Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,835
- 8,703
Binadamu ni 'deuterostome', Chordate, Bonny fish, Lobe-finned fish, Amphibian with common ancestors with Reptiles, Mammals, Rodents, Monkeys, Great Apes, and Bonobos and Chimps!Kama walikufundisha binadamu anatokana na nyani au sokwe hayo ni matangopori.
Walimu huwa wanachanganya sana aisee asilimia 99 ya watu eti wanaelewa kama ulivyokataa kuwa binadamu anatokana na nyani,binadamu na primates(nyani) tunashare a common ancestor tu katika evolution na sio kwamba nyani/sokwe ndio walibadilika kuwa binadamu,kuelewa hili unatakiwa usome Evolution deep,bahati mbaya elimu ya Bongo haipo deep sana maana na walimu nao hawajui wanagusagusa tu,mimi ile Geographocal time scale inayoonyesha nyakati tofautitofaut za dunua kuanzia sijui Cambrian era,pelozoic era sijui Ice age nilikuja kuielewa baadae kabisa baada ya kuisoma deep ila shuleni sikuwah kuona ikizungumziwa na ilikuwepo kwenye mtaala.Hata leo bado ipo kwenye mtaala lakini chukua wanafunzi watano wakuelezee Geographical time scale na period zake ni nadra sana wanafunzi hao wote kukuelezea hata kwa asilimia 10 tuKwa sababu binadamu hajatokana na sokwe au nyani.
Sokwe na nyani ni ndugu zetu tu au wapwa wetu wa katika evolution ila sio wazazi wetu au chanzo cha binadamu.
View attachment 3661426
View attachment 3661427
Wanageuka, mwingine ameshawahi kuwa mbunge wa BundaKwa sababu binadamu hajatokana na sokwe au nyani.
Sokwe na nyani ni ndugu zetu tu au wapwa wetu wa katika evolution ila sio wazazi wetu au chanzo cha binadamu.
View attachment 3661426
View attachment 3661427
Kama binadamu alitokana na sokweAlishindwa kuthibitisha nini?
Watu wa Mara hawajawahi kuwa na utani na wewe.Kuna binadamu mmoja nina wasi wasi aligeuka, najua unamjua😆
Chui, Duma, Jaguar, Tiger na cats wengine wengi hawabadiliki kuwa Simba. Simba na hawa wote ni cat family, ndivyo hivyo ilivyo kwa binadamu, sokwe, nyani na wengine (wote ni apes na sio kwamba kiumbe kimoja kinatokana na kingine). Lengo la evolution ni survival, sio kutengeneza viumbe bora zaidiUngeonyesha huyo 'common' ancestor' kwenye kila 'junction' ungekuta ni kiumbe kama sokwe, nyani na kadhalika, kwahiyo binadamu ametokana na aina fulani ya nyani ambaye alikuja kuwa aina fulani ya sokwe! Kwahiyo wanaorahisisha waheshimiwe!
NB: Manyani na sokwe wanaendelea na mabadiliko yao ya polepole sana, kama kawaida ya EVOLUTION, na wakipewa muda wa kutosha, na kupunguziwa fujo za binadamu, huenda wakawa hata viumbe bora zaidi yetu!
THAT WAS GIBBERISH! ... Common ancestor wa nyani na binadamu ni aina fulani ya nyani duni, na common ancestor wa binadamu na sokwe ni aina fulani ya sokwe duni! ... survival of the fitest inamfanya offspring kuyamudu mazingira vizuri zaidi ya muhenga wake kwahiyo, mara nyingi, kuwa bora zaidi au 'more adapted'!Chui, Duma, Jaguar, Tiger na cats wengine wengi hawabadiliki kuwa Simba, Simba na Hawa wote ni cat family, ndivyo hivyo ilivyo kwa binadamu, sokwe, nyani na wengine (wote ni apes na sio kwamba kiumbe kimoja kinatokana na kingine). Lengo la evolution ni survival, sio kutengeneza viumbe bora zaidi
Kasome nadharia yake yote ndiyo uje kubishaDarwin hakuwahi kusema binadamu ametokana na Sokwe.
Njoo na ushahidi wa kisayansi kuipinga hoja yako..mana wenzio waliileta hoja hii kupitia tafiti za kisayansi.Sijui ilikuaje huu ujinga wa kuamini Sayansi inasema binadamu tulitoka kwa nyani au sokwe kukita mizizi sana kwenye vichwa vya watu wengi wanaoamini binadamu waliumbwa.
Sayansi kupitia nadharia ya evolution haisemi binadamu waliwahi kuwa nyani au walitokana na nyani. Evolution inasema binadamu tuko katika "great apes".
Inawezekana uduni wa msamiati wa Kiswahili au akili ndogo za wanaofundisha na wanaosoma evolution walitafsiri "apes" kuwa ni nyani au sokwe na wakaendelea kuamini na kuaminisha watu huu upuuzi mpaka leo.
Huo ndio ukweli, ila watu hawataki kuukubali hawa nyani, sokwe, sijui nini ni ndugu zetu kabisaaa,Ungeonyesha huyo 'common' ancestor' kwenye kila 'junction' ungekuta ni kiumbe kama sokwe, nyani na kadhalika, kwahiyo binadamu ametokana na aina fulani ya nyani ambaye alikuja kuwa aina fulani ya sokwe! Kwahiyo wanaorahisisha waheshimiwe!
NB: Manyani na sokwe wanaendelea na mabadiliko yao ya polepole sana, kama kawaida ya EVOLUTION, na wakipewa muda wa kutosha, na kupunguziwa fujo za binadamu, huenda wakawa hata viumbe bora zaidi yetu!