Bima ya afya kutoka jubilee

Bima ya afya kutoka jubilee

kiri12

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
638
Reaction score
558
Habari wanajukwaa, napenda kuwakaribisha wale wote wanaohitaji kukata bima ya afya kutoka jubilee karibuni sana nitawahudumia.

Katika bima ya afya ya Jubilee unaweza kukata ya mtu mmoja, mtoto peke yake, ama familia.

Karibuni sana, kwa anayehitaji maelezo zaidi unakaribishwa kuuliza na nipo hapa kwaajili ya kuwajibu wote.
 
Ipo ya mtoto, wako anaumri gani?
 
Gharama inaanzia 440,000 hii nikwa mtu mmoja, wazazi yaani baba na mama ni 680,000, baba mama na mtoto mmoja ni 890,000 na baba, mama na watoto wawili ni 1,090,000/ hii ni kwa product ya jubilee afya na unatibiwa ndani ya Tanzania tu

Kwa product nyingine inaitwa Jcare hii Ina madaraja manne kuna cha Royal ambapo utaweza kupata matibabu Hadi ya milioni 80, kuna cha executive nacho unapata matibabu Hadi ya milioni 50, kuna advanced hili unapata matibabu Hadi ya milioni 30 na cha nne ni primer unapata matibabu Hadi ya milioni 15 hii product ni ya kimatatifa.

Yaani daraja la Royal na executive unaweza tibiwa katika nchi nje ya Africa na advanced na premier nchi zote za Africa Mashariki unatibiwa.

Kupata hizi za jcare sasa zinahitaji taarifa zako kwa kirefu ikiwemo idadi na umri wa wanafamilia.

Hapo nimejibu vizuri
 
Kwa wale wanaohitaji kukata kwaajili ya wafanyakazi nayo inautaratibu wake, ndio maana nimetoa hiyo namba ya simu kwa ajili ya appointment kama utakuwa tayari kupata huduma yoyote ya familia, mtu mmoja ama kwa wafanyakazi mnakaribishwa
 
Gharama inaanzia 440,000 hii nikwa mtu mmoja, wazazi yaani baba na mama ni 680,000, baba mama na mtoto mmoja ni 890,000 na baba, mama na watoto wawili ni 1,090,000/ hii ni kwa product ya jubilee afya na unatibiwa ndani ya Tanzania tu

Kwa product nyingine inaitwa Jcare hii Ina madaraja manne kuna cha Royal ambapo utaweza kupata matibabu Hadi ya milioni 80, kuna cha executive nacho unapata matibabu Hadi ya milioni 50, kuna advanced hili unapata matibabu Hadi ya milioni 30 na cha nne ni primer unapata matibabu Hadi ya milioni 15 hii product ni ya kimatatifa.

Yaani daraja la Royal na executive unaweza tibiwa katika nchi nje ya Africa na advanced na premier nchi zote za Africa Mashariki unatibiwa.

Kupata hizi za jcare sasa zinahitaji taarifa zako kwa kirefu ikiwemo idadi na umri wa wanafamilia.

Hapo nimejibu vizuri

Hiyo ya 440,000 package yake ikoje mkuu...?
 
Unapata huduma zote Hadi kulazwa inapobidi ila ni ndani ya nchi tu. Chukua namba hiyo nipigie nikufafanulie ama nipe namba yako nikupigie
 
nikiasi gani bima ya mtu mmoja,umri 55 wastan
Kwa daraja la Royal ni 1,953,949, executive 1,787,701 , Advanced 1,505,802 na primier 1,213,123

Hizo ni gharama za mtu mzima wa umri huo, karibu sana
 
Hapo utachagua Moja wapo.
 
Kwa daraja la Royal ni 1,953,949, executive 1,787,701 , Advanced 1,505,802 na primier 1,213,123

Hizo ni gharama za mtu mzima wa umri huo, karibu sana
Hapo utachagua Moja wapo. Daraja la kwanza na la pili nje ya nchi za Africa, la tatu na nne ndani ya nchi zote za Africa Mashariki.
 
Back
Top Bottom