Kwanza kutoka na logic hiyo tukubaliane kuwa Uranium ina mwanzo na hivyo dunia ina mwanzo kwani Uranium ipo duniani. Sijui sayari zingine.Dunia ina mwanzo upi?
Uranium hiyo ilikuwa nje ya dunia?
Au uranium ipo ndani ya dunia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza kutoka na logic hiyo tukubaliane kuwa Uranium ina mwanzo na hivyo dunia ina mwanzo kwani Uranium ipo duniani. Sijui sayari zingine.Dunia ina mwanzo upi?
Uranium hiyo ilikuwa nje ya dunia?
Au uranium ipo ndani ya dunia?
Ukijadili kwa kutumia mantiki hawataki...Kwanza kutoka na logic hiyo tukubaliane kuwa Uranium ina mwanzo na hivyo dunia ina mwanzo kwani Uranium ipo duniani. Sijui sayari zingine.
Wewe una amini chanzo cha dunia kilitokea kwa nasibu tu?Kwa hiyo maumbile ya kike yalipokuwa yanatokea, automatically maumbile ya kiume yalikuwa yanatokea kwa nasibu tu, na maumbile ya kiume yakafiti na maumbile ya kike na yakatoa mbegu ambazo zinaungana na yai kupitia maumbile ya kike kupata mtoto. Yote hii ni nasibu tu. Kama unaamini hivyo, hata Boeing yaweza tokea kwa nasibu tu.
Sawa vina mwanzo.Kwanza kutoka na logic hiyo tukubaliane kuwa Uranium ina mwanzo na hivyo dunia ina mwanzo kwani Uranium ipo duniani. Sijui sayari zingine.
Siamini chanzo cha dunia ni kwa nasibu tu.Wewe una amini chanzo cha dunia kilitokea kwa nasibu tu?
Kama haiwezekani vitu kutokea kwa nasibu tu, Hata huo mwanzo wa dunia hauwezi kutokea kwa nasibu tu.
Ninyi mnachofanya niku exclude mwanzo wa dunia kwamba hauna mwanzo, ila mnataka kusema dunia ina mwanzo.
As long unakubali vina mwanzo, na wewe fanya utafiti ujue mwanzo wa dunia ni nini. Angalau una pa kuanzia kwamba havikuwepo tu siku zote ila kuna wakati vilianza kuwepo.Sawa vina mwanzo.
Sasa nakuuliza hivi [emoji116]
Mwanzo wa Uranium ni nini?
Na mwanzo wa mwanzo wa dunia ni nini?
Sijakubali kwamba vina mwanzo, kwa vile uthibitisho wa kuwepo mwanzo huo Haupo zaidi ya imani za kufikirika tu.As long unakubali vina mwanzo, na wewe fanya utafiti ujue mwanzo wa dunia ni nini. Angalau una pa kuanzia.
Jadili hoja ya Binadamu. Ya dunia itajadiliwa kivingine!!!Sijakubali kwamba vina mwanzo, kwa vile uthibitisho wa kuwepo mwanzo huo Haupo zaidi ya imani za kufikirika tu.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Hata chanzo cha dunia Lazima kiwe na chanzo hivyo hivyo kwa vyanzo endless.
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo chanzo.
Thibitisha chanzo cha dunia.Infropreneur inawezekana husomi tunachoandika. kwa sasa siyo Chief wala mimi kati yetu anayesema kuwa dunia haina mwanzo.
Sisi tunasema kwamba dunia ina chanzo.
Wewe kwa nadharia yako unasema kama dunia ina chanzo basi lazima hicho chanzo kiwe na chanzo chake na kama chanzo hicho hakina chanzo basi na dunia nayo haina mwanzo.
Lakini hoja ya bandiko hili ni Chanzo cha binadamu. Hebu tulijadili hili.
Kwa ivo kwa nadharia yako ilikuwaje kukawa na utofauti wa jinsi kati ya Mwanamke na Mwanaume!!
Huna haja ya kukubali kuwa vina mwanzo kwani nilichokuambia ni scientific proof kuwa vina mwanzo. Wewe kukubali au kukataa haibadilishi ukweli. Haya mjibu Allen kuhusu chanzo cha binadamu.Sijakubali kwamba vina mwanzo, kwa vile uthibitisho wa kuwepo mwanzo huo Haupo zaidi ya imani za kufikirika tu.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Hata chanzo cha dunia Lazima kiwe na chanzo hivyo hivyo kwa vyanzo endless.
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo chanzo.
Nilikwambia binadamu hana mwanzo wala mwisho.Jadili hoja ya Binadamu. Ya dunia itajadiliwa kivingine!!!
Hiyo scientific proof imeishia ku conclude mwanzo upo.Huna haja ya kukubali kuwa vina mwanzo kwani nilichokuambia ni scientific proof kuwa vina mwanzo. Wewe kukubali au kukataa haibadilishi ukweli.
Lengo la proof hiyo ni kuthibitisha kuwa kuna mwanzo na si mwanzo umetokana na nini. Sasa ni kazi yako kufanya research kwa huo mwanzo umetokana na nini kwani beyond that ni suala la imani. At least hutaweza ku conclude kuwa hakuna mwanzo.Hiyo scientific proof imeishia ku conclude mwanzo upo.
Ila imeshindwa kueleza na kuthibitisha mwanzo huo umetoka wapi?
Na mwanzo huo umetokana na nini?
Kama huwezi kuthibitisha mwanzo wa "mwanzo wa dunia" ni nini utahitimishaje mwanzo huo ndio mwanzo wa dunia kweli?Lengo la proof hiyo ni kuthibitisha kuwa kuna mwanzo na si mwanzo umetokana na nini. Sasa ni kazi ya kufanya research kwa huo mwanzo umetokana na nini kwani beyond that ni suala la imani. At least hutaweza ku conclude kuwa hakuna mwanzo.
Unverified proof? Ebu jiongeze usome kuhusu half life ya Uranium au madini mengine na maana yake. Just Google.Kama huwezi kuthibitisha mwanzo wa "mwanzo wa dunia" ni nini utahitimishaje mwanzo huo ndio mwanzo wa dunia kweli?
Bado hiyo siyo scientific proof ni unverified proof.
Billion years hizo ni kwa hiyo Uranium si kwa dunia.Unverified proof? Ebu jiongeze usome kuhusu half life ya Uranium au madini mengine na maana yake. Just Google.
maadamu unakubali kwamba nadharia hii ipo na ina make sense kwamba kuna vitu havina chanzo kama vile binadamu unaamini hana chanzo wala mwisho,basi na sisi tunatumia nadharia hiyo kuamini kwamba Mungu hana chanzo wala mwisho.Mungu huyo ni nini haswa?
Ana muonekano gani na umbo gani?
Angalau dunia ipo na kila mtu anatambua hilo.
Ndio maana Hujawahi kusikia kwamba mtu anasema Dunia haipo.
Ila Mungu hayupo na hata ukitaka kuthibitisha kwamba Mungu yupo huwezi.
Kwa vile Mungu huyo hayupo kwa namna yoyote ile zaidi ya mawazo ya kufikirika tu.
Ndio maana nmesema hizo na wewe ni fikra zako tu,Nimejua kwa kuona kwamba Hakuna wakati ambapo Dunia haikuwepo Halafu ghafla ikawepo.
Dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.
Hakuna wakati wowote ule ambapo Dunia haikuwepo kisha ikawepo.
Lakini Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Mungu huyo kama yupo aje hapa ajidhihirishe na athibitishe kwamba yeye ndiye Muumbaji wa dunia.
Niko nimekaa paleeee.....[emoji117][emoji117][emoji1][emoji1]
Wapo gizani.Hawa jamaa wanataka kurina asali kwa kutumia kanuni ya kulima mahindi, itawezekanaje??