Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
nilitaka kuwauliza hivyoMembers mnaomcheka bilnas mnanishangaza sana hivi mnadhani kushuhudia uzazi ni mchezo mchezo kuna aliyewahi kati yenu 🤷🏼♀️
unajua maana ya semi kumlalia dereva ambaye ni kaka au mdogomtu na kumgeuza chapati na bado wanaume tunaukusanya mwili hatua nyingne zinafuata.Mwanaume siku zote inatakiwa aishi kama mwanaumeUnajua maana ya msamba kuchanika au mnabwawaja upuuzi tu humu ndani nyie ndo wale wanaume vichwa zero halafu hamna hofu ya Mungu ,pili mnatelekeza wanawake zenu bila pesa ya matumizi wala matibabu hamtoi
Umenikumbusha njia ya chalinze segera semi imechochora upande wa kulia ikaenda kupanda ngema ikashindwa ikarudi kulalia barabarani lakini katika purukushani zote hizo kondakta nae akawa yuko katika harakati za kujinasua bahati mbaya kibini ya semi ilivyolalia barabarani ikalalia miguu yake yote miwili.unajua maana ya semi kumlalia dereva ambaye ni kaka au mdogomtu na kumgeuza chapati na bado wanaume tunaukusanya mwili hatua nyingne zinafuata.Mwanaume siku zote inatakiwa aishi kama mwanaume
Hata mzazi anapofariki wazee wa zamani wanakuambia hairuhusiwi dadaz waone chozi la mwanaume.
Billnas kazngua tuu.
la mwsho mwanaume haitakiw uwe na maelezo marefu.toa mafupi yenye kueleweka bas.
Mimi mwenyewe pale Amana nilishuhudia labor mtoto anatoka nililia na kuogopa mnoo!!Tena nilikua labor na miye najifunguaMembers mnaomcheka bilnas mnanishangaza sana hivi mnadhani kushuhudia uzazi ni mchezo mchezo kuna aliyewahi kati yenu [emoji2372]
BhusangileHii ndio bongo[emoji1787][emoji1787]
Bhujiku ng'waka
Sio wavulana Ila wanaume wengine wakatili mnoooUnahisi wote ni ‘Wavulana’ kama ‘Wavulana’ wenu wa siku hizi?!
Don't dare inatisha mi nilifumba macho nkashtuka na kutoa mchozi Amana pale,Mungu fundiNa kuzaa kote sijawahi kushuhudia mwanamke akizaa,,, SIWEZI hata kutizama,, heko kwa wakunga wote
Kwanza unangalia Ili iweje? Huoni kama ni aina mpya ya udharilishaji?Kushuhudia mtu unayempenda akichanika mnadhani mchezo kila kitu mnajikuta wajuajiii
Wana wivu hao🤣🤣🤣🤣🤣
Ila wanaume wa jf mmejikatia tamaa na maisha hadi sio poa. Stress zitawaua jamani🙌🙌🙌
Hiyo ni hamu ya mtoto wa kwanza tu, kila mwanaume huwa hivyo....akibeba mimba ya pili huyo Bill hatojua hata mkewe amejifungulia hospitali ipi.Wanaume wanapaswa waone tunavyozaaa Safi bilnenga,Mungu awalindie ndoa yenu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Siwezi kuangalia kabisa,, Nina roho ndogo mno na kichwa kisichofuta kumbukumbu km hizo,,, nitatesekaDon't dare inatisha mi nilifumba macho nkashtuka na kutoa mchozi Amana pale,Mungu fundi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mi nikiwa katika hali hiyo nakuwaga na hasira za chui, kumuona msababishi wq hayo natamani nimrarue vipande vipande,, nakumbuka siku hiyo baba mtoto alikatiza nikamuona dirishani nilipiga kelele za atoke haraka sitaki kumuona na manesi walimtimua chapHakuna kitu cha kumliza mwanaume kwenye process yote...
Sasa mwanaume ukilia, nani atayempa nguvu mwanamke ya ku-push?
Hata wanaozalisha huwa wanategemea uwepo wa mwanaume labor room/delivery room ni kwa ajili ya kumsaidia mama atoe mtoto huku akipewa faraja...
Mi nikiwa katika hali hiyo nakuwaga na hasira za chui, kumuona msababishi wq hayo natamani nimrarue vipande vipande,, nakumbuka siku hiyo baba mtoto alikatiza nikamuona dirishani nilipiga kelele za atoke haraka sitaki kumuona na manesi walimtimua chap
Wanadamu ni wanyama nakwambia tena, nakuwaga mbogo yani, hasa pale pa kupush😂😂,, nawekaga meno kwenye godoro au vyuma vya kitanda,, nikishika nondo za dirisha lazima ipinde,, halafu ndo uone mtu anajipitisha,,, kiukweli huu uzungu bado ila ijayo nina mpango wa kujaribuHahah, sasa hasira yatoka wapi mama?
Au huwa waona chanzo ni yeye cha wewe kuwa labor?
Umenikumbusha njia ya chalinze segera semi imechochora upande wa kulia ikaenda kupanda ngema ikashindwa ikarudi kulalia barabarani lakini katika purukushani zote hizo kondakta nae akawa yuko katika harakati za kujinasua bahati mbaya kibini ya semi ilivyolalia barabarani ikalalia miguu yake yote miwili.
Mwanaume yule miguu imesagika lakini bado macho makavu anaelekeza waokoaji nini cha kufanya ili yeye aweze kuchomoka pale nkasema kuwa uwanaume sio kudindisha dudu tu.