kuomba na kushindanishwa.
Nimelikumbuka lile tangazo na TPA, asante kwa kuweka taarifa sawa.Mnajadili haya mambo kihisia na wote hamjui hata mnachojadili. Nani nawaambia tender ya kuendesha ghati namba 8-11 haikutangazwa?
Nguvu ya kujadili msichokijua mnaitoa wapi?
Hii ya adani pia haijatangazwa na anafanya kazi muda huu pale TPA, sio kila zabuni inatangazwa.