Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Unasema kwamba "Existence cannot come from non-existence" halafu unataka umu exclude mungu kwenye hii Logic yako.Mungu akurehemu kaka naamini siku moja utaelewa, si wakati wa kubishana huu!!, ikiwa umeshindwa kuelewa "Existence can not came form Non-Existance" basi ni maombi yangu Neema hii isikupite.
If existence cannot come from
non-existence. The same Logic applies to God, He cannot come from non-existence because he exists.
So you must prove how your God came to existence.
Otherwise he doesn't exist and he never existed.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na muumbaji wake, Hata Mungu lazima awe na Muumbaji wake.
Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina muumbaji wake, Hata dunia haina muumbaji wake.
Lakini kama ulazima huu upo, Ulazima huu lazima u appy kwa kila kitu to infinity hukooo..
Yani kuwe na waumbaji wengi endless, Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo muumbaji.
Maana kitavuruga muundo na Logic nzima ya "Existence cannot come from non-existence"
Ubarikiwe sana!,
Lakini natamani tuwasiliane kama utakuwa willing phone: 0613079530.
Have a nice day!