Bill & Melinda Gates watalikiana

🀣🀣Jerry si nimekuambia ukalale
🀣🀣🀣🀣 Kila siku naingia jukwaani hadi natoka we bado upo, sasa leo sitoki hadi nihakikishe umeenda kulala kwanza
 
Bill & Melinda Gates
miaka 27 ya ndoa
mbona wamevumilia mengi sana
Leo nini hicho kikubwa kimewashinda?
wana watoto watatu wakubwa!
sasa Bill si atatakiwa wagawane mali hivyo Bill si atazidi kushuka chini kutoka namba 4 aliyopo?
Mnaoishi Marekani mbona ndoa nyingi za huko zina changamoto sana?
Alianza Jeff wa Amazon
Leo ni Bill Gates!!!
basi hata Jayz ni swala la muda tu na yeye!
Huku Africa tunasema mapenzi ya kweli hayapo kisa umasikini
Je hata hao ambao ni mabilionea sasa shida nini?
Mapenzi sio Pesa!!
Kuna kitu hapo ila sema tu hatujakigundua!
 
Divorce zingine shavu dodo unachukua kaserengeti boy unazunguka nako dunia nzima full bata (unless kulikuwa na pre-nuptials)

Sasa za huku kwetu aisee. Mtagawana hadi generational curses [emoji2960][emoji2960][emoji1787][emoji1787]
Women got lots of expectations...wakat wao dont put nothing on table...nasemaje..karne hii tutawasainisha ma prenup had mnye
 
Mabaharia hawana maana. Wanakupigia saluti, baada ya muda wanakuja kukukazia mjane wako. Nyambafff sana mabaharia
Babu huo ubinafsi. Mabaharia tunasaidia kutunza mjane. Tunamhudumia mahitaji muhimu. πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…