Bima ya mtoto Wa kuanzia mwaka kuendelea ni shilingi ngapi kwa anaejua?bima NHIF ndio nnayo hitaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bima ya mtoto Wa kuanzia mwaka kuendelea ni shilingi ngapi kwa anaejua?bima NHIF ndio nnayo hitaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Bima ya afya ya mtoto kwa Nhif ipo inaitwa Toto gharama Yake Ni tsh 50,300 kwa mwaka ...
Utaenda na Cheti Cha kuzaliwa cha mtoto na passport size Kama mtoto ni zaidi ya miezi 6...
Ila Kama mtoto ana umri chini ya miezi 6 utaenda na Tangazo la kuzaliwa na passport size tu....
Utakapo mkatia hii Bima mtoto ataacha kuitumia mpaka atakapo fikisha miaka 18.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaah ndio hivyo ..Toto Afya inahusu wote walio chini ya Miaka 18 na Wanafunzi wote.
Wote hulipa 50400 na hutumika kwa Mwaka 1.
Bima hii inaanza tumika siku 90 baada ya kulipia na kurudisha Fomu.
Kwa watoto lazima upeleke Cheti cha kuzaliwa maana chapatikana hata kama mtoto ana siku 3
Kwa wanafunzi lazima upitie shuleni au chuoni kuweza pata hiyo bima
Sent using Jamii Forums mobile app
Bima ya afya ya mtoto kwa Nhif ipo inaitwa Toto gharama Yake Ni tsh 50,300 kwa mwaka ...
Utaenda na Cheti Cha kuzaliwa cha mtoto na passport size Kama mtoto ni zaidi ya miezi 6...
Ila Kama mtoto ana umri chini ya miezi 6 utaenda na Tangazo la kuzaliwa na passport size tu....
Utakapo mkatia hii Bima mtoto ataacha kuitumia mpaka atakapo fikisha miaka 18.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mkuu.Nashkuru sana kwa maelekezo mazuri,Cheti cha kuzaliwa nnacho ,ngoja nianze mchkato
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamebadilisha miongozo yao. Bibi yangu ana kisukari. Glucosticks wanampa mara moja ndani ya miezi 2. Hizo zina last mwezi mmoja tu. Lazma na yeye achangie. Huo ni mfano mmoja tuMkuu si kweli Nina rafiki yangu baba yake ana kidney failure na anapata huduma zooote kwa Nhif ... Huwa anafanyiwa mabadiriko ya damu mwaka mzima kwa hiyo hiyo kadi mpaka Sasa Hali Yake imetengemaa .... Mara ya mwisho kafanyiwa hayo matibabu mwaka Jana mwezi wa 11....
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaah ni kweli japo still Ni better kuliko bima zingine kwa amount anayotoa mtu wa NhifWamebadilisha miongozo yao. Bibi yangu ana kisukari. Glucosticks wanampa mara moja ndani ya miezi 2. Hizo zina last mwezi mmoja tu. Lazma na yeye achangie. Huo ni mfano mmoja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio bima inayolipia malaria, ila bima inahitaji ukate ije kukusaidia ukiwa mgonjwa, sio unahisi kuumwa unakataka bimaHahahah Ujinga uko Tanzania tu, na uzuri ni kwamba ujinga ni nywele na kilamtu ana zake. Bima inayolipia malaria pekee hahaha mtaisoma number kweli.
Bima ya NHIF ni bora sana maana vipimo vingi unapata, yakupasa kujua vipimo vyote vinavyotolewa na bima yako kabla ya kukata, vile vile yakupasa kujua ni kwa wakati gani. Hawezekan ukate bima mwezi jana then mwezi huu utumie bima kujingua. Na mkae mkijua biashara ya bima za afya hazina faida mara nyingi zinatumika tu kupata business katika bima nyinginezoBima hizi hazitaki kulipia vipimo, hawataki kulipia dawa, nini maana ya bima?
Wanakuchagulia ugonjwa wa kuugua.
Unaambiwa mwaka wa kwanza huduma ziko limited lakini hata baada ya kumaliza mwaka ukienda hospitali, utasikia x-ray, MRI au CT-San hawalipi, utaambiwa parasol watalipa lakini ciprofloxacin hawalipi, sasa unajiuliza kwanini una bima ya afya.
Unalipia premium kila mwezi no question lakini ukifika muda wa wewe kupata service zinakuwa limited.
Nadhani kuna haja insurance kueleza huduma wayakazolipia kabla hawaja mlazimisha mtumishi kuwa na insurance, maana wengi wasio na choices mnazozitafuata hapa wanaumizwa sana.
Insurance inalipia Malaria tu, ukiumwa beyond malaria wanaanza, ohoo hivyo vipiko hatulipii, sasa huyo daktari atajuaje naunwa nini kama hamtaki nifanyiwe vipimo?!
Insurance kama waneona 1.5 inatosha wasiweke masharti, na kama haitoshi basi waseme ni kiasi gani kinatosha ili ukijibana ukalipia au ukakatwa kazini wakubali nawewe upate huduma unlimited kuliko ilivyo sasa.
Sasa watumishi ukatwe NIHF, isikusaidie halafu uingie gharama kulipia Jubilee, au AAR kwa pesa nyingine, rushwa itaishaje huku makazini.
Wote tungepata huduma sawa ingekuwa rahisi kuliko kuwekwa kwenye mafungu, sisi NIHF wao Jubilee au AAR na wote tuko ofisi moja.
Kama wabunge na mawaziri nao wangekuwa na hizi NIHF bila shaka huduma zingeboreshwa, tofauti na hapo tunaumia sisi.
Akili yako itakuwa na matatizo, biashara gani ina faida ikazidi bima?! Tena hii ya kulazimishwa, bora ingekuwa utashi wa mtu, unakatwa kwa lazima kazini lakini huduma unazisotea hospitalini, unadhani nani ana muda kuanza kujua vipimo wakati hujaumwa ?! Hilo jukumu la madaktari nikiumwa sio kazi yangu.Bima ya NHIF ni bora sana maana vipimo vingi unapata, yakupasa kujua vipimo vyote vinavyotolewa na bima yako kabla ya kukata, vile vile yakupasa kujua ni kwa wakati gani. Hawezekan ukate bima mwezi jana then mwezi huu utumie bima kujingua. Na mkae mkijua biashara ya bima za afya hazina faida mara nyingi zinatumika tu kupata business katika bima nyinginezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio maana ya neno bimaSio bima inayolipia malaria, ila bima inahitaji ukate ije kukusaidia ukiwa mgonjwa, sio unahisi kuumwa unakataka bima
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss ninachokwambia najua, mara nyingi biashara ya bima ya afya inatolewa kwa kutoa support kwenye general insurance business (bima tofauti na za afya) kwa kampuni za kibinafsi.Akili yako itakuwa na matatizo, biashara gani ina faida ikazidi bima?! Tena hii ya kulazimishwa, bora ingekuwa utashi wa mtu, unakatwa kwa lazima kazini lakini huduma unazisotea hospitalini, unadhani nani ana muda kuanza kujua vipimo wakati hujaumwa ?! Hilo jukumu la madaktari nikiumwa sio kazi yangu.
Ipo NHIF na gharama zake nimekuwekea hapo.Kuna kampuni nyingi za bima za afya Tanzania.Anayejua gharama za bima zao za afya na packages zao atuwekee hapa ili anayetaka ajue aende wapi
Asanteni wale wote mnaoendelea kunipa pole msgs ni nyingi mno kipindi hichi nimezidi kua karibu sana Mungu[emoji1431]
Twende kwenye mada
Nimeona post nyingi zinalalamikia kuhusu bima ya afya ya NHIF na zingine, binafsi niongelee kuhusu NHIF
Kwa upande wangu ilinichukua siku30 kupata kadi ya bima baada ya kufanya taratibu zote za kujiunga. Nilifanya maombi January mwishoni nikapata February mwaka huu kwa malipo ya 192,000 (kwa mwaka).
Huduma wameweka kwenye categories Tatu kulingana na miaka na pesa unayolipia, mimi nilikata inaitwa NAJALI AFYA
Kuanzia ujauzito wangu hadi kujifungua nimetumia bima kasoro kujifungua tu ndio nililipia ila malazi (leba) na siku zingine sijalipia hata mia, nimeonana na daktari bingwa si chini ya mara 10 kupitia hiyo bima sijalipia bado ultrasounds mara3, madawa, sindano
Yani nimetumia zaidi ya 1m+ while mimi nililipia 192,000 tu na hapa ni mpaka mwakani February.
Bado nimeng’arisha meno sijalipia kabisa, kingine nilicholipia ni dawa za kukausha maziwa, 21,000 tu
Kila kitu hakikosi changamoto, kwa upande wangu IMENISAIDIA SANA na hapa mwakani nailipia tena!
Wa mama kija jamani kama hauna bima tafuta mapema tu ujauzito unachangamoto sana na sikuhizi kumuona daktari unalipia kufungua file unalipia fikiria ukienda hosp mara nyingi unalipia kiasi gani? Bado madawa, unaweza ukaandikiwa kulazwa
Mods msiniunganishie uzi wangu na nyuzi zingine[emoji112]
UCHAGUZI MWEMA WANAJF