Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

George Betram kwanza Ili utafute kitu si Lazima kuwe na kanuni ya kufuata?

Kwa mfano 2+2=4

Lakini mfano 2-2=0

Na mfano 2x2=4

Na mwisho 2÷2=0.

Ukiangalia kirahisi hapo juu ni kama kulikuwa hakuna haja ya kutumia kanuni zote nne za kihisabati kwani majibu ni kama yanafanana yaani 4 na 0.

Lakini Kila kanuni huwa na kanuni ya ya muendelezo ndani mwake. Kwa ivo kwenye kujua uwepo wa MUNGU ni lazima kanuni ya kimungu itumike.

Ukikataa kutumia kanuni ya kimungu kumtafuta Mungu huwezi kumpata Mungu!!
Kukubaliana na hizo kanuni za Kimungu kunaanza na utayari wa kuifungua akili yako kukubali kuwa Mungu yupo, unavua vazi lako la logic na science, hiki ni kikwazo kikubwa kwa mtu asiyekubali au kuamini kuwa Mungu yupo.
 
Logic na science kanuni zake zinaongozwa na kanuni ipi ambayo ni timilifu na kamilifu??

Wenyewe si wanasema kuwa " Science lines with the truths and facts and affirmed by probabilities"

Maana Kuna kanuni lukuki za kisayansi ambazo zama hizi zimetupiliwa mbali na kuonekana hazikuwa sahihi kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia.

Kwa Ivo "logic" haipo nje ya kanuni ya "logic" na Wala yenyewe haikatai uwepo wa Mungu bali wanaoitumia husingizia kuwa yenyewe ndiyo inayomkataa Mungu.
 
Well, best wishes mkongwe, kwenye zoezi lako la kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa wasiotaka kuamini.
 
Wahuni Tena...🤣🤣🤣

Unaweza kupima "civilization" bila ya kutumia nadharia zao??
Washkaji wakija hapa wataanzabkusema binadamu kaumbwa na Sir God

Lakini kiurahisia halunaga kitu kama hicho, na tukifa maisha yanaendelea. Ukifa unazaliwa upya.
Tukute wewe jamaa ndio Kinjeketile Ngwale😅
 
Kanuni hii ni ya kwangu binafsi, Si kwamba ni kanuni ya watu wote.

Kanuni hii ni kutokana na kwamba watu wanaodai Mungu ni chanzo cha ulimwengu hawana UTHIBITISHO wa madai yao.
(Ni mawazo yao ya kufikirika tu)

Watu wengi wana amini Mungu Hana chanzo kwamba alitokea tu, Pia wana amini Mungu huyohuyo hana mwisho.

Watu wengi wameweza kuamini Mungu wasiyemjua Hana chanzo Lakini wana lazimisha kwamba Dunia ina chanzo, Na chanzo hicho wanadai ni "Mungu" Kwamba wana amini Haiwezekani Dunia iwe imetokea tu yenyewe Pasipo chanzo.

Sasa ni hivi👇

Kama "Haiwezekani" Dunia isiwe na muumbaji, kwamba lazima awepo aliye iumba "Imewezekana" vipi Mungu asiwe na Muumbaji?

Kama Mungu hana mwanzo, Inashindikana vipi kwa Dunia kutokuwa na mwanzo?

Huu ulazima wa kwamba Dunia lazima iwe na chanzo, ila Mungu yeye Hana chanzo uliwekwa na nani?

Hapa sasa ndipo,Kanuni hii inapo tumika kwamba,

Kama ni lazima kila kitu kilichopo kiwe na chanzo, Basi hata Mungu lazima awe na chanzo. Maana Mungu huyo bado "HAJATHIBITIKA" rasmi kwamba yeye ndio chanzo halisi cha ulimwengu.
( Bado ni mawazo na mafikirio ya watu tu)

Sasa kama bado Mungu HAJATHIBITIKA kuwa chanzo halisi cha Dunia, Hakuna ulazima wa kwamba Dunia imeumbwa na ina mwanzo.

Ila mtu akianza kuweka ulazima wa kwamba Dunia lazima iwe imeumbwa, Lazima athibitishe kwamba chanzo cha Dunia hakina mwanzo.

Na aeleze na kuthibitisha chanzo hicho cha Dunia, kimewezaje kuwepo bila chanzo kingine.
Pointless Why.
There is not Existence come from non-existance. Wewe Mwanadamu una mwanzo mwanzo wako ni upi? X And Y ukawa formed mwili ukatengenezwa ukawa hapa duniani right na utaishi kwa muda kadhaa mwisho utakufa!!, na ili ujue una mwanzo (Umewekewa dhamiri na Mungu ndani yako inayokufundisha hili ni baya ama ni jema na Ukitaka kufanya baya kwa kulazimisha unaona kabisa Kuna ukinzani). Yupo creator wako.

Na think kama dunia imetokea tokea tu haina chanzo fikiria kuhusu hiki kitu "Order and design" ni nani alieweka mpangilio mzuri wa Dunia hii? Kunakuwa na majira ya mvua na yasiyo ya mvua who did that ni mtu huyu huyu?? Jibu ni hapana? Je waweza kuamuru mvua isinyenyeshe au kifo kisiwepo No!, means Mwanadamu ni dhaifu sana umepewa je nani katofautisha Akili za binadamu na wanyama?? Sijui kama unanielewaa!!, huo upinde wa mvua na hewa ya Oxygen inayokufanya uishi ambayo haiko katika Samaria yoyote ila hapa tu who did that?, kwa nini unajuta kwa baadhi ya mambo mabaya unayoyafanya unaona dhamiri inakwambia kabisa si sawa, umewahi kufikilia kwa nini inakuwa hivyo,? C'mon many things to reason na kukupa suruhisho na kitu kisichokuwa na mwisho wala Mwanzo is Only GOD.

You wonder 🤔 ❓ 🤔 fuatana na mimi kwa umakini hapa!!,

Kama Mungu ana mwanzo lazima awe na Mwisho, je inawezekana akawa na Mwisho??. Na akiwa na mwisho what next kwa the whole universe? "Think like intelligence allow holy spirit to teach you this thing" Refers to Genesis 1:1 utaona dunia ilikuwa na mwanzo!, but hakuna sehemu yoyote inasema God has the Beginning (Mighty GOD) HALELUYA!,

Mungu hana Mwanzo wala Mwisho yeye yuko all the time. Kumbuka akili yako iko limited (akili zetu zote) and that's why we can't think beyond can you think material yaliyotumika kukutengeneza wewe na kukufanya ukue,uwe akili,Mishipa, ya damu nk unaweza tengeneza mtu kama wewe hapo?. Tunaishia kutengeneza artificial intelligence AI nazo hazina uwezo wa kufikilia kama Mwanadamu 100%. You know what?? Akili ni kipawa cha Mungu ndani ya Mwanadamu? That's why you wonder Gravity ilitokeaje Mwanadamu akaijua na akajua ni 10 or 9.8 learn Geography kwa jinsi unavyofikili unaona Mwanadamu can do that kama si kipawa cha Mungu ndani ya Mtu???

Thanks!!
 
Hata dunia haina mwanzo wala mwisho.

Unacho jaribu kufanya ni kufosi hekaya zako za Biblia kuonesha kwamba dunia imeumbwa.

Dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo. Dunia ipo all the time.

If everything must have a creator even your God must have a creator, you cannot exclude God from this logic.

Na kama haiwezekani dunia kuwepo yenyewe tu, Hata huyo Mungu haiwezekani awepo mwenyewe tu from nothing.

Hakuna wakati wowote ule ambapo dunia haikuwepo kisha ikawepo.

Dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.

Huyo Mungu ni nyie mmemuumba vichwani mwenu wala hamna uthibitisho wa uwepo wake zaidi ya hekaya za biblia zisizo na uthibitisho wowote ule.

Sawa na Hekaya za Abunuwasi au Aladini.
 
Nipe Evidence kwamba Dunia ilikuwepo haikuumbwa prove it! Then niambiee nani alietengeneza hivyo viumbe vyote vingine hata bado huvijui, tell me nani aliefanya hivyo??, akili yako ndio haitaki kufunguka na unfortunately huwezi kuelewa kama hujataka kuwa tayari na unataka kuforce akili ichanganue na imeshindwa means wewe umeumbwa thinki why you fell Guilty??? Newtons mwenyewe anakili kuwepo kwa Creator wa mambo yote aliyokuwa anayavumbua anasema "I believe there is the one who plan and create everything " usipokubali ukifa utakubali utakapokwenda kuhukumiwa huko.
 
Mkuu binadamu hajui kila kitu na sio lazima ajue kile kitu
HAKUNA anayejua huu ulimwengu ulifanyikaje.... HAKUNA

Sasa msitake kuchukulia kwamba kwakuwa haijulikani ulimwengu uliumbwaje kuhalalisha uwepo wa Mungu aliyeumba

Kama unadhani dunia LAZIMA imeumbwa haiwezi kutokea tu from nothing basi huyu aliyeumba ulimwengu pia hawezi kutokea tu from nothing

Mnapaswa kuthibitisha uwepo wa Mungu na sio kutuuliza nani kaumba ulimwengu.... sisi hatujui
Sisi tunataka uthibitisho wa aliyeumba na sio kutuuliza nani kaumba
 
Well,.. Hivi ni ushahidi wa aina gani unaotaka ili uthibitishe kwamba Dunia Kwa kuwa Dunia ipo designed basi kuna Designer wake?

Maana huenda watu hawajui hata aina ya ushahidi unaotaka,..
 
Mkuu inawezekana kabisa huyo muumbaji yupo lakini so far hakuna anayejua ulimwengu ulifanyikaje

Wewe thibitisha unavyoweza mkuu.... kuwa HURU
 
No,. unapaswa useme unataka uthibitisho wa aina gani......

Kwasababu mtu ukishaamua kuwa mpingaji basi unaweza ukapewa uthibitisho na ukaukataa...

Kwa mfano chukulia hivi,....atokee wa kutokea kisha akuambie "Mimi ndiye niliyeumba ulimwengu mzima na naweza kuusambaratisha ndani ya sekunde tu(nikubakishe wewe peke yako ushuhudie kila kitu..... Kisha baada ya hapo nitairudisha ulimwengu kama ulivyokua na viumbe wake wote...."(Na akakuonyesha Kwa vitendo)

Je, baada ya kupewa uthibitisho huo utaamini?

Huoni kama still utakua na room ya kupinga licha ya kuonyeshwa Kwa vitendo kabisa?

Kuna namna nadhani hakuna uthibitisho unaoweza kumridhisha mtu aliyeamua kupinga.
 
Nimekwambia kuwa huru mkuu
Mbona hujiamini?

Lugha nzuri sio kusema ushahidi UTAPINGWA, bali utakuwa challenged

Huwezi kusema tu Mungu yupo kwasababu mimi nilikutana naye Manzese halafu ukataka tukubali... NOPE

Lete ushahidi LOGICALLY , try at your best kuthibitisha uwepo wa Mungu halafu Tujadili🙏
 
Unajua nini,..watu tunatofautiana namna ya kufikiria, Kwa mfano wapo ambao logically wakitazama jinsi Ulimwengu na viumbe walivyokua designed kisha wakisoma scriptures mbalimbali wanahitimisha kwamba huo ni uthibitisho tosha wa kwamba kuna DESIGNER.

Na wapo watu ambao wakitazama jinsi Ulimwengu na viumbe walivyokua designed kisha wakisoma scriptures,.....wanaona hakuna DESIGNER yoyote kwamba kila kitu ni hadithi tu.

So,.Mimi siwezi kukuambia chochote kwamba ushahidi huu hapa,.. maana in history wapo watu ambao walipewa shahidi nzito nzito lakini still hawakuamini,.. Na Ndiyo maana nikauliza ni ushahidi gani unaotaka? Kwasababu niamini Mimi currently hakuna Mtu ambae atakuletea ushahidi tofauti na shahidi ambazo zimetumika maelfu na maelfu ya miaka kuonyesha uwepo wa Muumbaji.

so,..anaeamini uwepo wa Muumbaji abaki na Imani yake na anaeamini hakuna Muumbaji vitu vimetokea tu accidentally pia abaki na Imani yake,...cause zote hizo ni Imani.
 
Nipe Evidence kwamba Dunia ilikuwepo haikuumbwa prove it!
Hakuna uthibitisho wowote ule wa kisayansi au kidini unaothibitisha pasi Shaka kwamba dunia iliumbwa.

Zilizopo ni nadharia tu zisizo na uhakika wala evidence yeyote.

Hivyo haijulikani namna gani dunia iliumbwa.

Dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.
Then niambiee nani alietengeneza hivyo viumbe vyote vingine hata bado huvijui, tell me nani aliefanya hivyo??,
Kwa nini unadhani lazima dunia iwe imetengenezwa?

Kwa nini hudhani kwamba dunia imeweza kujitengenezea?

Kama umeweza kuamini Mungu usiyemjua hajatengenezwa, Unashindwaje kuamini Pia dunia haija tengenezwa?
akili yako ndio haitaki kufunguka na unfortunately huwezi kuelewa kama hujataka kuwa tayari na unataka kuforce akili ichanganue na imeshindwa means wewe umeumbwa thinki why you fell Guilty???
Nakwambia hivi, leta uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu.

Acha kufosi hekaya za kidini zisizo na uthibitisho wowote ule.
Newtons mwenyewe anakili kuwepo kwa Creator wa mambo yote aliyokuwa anayavumbua anasema "I believe there is the one who plan and create everything "
Newton kukubali uwepo wa huyo Mungu bado sio uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu.

Hiyo inabaki imani ya Newton aliyeshindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu.

usipokubali ukifa utakubali utakapokwenda kuhukumiwa huko.
Mungu huyo anayeshindwa kujidhihirisha yupo wakati tupo hai anasubiri mpaka tufe ndio tujue kwamba yupo ni bure kabisa na Mungu mdhaifu sana na mwoga sana.
 
Hakuna uthibitisho wowote ule wa kisayansi au kidini unaothibitisha pasi Shaka kwamba dunia iliumbwa.

Zilizopo ni nadharia tu zisizo na uhakika wala evidence yeyote.

Hivyo haijulikani namna gani dunia iliumbwa.

Dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.

Kwa nini unadhani lazima dunia iwe imetengenezwa?

Kwa nini hudhani kwamba dunia imeweza kujitengenezea?

Kama umeweza kuamini Mungu usiyemjua hajatengenezwa, Unashindwaje kuamini Pia dunia haija tengenezwa?

Nakwambia hivi, leta uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu.

Acha kufosi hekaya za kidini zisizo na uthibitisho wowote ule.

Newton kukubali uwepo wa huyo Mungu bado sio uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu.

Hiyo inabaki imani ya Newton aliyeshindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu.

Mungu huyo anayeshindwa kujidhihirisha yupo wakati tupo hai anasubiri mpaka tufe ndio tujue kwamba yupo ni bure kabisa na Mungu mdhaifu sana na mwoga sana.
Mungu akurehemu kaka naamini siku moja utaelewa, si wakati wa kubishana huu!!, ikiwa umeshindwa kuelewa "Existence can not came form Non-Existance" basi ni maombi yangu Neema hii isikupite.

Ubarikiwe sana!,
Lakini natamani tuwasiliane kama utakuwa willing phone: 0613079530.
Have a nice day!
 
Back
Top Bottom