Bill & Melinda Gates watalikiana

Huwezi amini McKenzy Bezos mke wa jeff Bezos kashaolewa na science teacher wa shule ambayo wanafundisha wote na wanaye walisoma hapo!

Hii inaashiria nini?
....mapenzi hugeuka... Leo kwangu kesho kwako eeeh .....

Mwanamke alikosa attention..... the little things like compliments on the hair, the dress, teacher akammwagia...

While Jeff was too busy making money, he missed out on some things for too long. And it cost him his marriage

Money is not the ticket to everything.
 
 
Wakuu Ndoa ya Tajiri wa Dunia Bill Gates iliyodumu kwa miaka 27 na kupata Watoto watatu imetangazwa kufika mwisho.
.....
Hii inakua ndoa nyingine ya Tajiri wa dunia kuvunjika ndani ya miaka mitatu baada ya Jeff Bezos April 2019 baada ya kudumu kwa miaka 25 na Watoto wanne.
 
Chriss you are so silly 😜😜
 
Mjegejo [emoji3][emoji3]
 
😉
 
Linapokuja suala la love and emotions wazungu hawana UNAFIKI.....tofauti na sisi huku mtu anaweza kuishi miaka dahari kwenye maisha ya kinafiki kwa kuwa anapata chochote kitu....
 
Divorce zingine shavu dodo unachukua kaserengeti boy unazunguka nako dunia nzima full bata (unless kulikuwa na pre-nuptials)

Sasa za huku kwetu aisee. Mtagawana hadi generational curses [emoji2960][emoji2960][emoji1787][emoji1787]
kanakakuwa kanakupelekea moto tu.
 
Kama wewe umeachwa sio wote tutaachwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…