Pisi kali
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,234
- 2,535
Jamani naomba kuuliza,ulikuwa na mke umemkatia bima baadae mkaachana ,je ile bima unaweza kumuondoa ukamuweka mke mwingne ulie muoa ?
Swali la pili,nilimkatia mdogo wangu bima mda kidogo naadae ikapotea,wakati nataka kuirudisha wakasema tayari sheria imebadilika ndugu zako hawamo tena kama zamani.Sasa je hiyo nafasi yake nawaeza muweka mtu mwingne anaetambulika kisheria ?
Kuhusu kumuweka mke mwingine nahisi ukienda na vielelezo vyote watamtoa, mfano mtu akifariki unapeleka death certificate copy wanamtoa unamuwekea mtu mwingine
Wamebadilisha Sheria maana hata bima yenyewe wameiweka kwenye packages Tatu kulingana na umri na kiasi cha pesa utakachoweza kuchangia kama unalipia kutoka kazini kabisa pia wanapackage zao kulingana na unavyochangia