The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
Mwenyeezi Mungu haui anatwaa uhai aliokupa. Binaadam anakuuwa bila kuutwaa uhai aliokupa Mwenyeezi Mungu.
Hapo sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyeezi Mungu haui anatwaa uhai aliokupa. Binaadam anakuuwa bila kuutwaa uhai aliokupa Mwenyeezi Mungu.
Twende taratibu! Kuhamisha bahari kivipi? Yani kusongeza Maji kijisehemu Au kuipeleka bahari inchi kavu ambako Hakuna bahari na ikakaa huko?
Na huo mlima kuuhamisha vp? Kuuvunja na kuusambaza Au kusema Kwa neno mlima hama hapa na uende pale? Ebu fafanua kidogo Mkuu!
Narudia tena! Swala la kuamua kufa Au kutokufa ni hoja ndogo sn ambayo huwezi ukaipa nguvu mpk useme uko Na uwezo Wa Mungu! Kwasababu Mwanadamu amepewa akili Na mamlaka ya kutawala kila kitu duniani!
Kuumba ni kutamka na kitu kutokea 'Mwanzo 1:1' hakuna Mwanadamu anaeweza kuumba, hata Shetani hana huu uwezo, isipokuwa ni Mungu pekee. Anachokifanya Mwanadamu ni KUUNDA, kuunda ni tofauti na Kuumba. Tunaunda vitu vingi mfano ndege, Tv, Simu n.k hivi vitu hatutoi maneno kisha vikatokea ila tunatumia gharama zetu. Mm ninakushauri, achana na kubishana na mtu ambae hata ukimwambia hatosadiki ndio maana hata Yesu alipopelekwa Baraza Kuu la Dini ya Kiyahudi kila alichouliza alijibu ' Wewe Wasema ' alijibu hivi kwa kuwa hakupenda majibizano wala mabishano.
kwanza nini maana ya uumbaji?Mwanadamu ndiye aliyemuumba MUNGU.
Asante Kwa ushauri wako Mkuu! Ndio Maana ata Mimi sibishani nao sn!
kwanza nini maana ya uumbaji?
Afu fafanua, ni vipi mwanadamu anaumba Mungu!
Afu mtaje huyo Mungu alieumbwa na binadamu!
Kuumba ni kutamka na kitu kutokea 'Mwanzo 1:1' hakuna Mwanadamu anaeweza kuumba, hata Shetani hana huu uwezo, isipokuwa ni Mungu pekee. Anachokifanya Mwanadamu ni KUUNDA, kuunda ni tofauti na Kuumba. Tunaunda vitu vingi mfano ndege, Tv, Simu n.k hivi vitu hatutoi maneno kisha vikatokea ila tunatumia gharama zetu. Mm ninakushauri, achana na kubishana na mtu ambae hata ukimwambia hatosadiki ndio maana hata Yesu alipopelekwa Baraza Kuu la Dini ya Kiyahudi kila alichouliza alijibu ' Wewe Wasema ' alijibu hivi kwa kuwa hakupenda majibizano wala mabishano.
Namaanisha kuwa, muanzilishi wa idea ya mungu ni binadamu. (nukta)
kwanza nini maana ya uumbaji?
Afu fafanua, ni vipi mwanadamu anaumba Mungu!
Afu mtaje huyo Mungu alieumbwa na binadamu!
Tunasema kwamba binadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu. Mimi nakataa kumfikiria Mungu aliye fukara, mjinga, mshirikina, mwoga, dhalili, mnafiki nk, ambayo ndiyo hali ya walio wengi kati ya wale aliowaumba kwa mfano wake mwenyewe. Binadamu wenyewe ni waumbaji, hujitengenezea hali zao za maisha,
binadam wote ?
...lakini tulivyo hivi sassa tu viumbe, tena si viumbe wa Mungu, bali wa binadamu wanzetu
binadam sasa tukoje ?
FICHA UPUMBA.VU WAKO,mungu ni idea ? nani (binadam gani) muanzilishi wa hiyo idea ?
Namaanisha kuwa, muanzilishi wa idea ya mungu ni binadamu. (nukta)
Binadamu anaumba. Anayo Creative power.
Hata kuzaa ni kuumba. Ukisema ni kuunda sio kweli. Kuunda ni kuassemble. Kilichoanza ni creative thought .Wazo ndio uumbaji na uundaji unafuata baada ya kuumba inwardly. Kuna cause yaani creative thought, halafu kuna effect, yaani unachokiona phyisically.
Hiyo red ni ishara ya uoga na kukwepa kujibu hoja!
...
Anyway, :focus:
Hivi unamanisha kuanzisha idea ni kuumba?
Embu nipe maana ya uumbaji!
Yeriko ni kweli kabisa. Binadamu ana uwezo wa kujitibu na kujiua. Yeyote yule akiweka kwenye hisia na rohoni, yaani mkwenye subconsious mind kwamba anataka kufa na akunuia anakufa kweli. Ila kuna cause ambayo hata watu watashangaa nini kimetokea. Hata akijinyonga ujue aliamua kufa, kitanzi ni njia tu.
Naona unazunguuka kama haujaelewa mada, namaanisha kuwa HAKUNA MUNGU MUUMBA, wazo la "mungu" lilianzishwa na watu wanaoga kama wewe!
Hicho chanzo ndiyo kimenichekesha!