Pisi kali
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,234
- 2,535
NHIF kwa sasa ni dhuruma tupu. Nachangia 120,000 monthly toka mshahara. Kwenye nafasi tano za Dependants nilijaza mbili tu za watoto wangu . wamenitimia meseji ati December wanamuondoa mtoto wangu mmoja kwa vile atakua 18 years. That is daylight robbery. Something has to be done
Inatakiwa ufike ofisini kwao
Kama shule anayosoma mwanao wamejiunga na mfuko wa bima basi anachukua fomu unajaza anaenda nayo ni 50,400 kwa mwaka au uende na nyaraka za mtoto za shule offcn kwao uwaelezee japo kwenye vipeperushi vyao wameandika kuanzia 18-35yrs bima za kujitegemea unless awe anatumia kupitia shule/chuo Au vikundi binafsi
Fika offcn kwao na nyaraka za mtoto kama birth certificate, kitambulisho cha shule naimani tatizo lako litatuliwa japo inaweza isiwe kwa uharaka sana maana mm kupata kadi niliambiwa within 30days