Bill Gates adai mke aliyetalakiana naye aanza kuwatumia marafiki wa karibu kuomba msamaha

Bill Gates adai mke aliyetalakiana naye aanza kuwatumia marafiki wa karibu kuomba msamaha

Tena mke kakimbia eti kwa kurubuniwa na njemba nyingine then ikambwaga na kusepa kumuacha haelewi aendende wapi.
Hapo tayari kashachezea sana mstari wa pambizo mpaka umevurugika ndio anambwaga arudi kwa bwana wake akatibiwe bawasiri sugu
 
Ndio maana mlielezwa muishi nao kwa akili

Bill Gates aliyekuwa tajiri namba moja duniani na mke wake wa ndoa Melinda Gates walitalikiana miaka miwili uliyopitia. Mke alivuna karibu nusu ya utajiri wa Bill

Kwa sasa akihojiwa na vyombo vya habari amedai mtalaka wake huyo anahangaika kutumia marafiki wa karibu wa Bill ili amsamehe, kwamba hana amani ya moyo

Kisa hicho kimetokea baada ya mwanaume aliyemrubuni Melinda kumwacha kuanzia Mei mwaka huu, hivyo kabaki hana pa kuushika,

Melinda alidai atakuwa na furaha kitu ambacho kimekuwa kugeuka kwani jamaa anaendelea na mambo yake, TMZ wameripoti habari hiyo na kuifuta haraka sana lakini Bill mwenyewe aliongea na watu mbalimbali na kuthibitisha hilo

Tuzidi kujifunza juu ya hawa Wanawake hawajielewi kabisa wanataka nini na hawataki nini
Labda ana mpango wa kwenda kukombeleza utajiri uliobaki kwa Bill.
 
Sasa kam bill gates mwenyewe na utajiri wake kachapiwa mke we nanii naniii😂😂🤔🤔👏👏👏
 
tajiri namba moja aalachwa..???
Timu kataa ndoa tuendelee
 
Ndio maana hua navikubali vile vitabu tulisoma shule katika kumuelezea mwanamke kwa point ya kusomeka

"Mwanamke ametumika kama chombo cha starehe"
 
Huo ni mtego,naona anataka kwenda kuchukua USD 40 bn nyingine ili William awe tajiri namba 50 huko..
 
Back
Top Bottom