Bill Gates adai mke aliyetalakiana naye aanza kuwatumia marafiki wa karibu kuomba msamaha

Sio kweli kwamba alivuna nusu ya utajiri wa gates.
Halafu huyo mama alikuwa mwelewa ile taraka ilikuwa inatishia kuanguka hisa za microsoft ndio maana waliweza kusettle asichukue nusu ya utajiri wa gates na mambo kuwa makubwa kungeangusha thamani ya hisa za microsoft.
 
Umesoma kile kitabu chake nilichokutajia ? Kama haujasoma sitakujibu tena hilo swali kumhusu tafadhali.
 
Hili nijukwaa huru na sio kanisani, ukileta habari za Mungu humu ninayo haki ya kuhitaji uthibitisho kama hauna unakausha tu wala sitakulazimisha.
 
Ukiwa kwenye ndoa, kama huna akili, thamani ya mwenzio huioni.
Mkitengana/kutalikiana ndio unaanza kujua kumbe yule mtu ni mtu katika watu.
Ndio utapata wingine,lakini sio malaika.
Tena Unakuta ana mapungufu zaidi kuliko wa mwanzo!.
 
Hakuwa mwelewa wa chochote angekuwa mwelewa angedai talaka kisa kapata bwana mpya?

Anazidi kuonyesha asivyo na akili kwa kubembeleza kurudi,hovyo kabisa.
 
CC Queen aliyekuwa wa Mwaka
 
Nani?

Mbona yeye ndo aliniblock.

Wakati ananiblock nilikuwa nishamsahau

Nikashangaa amekumbuka kuniblock

Nilimhurumia.

Mie huwa nawasahau maex ndani ya sekunde 17 coz zikifika sekunde 19 tayari nina mwingine mwenye pesa kupita the former
Pesa za mwanaume sio zako kamwe
 
Hizo title zote ulizo mpa ukiambiwa u prove sidhani kama unaweza dhibitisha zote

Speaking about masuala ya ndoa yake, kwa pesa alizonazo sidhani kama he is worried about mwanamke anymore, after all anaweza mpata yoyote kwa wakati wowote akitaka
 
Hakuwa mwelewa wa chochote angekuwa mwelewa angedai talaka kisa kapata bwana mpya?

Anazidi kuonyesha asivyo na akili kwa kubembeleza kurudi,hovyo kabisa.
Habari zilizoko ni kwamba bwana bill alikuwa na mahusiano na mdada wa microsoft, pia alidai bill alikuwa akiparty na yule jamaa alikuwa na scandal sawa na pdidy akajiua anaitwa somebody epstein. Uelewa ni kwamba hakung'ang'ania kuchukua sehemu kubwa ya mali ili kulinda shares za kampuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…