Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Mungu akurehemu kaka naamini siku moja utaelewa, si wakati wa kubishana huu!!, ikiwa umeshindwa kuelewa "Existence can not came form Non-Existance" basi ni maombi yangu Neema hii isikupite.
Unasema kwamba "Existence cannot come from non-existence" halafu unataka umu exclude mungu kwenye hii Logic yako.

If existence cannot come from
non-existence. The same Logic applies to God, He cannot come from non-existence because he exists.

So you must prove how your God came to existence.

Otherwise he doesn't exist and he never existed.

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na muumbaji wake, Hata Mungu lazima awe na Muumbaji wake.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina muumbaji wake, Hata dunia haina muumbaji wake.

Lakini kama ulazima huu upo, Ulazima huu lazima u appy kwa kila kitu to infinity hukooo..

Yani kuwe na waumbaji wengi endless, Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo muumbaji.

Maana kitavuruga muundo na Logic nzima ya "Existence cannot come from non-existence"
Ubarikiwe sana!,
Lakini natamani tuwasiliane kama utakuwa willing phone: 0613079530.
Have a nice day!
 
Tatizo kina Infropreneur dhana ya uwepo wa Mungu mnayoikataa ndiyo njia ya kujua uwepo wa Mungu.

hateeb10 kajitahidi sana "kukuelewesha" lakini mnarudi Tena kwenye kubishana.

Kwa mfano ni kweli hakuna muumbaji aliyeumba binadamu na kuweka mfumo wa kupatikana kwa Mimba yake, kuzaliwa kwake, kukua kwake, kuishi kwake mpaka kufa kwake??

Na ni kweli unavyouangalia huu ulimwengu ulivyoumbwa kwa ujasiri kabisa unaweza kusema kwamba hakuna kusudi la kuwepo kwake??
 
Hujathibitisha Muumbaji yupo ila unafosi ulimwengu uliopo umeumbwa na Muumbaji ambaye hata hujui yupo.

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa hata huyo Mungu lazima awe ameumbwa.

Na kama haiwezekani dunia kuwepo yenyewe tu bila kuumbwa, Hata huyo Mungu haiwezekani awepo mwenyewe tu pasipo kuumbwa.
 
Absolutely yes.

Binafsi naamini kwamba Binadamu hana mwanzo wala mwisho, Yupo tu.

Ukianza kuweka ulazima wa kwamba kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Basi hata
"chanzo cha vyanzo" lazima kiwe na chanzo chake,

Ili muundo ule ule wa ulazima huo ufuatwe. Pasiwepo kitu chochote kitakacho kwenda kinyume na ulazima huu kwa kujitokeza chenyewe tu pasipo mwanzo,

Maana kitavuruga muundo mzima wa ulazima huu na kuzua maswali mengi ya kimewezaje kuwepo bila chanzo.
Mkuu kama binadamu hana mwanzo. Je, unafikiri aliishi wapi kabla ya time, space and matter(kabla ya kufanyika kwa ulikwengu)?
 
Ungenielewa wala usingeuliza swali nimekwambia weka container tupu funika kabisa weka sehemu condusive kwa hata kama ni gizani bila mwanga au kwenye jua kutokana na mazingira rafiki ya kiumbe fulani utakuta life form ya aina fulani..., sababu ukishakuwa na volume nothingness does not exist; na kama unaweza kupata multicellular kutoka kwenye unicellular mwanzo wa multicellular (akiwemo binadamu) ni unicellular , na sababu viumbe vyote unavyoviona vina main elements sawa 99% oxygen, carbon, hydrogen, nitrogen, sulfur, and phosphorus. utaona kwamba hizi ndio building blocks (kwahio some happenstances might have happened to make these the most occurring elements

Kila specie inahitaji propagation ili kuongezeka na ita-adapt kulingana na nini kinasaidia (iwe wanyama kwa sexual integration) au upepo kwa baadhi ya mimea au mbegu ngumu kwa baadhi ya matunda ili wanyama wakiyala waende kuyapanda...

Na usishangae mazingira yakibadiliika mpapai dume ukazaa tunda hata moja ili kuendeleza propagation (Funga mpapai dume kwa wire na kuu-trick kwamba mazingira yamebadilika kutafanyika mabadiliko automatically ili uzae tunda na kuendeleza kizazi)

Kuna mjusi alitaga mayai ambayo yalitotolewa bila kuwa na dume yoyote maishani mwake google parthenogenesis, hapo utaona kwamba hizi ni happenstances na mpaka kufika hapa tulipo ni mabilioni ya miaka imepita na chances nyingi zimetokea ambao huenda tungesema tu-rewind na kuanza upya kilichotokea sasa huenda kikawa vinginevyo
kwahyo naomba kuuliza, nini chanzo cha kutofautiana mfano. Wazungu, waAfrika, Wachina n.k!?
 
Mhubiri 3:18
[18]Nikasema moyoni mwangu, Ni kwa sababu ya wanadamu, ili Mungu awajaribu, nao waone ya kuwa wao wenyewe wafanana na wanyama.
 
Kati ya kuku na paka yupi ana akili zaidi?
Mbwa na mbuzi? Nyumbu na duma? Nyati na Simba?
Mbwa au ng'ombe ama kuku unayemfuga nyumbani kwako wala hata hajui ulimtoa wapi au ulimnunua wapi kwajili gani. Anachosubiri yeye ni umletee chakula ale basi.
Binadamu tumewazidi akili wanyama wote. Na maisha yao yapo mikononi mwetu. Ukweli ni kuwa tukiamua kuwaua wanyama wote duniani hakuna atakayesalia. Si tembo, si simba wala nyoka; wanyama wote wapo chini ya mamlaka ya binadamu.

Kama unaamini kuwa binadamu ana akili kuliko wanyama wote ulimwenguni, then utagundua kuwa yupo Mungu aliyetuumba hivi tulivyo. Fahamu na utashi wetu ni kijisehemu cha zawadi aliyotujalia kututofautisha na hayawani.

Ukitaka kujua kama Mungu yupo, subiri ukutwe na majanga mazito; maradhi kama corona; majanga ya asili kama radi, mafuriko, tetemeko, ajali, vita nk. Haya mambo yakikukuta eneo la tukio hakuna atakayekufundisha kumtaja Mungu. Hii inatosha kujua ipo nguvu iliyounganishwa na roho zetu. Ndiye Mungu.

Kutaka kumchambua Mungu kwa unyambulisho wa kibinadamu ni sawa na kuku kumjadili binadamu. Binadamu ni nani? Katokea wapi? Kwanini anatafuga? Kuku hatokaa apate jibu.

Kwa Mungu sisi ni kama kuku tu. Au kinyago. Kinyago hata kiwe kizuri kiasi gani hakiwezi kumchallenge mchongaji!
 
Mkuu napenda kufahamu chanzo cha atom ni nini?
Hakuna ulazima wa kwamba Atom ina chanzo.

Ukipenda kufahamu chanzo cha Atom ni nini, Hata hicho chanzo cha Atom kitahitaji chanzo vilevile.
 
Mkuu kama binadamu hana mwanzo. Je, unafikiri aliishi wapi kabla ya time, space and matter(kabla ya kufanyika kwa ulikwengu)?
Una uthibitisho gani kwamba ulimwengu ulifanyika?

Ulimwengu ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo.

Hakuna wakati wowote ule ambapo ulimwengu haukuwepo kisha ukawepo.
 
Mkuu kama binadamu hana mwanzo. Je, unafikiri aliishi wapi kabla ya time, space and matter(kabla ya kufanyika kwa ulikwengu)?
Hivi haya maswali mnayo ulizaga huwa yana uhusiano gani na uthibitisho wa uwepo wa Mungu

HAKUNA anayejua huu ulimwengu ulifanyekaje

Mababu zako generation kama 10 tu nyuma walikua hawajui kusoma wala kuandika na wala hujui CHOCHOTE kuhusu wao....
Na wao pia walikua hawajui chochote kuhusu mababu generation za nyuma

Waliokuzaa watakufa, utazaa na wewe utakufa, uliowazaa wataaza watakufa, waliozaliwa watazaa watakufa...............

Binadamu wote tunajikuta tumezaliwa na tutakufa...... hakuna anayejua binadamu wa kwanza wala ulimwengu ulifanyikaje
 
Kati ya kuku na paka yupi ana akili zaidi?
Mbwa na mbuzi? Nyumbu na duma? Nyati na Simba?
Mbwa au ng'ombe ama kuku unayemfuga nyumbani kwako wala hata hajui ulimtoa wapi au ulimnunua wapi kwajili gani. Anachosubiri yeye ni umletee chakula ale basi.
Binadamu tumewazidi akili wanyama wote. Na maisha yao yapo mikononi mwetu. Ukweli ni kuwa tukiamua kuwaua wanyama wote duniani hakuna atakayesalia. Si tembo, si simba wala nyoka; wanyama wote wapo chini ya mamlaka ya binadamu.

Kama unaamini kuwa binadamu ana akili kuliko wanyama wote ulimwenguni, then utagundua kuwa yupo Mungu aliyetuumba hivi tulivyo. Fahamu na utashi wetu ni kijisehemu cha zawadi aliyotujalia kututofautisha na hayawani.

Ukitaka kujua kama Mungu yupo, subiri ukutwe na majanga mazito; maradhi kama corona; majanga ya asili kama radi, mafuriko, tetemeko, ajali, vita nk. Haya mambo yakikukuta eneo la tukio hakuna atakayekufundisha kumtaja Mungu. Hii inatosha kujua ipo nguvu iliyounganishwa na roho zetu. Ndiye Mungu.

Kutaka kumchambua Mungu kwa unyambulisho wa kibinadamu ni sawa na kuku kumjadili binadamu. Binadamu ni nani? Katokea wapi? Kwanini anatafuga? Kuku hatokaa apate jibu.

Kwa Mungu sisi ni kama kuku tu. Au kinyago. Kinyago hata kiwe kizuri kiasi gani hakiwezi kumchallenge mchongaji!
Mkuu wewe unaamini kuna Mungu wangapi?
Ni Mungu wapi hao unaowaamini wapo?
 
Kwa imani yangu yupo Mungu mmoja tu
Allah?
Jehova?
Yesu?
Zeus?
Thor?
Sun?
The list is endless

Be specific Mungu yupi unamuamini mkuu ili tukijadili tusichanganye na Mungu wengine maana People created so many of them
 
Back
Top Bottom