Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
Olduvai Gorge ya Tanzania ni moja ya maeneo muhimu zaidi katika historia ya binadamu, hilo halina ubishi. Lakini kusema ābinadamu wa kwanza kabisa alipatikana Olduvaiā si sahihi. Ushahidi mwingine wa zamani zaidi unapatikana pia Afrika.Propaganda za wazungu.
Binadamu wa kwanza fuvu lake limegundulika olduvai gorge(Africa - Tanzania) ,sasa wazungu wakaona wivu wakaona bora waseme binadamu wa kwanza alikuwa nyani.
Na hadi leo watoto wao wanajua Africa ni misitu na wanyama tu ,hakuna binadamu wanaishi.
Hawajui kutofautisha Ghana na Kenya wao wanajua Africa tu the same na sisi tusivyojua kutofautisha kwao tunageneralize Jamaa ameenda Ulaya(Uropa) ,Jamaa ameenda marekani(Kumbe yupo vijijini Kentucky .Tennessee au West Virginia)
Lete ushahidi wa DNA au archaeological/genetic evidence unaoonyesha hilo unasema,!Hapo kale kabla ya ugeni , MTU MWEUSI alikuwa na kundi la damu moja tu Yani kundi Hasi sifuri Yani Negative Zero Blood Group(-O)
Lakini kwanini Leo hii Kuna makundi ya damu 8 (A+, B+, AB+, O+ na A-, B-, AB- na O-) hayo 7 yametokea wapi na Kwa Nini na Kwa jinsi gani yametokea?
Ila ukiwatazama sana ccm unaweza amini huu uzushi
DNA ameitengeneza muafrika?Lete ushahidi wa DNA au archaeological/genetic evidence unaoonyesha hilo unasema,!
Lete ushahidi wa DNA au archaeological/genetic evidence unaoonyesha hilo unasema,!
Lete ushahidi wa DNA au archaeological/genetic evidence unaoonyesha hilo unasema,!
Dah! Umekuja na mfano kabisa!!
Binadaamu na sokwe wametokana na kitu kinaitwa common ancestor (.yaani tuuite ukoo mmoja au babu mmoja)Sijui ilikuaje huu ujinga wa kuamini Sayansi inasema binadamu tulitoka kwa nyani au sokwe kukita mizizi sana kwenye vichwa vya watu wengi wanaoamini binadamu waliumbwa.
Sayansi kupitia nadharia ya evolution haisemi binadamu waliwahi kuwa nyani au walitokana na nyani. Evolution inasema binadamu tuko katika "great apes".
Inawezekana uduni wa msamiati wa Kiswahili au akili ndogo za wanaofundisha na wanaosoma evolution walitafsiri "apes" kuwa ni nyani au sokwe na wakaendelea kuamini na kuaminisha watu huu upuuzi mpaka leo.
Hakuna Sokwe waliobadilika kuwa binadamu. Maelezo mengine yote ni sahihi.Binadaamu na sokwe wametokana na kitu kinaitwa common ancestor (.yaani tuuite ukoo mmoja au babu mmoja)
Na DNA ya sokwe na binadaamu zinafanana karibia kwa 98.7% jambo linaloashiria ukaribu wa ajabu mno kwamba hawa kama ungekuwa mti basi wamezaliwa na mti mmoja wao wakawa matawi, baada ya miaka zaidi ya milioni 6baadhi ya sokwe walibadilika kulingana na mazingira na kuwa binadaamu, wengine walibakia hivyo hivyo ili kuendana na mazingir yao na wameisha adapt hayo mazingira kwa hiyo uwezekano tena wa kubadilika na kuwa watu ni mdogo au haupo kabisa, au wanaweza kubadilika na kuwa kitu kingine, ikumbukwe Evolution ni kitendo kinacjofanyika taratibu mno( gradual process) kutoka kizazi kimoja kwenda kingine, evlotion inaweza kuchukuwa milions to bilions of years, sasa binadamu.anaeishi maisha ya miaka 100 ni ngumu kunotice evolutionary changes, lakini evidence za evolution zipo za kutosha
WalilaaniwaKwanini nyoka hawaongei tena na binadamu?
View attachment 3661464
Au kwanini Punda wa sasa hawaongei hata ukiwapiga?
View attachment 3661465
Mbona hata sisi kwa mujibu wa hizo hizo stori ni kuwa na sisi tuna laana ya asili ambayo ilitokana na Adam na Hawa.Walilaaniwa
Walichelewa mchakato na idadi ya binadamu ilikuwa imeshatosha!Kwa sababu binadamu hajatokana na sokwe au nyani.
Sokwe na nyani ni ndugu zetu tu au wapwa wetu wa katika evolution ila sio wazazi wetu au chanzo cha binadamu.
View attachment 3661426
View attachment 3661427