Billnass adai kushuhudia mkewe akijifungua, asema ni nusu ya kifo

Unapata ujasiri wa kuandika hapa juu ujashuhudia ile process yenyewe billnass kama alijitia kiherehere cha kuingia kwenye chumba cha kujifungulia lazima alie
Una uhakika sijashuhudia?! Ndio maana simshangai ‘Mvulana’ akilia.
 
Una uhakika sijashuhudia?! Ndio maana namshangaa ‘Mvulana’ akilia.
Aaaah wapi wanaume wanakaa nje wakingoja waje waambiwe "tayari kajifungua" na ukute mnawapeleka wake zenu hospital za bure za serikali nan akuruhusu uingie kulee?
 
Aaaah wapi wanaume wanakaa nje wakingoja waje waambiwe "tayari kajifungua" na ukute mnawapeleka wake zenu hospital za bure za serikali nan akuruhusu uingie kulee???
Wewe wasema!
 
Tatizo sio kushuhudia, tumeshaingia na kuona process yote mwanzo Hadi mwisho. Shida ni hapo kwenye kulia sana.
Si kaona ku.ma inavyotanuka kwa hiyo ndo Mana Amelia kwamba atapoteza hamu ya ku.to.mba
 
Yaani labor kwa kweli,si pa mchezo.halafu kesho na kesho kutwa jitu linakutukana
 
Hiki kizazi cha millennials ni hovyo. What is the point of displaying such extreme emotions for your wife and infant child in the public sphere? Why even do it? Is it because he considers himself a celebrity of some sorts and therefore feels obliged to let the whole world know about his private feelings? Stupid fu.ck!
 
Yaani labor kwa kweli,si pa mchezo.halafu kesho na kesho kutwa jitu linakutukana
Hayo Ni matokeo tu,, ila we wajibika kwa nafasi yako na ktk hili hatuna wa kumtupia ukishabeba mimba tu jiandae kwa pito hilo, tunamkosea aliyetuumba ije kuwa uliyemzaa aua kumzalia,,,
 
Mwanaume Wa Dar katika ubora wake

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…