Bimmer na Landcruiser V8

Ni mkeka Sawa ila kunakua na mashimo ya hapa na pale ya kushtukiza bila kusahau rasta na bumps. Hapo ndipo mjapan anapiga bao na LC 200
Mie msafiri sana wa hiyo njia mashimo yaliyopo machache sana na ni madogo yasio na shida, nimekuwa mpenda ligi sana na kigari kidogo tu hao wajapan nilikuwa nawaweka sana chini na barabara hiyo na mwendo wangu na hizo barabara unazo sema zina mashimo ni 200-240kmh.. Kuna gari ya toyota ambayo huwa iki respond challenge pekee ambayo huwa nakuwa mpole ni VXR lakini wengi wao nalala nao mbele 😀😀😀😀😀😀 mwisho wa siku kila gari ina uzuri wake binafsi napenda VXR official purpose sio gari nyonge hata kidogo
 
Pick up siku zote zinajulikana kama gari za field sasa mjeruman badala kutengeneza gari simple kwa ajili ya kazi yeye akakimbilia kuwekwa vikorombwezo kibao matokeo yake zikamchachia
Ukweli ile gari ukiangalii, ni full luxury, ila field zipo za aina nyingi mkuu.. Hata Maafisa mikopo wakienda kufanya makusanyo nayo ni field wanaweza tumia sema ndio bei kimbembe
 
Petrol tu, gari ya diesel ya kazi gani asee yamekuwa malori hayo.. root moja tu Dar es Salaam to Mwanza .. kwenda na kurudi.. mtakata mzizi wa fitina
Petrol itafutwe petrol version ya landcruiser ili kusiwe na sababu! Zipo nyingi tu ila 3UR V8 will do! Ipo 200 series ya petrol V8 with 381 horses then weka hio BMW yako hapo tuone mapigo!
 
Na push Land Cruiser GXR ya taasisi flan hivi.
Juzi nikitoka Dar to Dom nilitegemea changamoto kutoka kwa X5 BMW. Sikuipata na sikuweza kupima vizuri as jamaa alikuwa muoga wa torch.

Hatukuweza kupimana vizuri.
 
Na push Land Cruiser GXR ya taasisi flan hivi.
Juzi nikitoka Dar to Dom nilitegemea changamoto kutoka kwa X5 BMW. Sikuipata na sikuweza kupima vizuri as jamaa alikuwa muoga wa torch.

Hatukuweza kupimana vizuri.
Bora wewe umejisemea kweli, maana unaweza jikuta unaanzisha challenge na mtu hana hata time , badae unakuja sema ulimchapa vibaya
 
Mkuu mtatafuta pa kujificha aisee uje kushindana na gari inacheua 600HP na hicho chenu cha 400HP 😁😁😁😁 mnaleta utani sanaaaa
Gari gani inayocheua 600HP? Mmbongo anaweza kununua gari top spec toka bmw labda mtoto wa GSM ama bhakresa! Hizo M competition nyingi naona watu wanajibandikia vile virangi😅 na badge

Wengi na vi bmw vyao wanajikunyata kwenye 1.5-3L engines zenye 160-250HP na wenye SUV wengi ni Diesel. Wabongo wenye bmw za 300HP plus ni wa kuhesabika. Halafu mtu anadiss Toyota yenye horsepower za humo humo 😅😅😅!

1VD tu kwa kichaa cha 235HP lazma itawasumbua hao 3 series wenu wengi wa 1.5-2.0 excluding wenye ile 328i walau wanaweza kunyanyua shingo kidogo sababu engine yake inawahi kuchanganya twinturbo petrol ya 240HP at maximum rpm. Ila akiwekwa 200 series 3UR-FE petrol hamna choko yeyote wa BMW 3 series atakaesogeza pua including the M3! Watakaotamba ni kuanzia 400HP plus

Cruiser ya 1GR FE yenyewe tu mziki wake ni mnene sema sio nyingi ila hii engine iko kwenye prado za petrol baadhi na 70 series UTE! This masterpiece fucks all 3 series excluding the M3!
 
Kuna Mercedes Benz Kompressor toleo la kuanzia 2001 mpaka 2006.

Pale design engineer wao alifeli. Gari imebonyea sana huku mbele. Katika sedan zilizotokewa miaka hiyo basi kwangu mimi ile Benz ndio sedan yenye sura mbaya.
 

Hiyo 3UR kwa jinsi wabongo walivyokuwa wabahili aiseee usiiweke kwenye mjadala.

Kupower 5.7L petrol kwa mbongo ataiita hiyo gari majina yote. Jini, zimwi, n.k.

Pia 3UR ni kubwa jinga... 5.7L inazalisha 381Hp.
 
Na push Land Cruiser GXR ya taasisi flan hivi.
Juzi nikitoka Dar to Dom nilitegemea changamoto kutoka kwa X5 BMW. Sikuipata na sikuweza kupima vizuri as jamaa alikuwa muoga wa torch.

Hatukuweza kupimana vizuri.
Aisee tochi zinazingua nazo..
Gari nyingi zinapishana hapo..!
Kuna sehemu 50 ndefu kweli kweli..!
 
Hiyo 3UR kwa jinsi wabongo walivyokuwa wabahili aiseee usiiweke kwenye mjadala.

Kupower 5.7L petrol kwa mbongo ataiita hiyo gari majina yote. Jini, zimwi, n.k.

Pia 3UR ni kubwa jinga... 5.7L inazalisha 381Hp.
Hahahahah sasa si tunataka fair comparison mkuu! Huwezi kutaka kushindanisha bmw ya petrol halafu ulinganishe na diesel ya cruiser!

Hio ikiwa tuned inaweza fua hata 600 horses! Ma turbo na superchargers yakiwekwa itazalisha mora than that! Sema mjapenga ni mutu ya Naturally aspirated sana sana ila from 2016 ndio ameanza anza ku turbo gari zake!
 
Ukishasogea kwenye 320i tu anapambana na VXR vizuri kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…