Billboard yametoa orodha yao ya Rapa bora wa muda wote

"Wanajamii wa hip hop wanakwambia hakuna era ambayo Jay Z aliitawala" 💯🤝

Umeelezea vizuri sana

Mafanikio ya kibiashara na mtonyo vinampa heshima HOV

Jay Z ni rapper na mwandishi mzuri sana lakini kihalisi hakuna era aliyoitawala
 
Ile bn ilikua design tu ya show. Pia Jay Z ni mfalme kwa sasa hio haina ubishi, Rap zote za siku hiz za jay z ni za kiboss, angalia nyimbo zake zote kuanzia 2019 utaona, ni style yake tu hio. Af pia khs God did dkk 4 wamempa kwa sababu nying, huo wimbo una neno 'god' na jay z miaka fln alikua anajiita 'Hov' kifupi cha jehova... na ukisikiza verse zake anaelezea tu sucess yake na mambo aloyafanya kwenye game, hio inaleta maana nzima ya lengo la hio singo ya God Did, ningeandika page ndef khs hili lkn kama unajua historia vzr ya mziki wa jay z na kama ulielewa verse zake basi usingeandika hayo uliandika hapo.
 
Anabebwa sana yule mama na hasa ile couple yao ndo inawabeba. Kwa mimi ngoma zake nzuri ni za kuhesabu
Kwa beyonce ni sawa anabebwa ila jigga hapana, nakataa...

Watu wanasahau 'The throne' (duo ya jayz na kanye west) ilivosumbua enzi hizo af wanakuja kusema jamaa hajawah tawala era yyt ile... aisee huko ni kutokujua huu mziki umetokea wp
 
Akishinda si anapewa, na akipendelewa si anapewa.

Kapewa.
Kapewa kwa maana ya kapendelewa, kashinda kwa maana ya kafanya vizuri zaidi ya wengine. Kapewa niliyoi_quote ni wazi ilimaanisha kapendelewa yaani hakustahili kushinda.
 
Kapewa kwa maana ya kapendelewa, kashinda kwa maana ya kafanya vizuri zaidi ya wengine. Kapewa niliyoi_quote ni wazi ilimaanisha kapendelewa yaani hakustahili kushinda.
Kiukweli hio tuzo ina uwalakini, ngoma moja tu kwenye album ndo nliielewa sana, inaitwa "Mr Morale" na ndo imebeba jina la album, ngoma nyingine sio kali kivile. Afterall ni kazi ya Academy hio
 
Hawaangalii hitsong moja na pia hio ngoma ni tribute kwa Marehemu Paul Walker, na iko backed na Fast n Furious, ni kawaida kuwa most viewed
Mkuu unaposema ni kawaida kuwa most viewed unafananisha na ipi nyingine ambayo imefanya jambo liwe kawaida (soundtrack za fast&furious)? Ila pia Wiz Khalifa discography yake ina hits nyingi sio moja tu.. big screen, black &yellow, this plane, promise, work hard play hard, king of everything nk.
 
Ndo maana sijamtaja wiz khalifa kwenye comment yangu, nimeongelea tu factor ya hio ngoma kuwa most viewed.

Wiz khalifa yuko vzr sawa lkn ukimuweka na veterans kiukweli unamuonea, ni hii generation ya youtube, na ukipima uzuri wa mziki wa rap kwa namba za youtube jua unakosea sana
 
Kiukweli hio tuzo ina uwalakini, ngoma moja tu kwenye album ndo nliielewa sana, inaitwa "Mr Morale" na ndo imebeba jina la album, ngoma nyingine sio kali kivile. Afterall ni kazi ya Academy hio
Sema wamesema wanaangalia vigezo vingi, ndio maana mpaka kina Jadakiss, Rakim na wengine wamo. Sio suala la hit songs tu
 
Sure, yaani nimerejea list kumbe hata NOTORIOUS BIG hayupo, wala Ja Rule, Will.I.am, Joe Budden et al

List ya mchongo
 
Acha uongo.
Una akili timamu? Uongo upo wapi!? Viazi kama wewe huwa mnatokea wapi na kujiunga humu Jf siku hizi!?zamani ilikiwa mtu akikwambia muongo anaweka na fact zake za ukweli mpaka mtu unajishtukia unajiona kweli ni muongo ila sasa wewe hapa nikikwambia uniambie uongo kwenye hiyo comment utaniambia ni upi!? Nakusikiliza
 
Hivi Jay Z anamfikia yule 50 cent wa early 2000's?

50 cent kila msumari aliokuwa anatoa ulikuwa wa moto jamaa aiiteka dunia
Album ya Get rich or die trying ulikuwa na misumari ya moto ambazo ni hit mpaka leo,nimeona hata 50 mwenyewe kwenye page yake ya instagram analalamika jinsi ambavyo hakutendewa haki kwenhe list hiyo
 
2pac ndo best than all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…