Gharama inaanzia 440,000 hii nikwa mtu mmoja, wazazi yaani baba na mama ni 680,000, baba mama na mtoto mmoja ni 890,000 na baba, mama na watoto wawili ni 1,090,000/ hii ni kwa product ya jubilee afya na unatibiwa ndani ya Tanzania tu
Kwa product nyingine inaitwa Jcare hii Ina madaraja manne kuna cha Royal ambapo utaweza kupata matibabu Hadi ya milioni 80, kuna cha executive nacho unapata matibabu Hadi ya milioni 50, kuna advanced hili unapata matibabu Hadi ya milioni 30 na cha nne ni primer unapata matibabu Hadi ya milioni 15 hii product ni ya kimatatifa.
Yaani daraja la Royal na executive unaweza tibiwa katika nchi nje ya Africa na advanced na premier nchi zote za Africa Mashariki unatibiwa.
Kupata hizi za jcare sasa zinahitaji taarifa zako kwa kirefu ikiwemo idadi na umri wa wanafamilia.
Hapo nimejibu vizuri