Binadamu anauwezo wakujiua mwenywe bila kutumia zana yoyote ionekayo!

Binadamu anauwezo wakujiua mwenywe bila kutumia zana yoyote ionekayo!

Twende taratibu! Kuhamisha bahari kivipi? Yani kusongeza Maji kijisehemu Au kuipeleka bahari inchi kavu ambako Hakuna bahari na ikakaa huko?

Na huo mlima kuuhamisha vp? Kuuvunja na kuusambaza Au kusema Kwa neno mlima hama hapa na uende pale? Ebu fafanua kidogo Mkuu!

Narudia tena! Swala la kuamua kufa Au kutokufa ni hoja ndogo sn ambayo huwezi ukaipa nguvu mpk useme uko Na uwezo Wa Mungu! Kwasababu Mwanadamu amepewa akili Na mamlaka ya kutawala kila kitu duniani!

Kuumba ni kutamka na kitu kutokea 'Mwanzo 1:1' hakuna Mwanadamu anaeweza kuumba, hata Shetani hana huu uwezo, isipokuwa ni Mungu pekee. Anachokifanya Mwanadamu ni KUUNDA, kuunda ni tofauti na Kuumba. Tunaunda vitu vingi mfano ndege, Tv, Simu n.k hivi vitu hatutoi maneno kisha vikatokea ila tunatumia gharama zetu. Mm ninakushauri, achana na kubishana na mtu ambae hata ukimwambia hatosadiki ndio maana hata Yesu alipopelekwa Baraza Kuu la Dini ya Kiyahudi kila alichouliza alijibu ' Wewe Wasema ' alijibu hivi kwa kuwa hakupenda majibizano wala mabishano.
 
Asante Kwa ushauri wako Mkuu! Ndio Maana ata Mimi sibishani nao sn!
 
Asante Kwa ushauri wako Mkuu! Ndio Maana ata Mimi sibishani nao sn!

Ntuzu usikate tamaa bhana!
Hawa ndugu zetu bongo zao zinatope! Tuendelee kuwaquestion na kuwapa maelezo mazuri huenda wakanyooka! Wazee walisema 'Ntu si mbwa!'
 
kwanza nini maana ya uumbaji?
Afu fafanua, ni vipi mwanadamu anaumba Mungu!
Afu mtaje huyo Mungu alieumbwa na binadamu!

Namaanisha kuwa, muanzilishi wa idea ya mungu ni binadamu. (nukta)
 
Kuumba ni kutamka na kitu kutokea 'Mwanzo 1:1' hakuna Mwanadamu anaeweza kuumba, hata Shetani hana huu uwezo, isipokuwa ni Mungu pekee. Anachokifanya Mwanadamu ni KUUNDA, kuunda ni tofauti na Kuumba. Tunaunda vitu vingi mfano ndege, Tv, Simu n.k hivi vitu hatutoi maneno kisha vikatokea ila tunatumia gharama zetu. Mm ninakushauri, achana na kubishana na mtu ambae hata ukimwambia hatosadiki ndio maana hata Yesu alipopelekwa Baraza Kuu la Dini ya Kiyahudi kila alichouliza alijibu ' Wewe Wasema ' alijibu hivi kwa kuwa hakupenda majibizano wala mabishano.

Hicho chanzo ndiyo kimenichekesha!
 
Tunasema kwamba binadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu. Mimi nakataa kumfikiria Mungu aliye fukara, mjinga, mshirikina, mwoga, dhalili, mnafiki nk, ambayo ndiyo hali ya walio wengi kati ya wale aliowaumba kwa mfano wake mwenyewe. Binadamu wenyewe ni waumbaji, hujitengenezea hali zao za maisha,

binadam wote ?
...lakini tulivyo hivi sassa tu viumbe, tena si viumbe wa Mungu, bali wa binadamu wanzetu

binadam sasa tukoje ?
 
Binadamu anaumba. Anayo Creative power.
Hata kuzaa ni kuumba. Ukisema ni kuunda sio kweli. Kuunda ni kuassemble. Kilichoanza ni creative thought .Wazo ndio uumbaji na uundaji unafuata baada ya kuumba inwardly. Kuna cause yaani creative thought, halafu kuna effect, yaani unachokiona phyisically.
 
Yeriko ni kweli kabisa. Binadamu ana uwezo wa kujitibu na kujiua.Yeyote yule akiweka kwenye hisia na rohoni, yaani mkwenye subconsious mind kwamba anataka kufa na akunuia anakufa kweli. Ila kuna cause ambayo hata watu watashangaa nini kimetokea. Hata akijinyonga ujue aliamua kufa, kitanzi ni njia tu.
 
FICHA UPUMBA.VU WAKO,mungu ni idea ? nani (binadam gani) muanzilishi wa hiyo idea ?

Hahahahaa, unatoa povu la bure tu ndugu yangu punguza hasira usije kujitoa muhanga bure! Hakujakuwa na scientific proof ya uwepo wa mungu bado, MUNGU ANABAKI KUWA WAZO TU!
 
Namaanisha kuwa, muanzilishi wa idea ya mungu ni binadamu. (nukta)

Hiyo red ni ishara ya uoga na kukwepa kujibu hoja!
...
Anyway, :focus:
Hivi unamanisha kuanzisha idea ni kuumba?
Embu nipe maana ya uumbaji!
 
Binadamu anaumba. Anayo Creative power.
Hata kuzaa ni kuumba. Ukisema ni kuunda sio kweli. Kuunda ni kuassemble. Kilichoanza ni creative thought .Wazo ndio uumbaji na uundaji unafuata baada ya kuumba inwardly. Kuna cause yaani creative thought, halafu kuna effect, yaani unachokiona phyisically.

Umeelezea vizuri!
Embu nipe majibu ya haya maswali:
1 Mungu ni nani/nini?
2 Jee ni Mungu yupi alieumbwa na mwanadamu?
3 Na ni binadamu gani aliemba Mungu?
 
Hiyo red ni ishara ya uoga na kukwepa kujibu hoja!
...
Anyway, :focus:
Hivi unamanisha kuanzisha idea ni kuumba?
Embu nipe maana ya uumbaji!

Naona unazunguuka kama haujaelewa mada, namaanisha kuwa HAKUNA MUNGU MUUMBA, wazo la "mungu" lilianzishwa na watu wanaoga kama wewe!
 
Yeriko ni kweli kabisa. Binadamu ana uwezo wa kujitibu na kujiua. Yeyote yule akiweka kwenye hisia na rohoni, yaani mkwenye subconsious mind kwamba anataka kufa na akunuia anakufa kweli. Ila kuna cause ambayo hata watu watashangaa nini kimetokea. Hata akijinyonga ujue aliamua kufa, kitanzi ni njia tu.

Si unaona mnavyotuzonga hapo?
Wote tunakubali mtu ukijinyonga, ukinywa sumu, ukikatwa kichwa na mengineyo kama hayo, ni lazima kifo kitokee!
...
Issue ya hapa ni vipi mtu atajiua bila ya kutumia hizo njia? = Mtu anajiuaje kwa kutumia akili tu bila ya kutumia zana nyengine yoyote?
 
Back
Top Bottom