Hapa ndipo penye shida mkuu.Inawezekana uduni wa msamiati wa Kiswahili au akili ndogo za wanaofundisha na wanaosoma evolution walitafsiri "apes" kuwa ni nyani au sokwe na wakaendelea kuamini na kuaminisha watu huu upuuzi mpaka leo
Kumbe walimu wa histori walikuwa wanatulisha matango pori? tumwamini nani sasa ..Sijui ilikuaje huu ujinga wa kuamini Sayansi inasema binadamu tulitoka kwa nyani au sokwe kukita mizizi sana kwenye vichwa vya watu wengi wanaoamini binadamu waliumbwa.
Sayansi kupitia nadharia ya evolution haisemi binadamu waliwahi kuwa nyani au walitokana na nyani. Evolution inasema binadamu tuko katika "great apes".
Inawezekana uduni wa msamiati wa Kiswahili au akili ndogo za wanaofundisha na wanaosoma evolution walitafsiri "apes" kuwa ni nyani au sokwe na wakaendelea kuamini na kuaminisha watu huu upuuzi mpaka leo.
Binadamu hatokani na jamii za nyani bali binadamu yuko kwenye familia kubwa ya "great apes". Nyie walimu uchwara ndio mmeleta huu upotoshi, mnapaswa kupigwa viboko.Hiyo mada tuliishaikataa mjuba, hata shuleni hatufundishi wanafunzi kuamini hivyo, tunawaambia mtihani ukija jibuni kama mada inavyosema binadamu anatokana na jamii za nyani ili mfaulu mtihani ila binadamu hatokani na nyani
Mkuu vipi na hii ya chanzo ni Hawa na AdamBinadamu hatokani na jamii za nyani bali binadamu yuko kwenye familia kubwa ya "great apes"
Utoto nao shida tu! sasa hata kama wangenambia great apes ningepinga nini.Kama walikufundisha binadamu anatokana na nyani au sokwe hayo ni matangopori.
Na sijui kwanini tumebakia tunaukumbatia ilhali tunajua ni uongoNi story tu ya kiyahudi
Lete ushahidiWazungu ndo wametokana na sokwe na nyani wazungu sio watu ni binadamu watu weusi ni watu asilia wazungu ni viumbe wageni hapa Duniani.
mwalimu haruhusiwi kufundisha vitu nje na mtaala, kama mtaala unasema binadamu anatokana na nyani basi itafundishwa hivyohivyoBinadamu hatokani na jamii za nyani bali binadamu yuko kwenye familia kubwa ya "great apes". Nyie walimu uchwara ndio mmeleta huu upotoshi, mnapaswa kupigwa viboko.
Kama kuna mtaala unaosema binadamu walitokana na nyani huo ni mtaala ulioandaliwa na vilaza wajinga na wapotoshaji.mwalimu haruhusiwi kufundisha vitu nje na mtaala, kama mtaala unasema binadamu anatokana na nyani basi itafundishwa hivyohivyo
Propaganda za wazungu.Sijui ilikuaje huu ujinga wa kuamini Sayansi inasema binadamu tulitoka kwa nyani au sokwe kukita mizizi sana kwenye vichwa vya watu wengi wanaoamini binadamu waliumbwa.
Sayansi kupitia nadharia ya evolution haisemi binadamu waliwahi kuwa nyani au walitokana na nyani. Evolution inasema binadamu tuko katika "great apes".
Inawezekana uduni wa msamiati wa Kiswahili au akili ndogo za wanaofundisha na wanaosoma evolution walitafsiri "apes" kuwa ni nyani au sokwe na wakaendelea kuamini na kuaminisha watu huu upuuzi mpaka leo.
Hapo kale kabla ya ugeni , MTU MWEUSI alikuwa na kundi la damu moja tu Yani kundi Hasi sifuri Yani Negative Zero Blood Group(-O)Lete ushahidi