Binadamu Kumlaumu Mungu kwa Makosa Yake Mwenyewe.

Sijatoka popote.

Nimezaliwa kutoka kwa wazazi wangu. Hapahapa ulimwenguni.
Hujatoka Popote!? wakati umeshasema Chanzo ni WAZAZI wako!? Mbona Unajipinga Kwa Maneno yako Mwenyewe Kwa Maneno yako.. Na Je Wazazi wako WALITOKA WAPI?

Mwisho wa mjadala huu Utakuja Kwenye Chanzo Kikuu tu.. Maana Dunia Hii Ina watu bilioni 7 kwa Sasa Ila Huko Nyuma Ilishawahi kuwa na Watu milioni 1.. Ukirudi nyuma Zaidi Ilikuwa na Watu laki 2 ukirudi nyuma ilikuwa na Watu 1000 ukirudi zaidi ilikuwa na Watu 100 ukirudi zaidi ilikuwa na Watu wawili(MWANAMKE NA MWANAUME)
 
Ok Tutoke kwenye Mungu je Huoni Hata Hoja zako zinapingana na Sayansi ya Sasa Mnayoiamini

Kusema ulimwengu, milima, na maji vimekuwepo milele bila chanzo kunapingana na elimu ya kisasa ya Cosmology,Uthibitisho mkubwa wa kisayansi, ikiwemo nadharia ya Big Bang, unaonyesha kuwa ulimwengu una umri wake (takriban miaka bilioni 13.8) na ulianza kutoka hatua moja ndogo sana (singularity). Kama ulimwengu una mwanzo, basi una chanzo kilichosababisha uanze kuwepo..Vitu vya asili kama milima na maji vinabadilika (maji yanavuka, milima inamomonyoka). Kitu chochote kinachobadilika kiko chini ya sheria ya muda na nafasi, kumaanisha hakiwezi kuwa cha milele bila mwanzo wala mwisho.

Sasa WEWE unaamini Nini ? Maana Kila Unachoamini wewe Kinaenda Kinyume na Wewe
 
Binadamu hawaumbwi. Binadamu wanazaliwa kwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.

Hatuumbwi na wala hakuna aliyeumbwa.

Kila mtu katoka kwa wazazi wake.

Na uthibitisho upo. Kwamba kila mtu alizaliwa na wazazi wake.

Hakuna aliyeumbwa na Mungu.

Binadamu hawaumbwi.

Mungu hayupo.
 
NIPE mifano ya Hivyo vitabu Vingine ili Tulinganishe Tuone Nani ni Mungu Mkuu.


Mbona Nilikupa Mifano ya Nje Ya BIBLIA PIA .. Maana Ulisema Ni HADITHI tu nami nikakuletea wana Falsafa wa Nje ya Biblia Wakiwemo WAROMA
 
Kama kila kitu kilichopo kitahitaji kuwa na chanzo, Hata chanzo cha kila kitu kitahitaji kuwa na chanzo chake kingine.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe tu pasipo chanzo.

Hivyo kutakuwa na msururu mrefu wa vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho.

Ikiwa mifumo tata inahitaji muumbaji, basi muumbaji naye anahitaji muumbaji aliye tata zaidi. Hilo linapelekea msururu mrefu usio na mwisho wa waumbaji, ambapo kila mmoja anakuwa tata zaidi kuliko aliyemtangulia.

If complex systems require a creator then creator requires a more complex creator that imply an infinite chain of creators that get more and more complex.

Hii inaitwa infinite regress of causes.

An infinite regress of causes is an endless chain of events where every cause has its own prior cause going back forever.

There is no first event, no start, and no uncaused beginning.

Hii ya kusema ulimwengu lazima uwe na chanzo halafu unafosi kwamba Mungu hana chanzo ni kufanya logical fallacy inaitwa special pleading fallacy.

The special pleading fallacy occurs when someone applies a general rule or standard to everyone else, but carves out an unjustified exception for themselves, their group, or their favorite belief.

The special pleading fallacy happens when someone applies a general rule to everyone else, but claims an unjustified exception for themselves or their topic.

It relies on a double standard and changes the criteria mid-argument without a valid reason.
 
NIPE mifano ya Hivyo vitabu Vingine ili Tulinganishe Tuone Nani ni Mungu Mkuu.
Quran ya waislamu ina mitume kina Muhammad S.A.W ambaye anaaminiwa ndie mtume pekee wa Allah.

Wewe una amini Yesu, muislamu ana amini Muhammad.

Wewe unaamini Yesu wako ndio ukweli pekee.

Na muislamu anaamini Muhammad S.A.W ndiye ukweli pekee.

Kwa hiyo ukuu wa huyo Mungu uko kichwani mwa mtu tu kulingana na imani yako aliyoaminishwa.

Wewe utadai Mungu wako wa Ukristo ndie Mungu mkuu. Muislamu atadai Allah ndie Mungu wake mkuu. Mhindu atadai Krishna ndie Mungu wake mkuu.
Mbona Nilikupa Mifano ya Nje Ya BIBLIA PIA .. Maana Ulisema Ni HADITHI tu nami nikakuletea wana Falsafa wa Nje ya Biblia Wakiwemo WAROMA
Wanafalsafa wa roma hawathibitishi ukweli wa Biblia. Hiyo ni imani na mitazamo yao tu.
 
Sasa Kama Kila Mtu katoka kwa Wazazi wake HAO WAZAZI walitoka Wapi?.. Kama Chanzo cha Wewe kuwepo ni WAZAZI hao wazazi walitoka Wapi
 
Huyo Mungu angeweza kufanya laana hiyo iishie kwa haohao Adamu na Eva.

Sio kusambaza laana hiyo kwa vizazi vyote ambavyo havihusiki na hao kina Adam.

Huu ni uonevu na ujinga!
Ni laana ipi inayoendelea kwako na binadamu wengine iliyosababishwa na Adam?
 
Ni laana ipi inayoendelea kwako na binadamu wengine iliyosababishwa na Adam?
Hakuna.

Habari za Adamu ni hadithi zilizotungwa. Sawa na habari za Abunuwasi.

Biblia ni hekaya tu. Kama ilivyo hekaya za Abunuwasi
 
Ndio maana Nikakuambia Nionyeshe Aliyoyafanya Mohammed ambayo yanashinda Aliyoyafanya YESU .au Waliyofanya miungu wa Hindu, Japana yaliyoshinda zaidi ya Mungu ninayemwamini. Maana ili ukubali Ukuu wa Mtume lazima Awashinde wengine Wote. Hasa Baada ya Yesu kuondoka

Mohammed hakufufua Mtu Yeyote
Mohammed hakutoa Mapepo
Mohammad hakutibu magonjwa Yasiyo na Tiba
Mohammed hakufufuka kutoka kwa Wafu

SASA Huwezi niambia kwa Vile WAISLAMU wao wanamwamnini Muhammad basi Muhammed ni Nabii wa Ukweli , kwangu hajatimiza Vigezo vinavyoshinda UKWELI nilionao..

Hata Wewe unaweza Anzisha Imani Yako Ila Utapambanishwa ili tuone kama Inatoka Kwa Mungu
 
Wanafalsafa wa roma hawathibitishi ukweli wa Biblia. Hiyo ni imani na mitazamo yao tu
Sasa Wewe unatakaje maana Hata Vyanzo Vya Nje ya Biblia unavikataa.. Hata Angekuja Mwanafalsafa Kutoka AFRIKA ungepinga Pia.. MISRI imeandika Mapigo Iliyopata Kutoka Kwa Mungu kupitia Wafalme wake mpaka Wakawaacha Waisrael wakaondoka ..

Hili nalo Unapinga!
 
Hata Yesu hakuwa na uwezo wa kumfufua mtu yoyote

Kama unao ushahidi kuwa Yesu kama Yesu aliweza kumfufua mtu weka hapa tuuone
 
Hata Yesu hakuwa na uwezo wa kumfufua mtu yoyote

Kama unao ushahidi kuwa Yesu kama Yesu aliweza kumfufua mtu weka hapa tuuone
Kiswahili chako sijakielewa unamaana Gani Kusema YESU kama YESU?

YESU alifufua ndio Na Alimfufua LAZARO
 
Kiswahili chako sijakielewa unamaana Gani Kusema YESU kama YESU?

YESU alifufua ndio Na Alimfufua LAZARO
Hauwezi kuelewa Kwa sababu umemezeshwa matango poli

Aliyepasua bahari ya Shamu Ili waisrael wapite wakati wanayakimbia majeshi ya Farao sio Musa bali ni Mungu

Sasa kama wewe unaamini Yesu alimfufua Lazalo Kwa uwezo wake weka hapa hilo andiko tulione
 
Ni wapi niliposema YESU alimfufua Lazaro kwa Uwezo wake Mwenyewe wa Kibinadamu? Hakuna Jambo Lolote Yesu alilifanya Bila MUNGU.
 
Sasa Kama Ni Hekaya Kwanini Ww Unapingana na Hekaya!?
Napingana na hekaya kwa sababu ni uongo.

Mnafosi hizo hadithi zenu za Biblia zionekane ukweli kumbe ni UONGO.
Mungu ndio CHANZO hakutoka Mahala Popote
Hii ndio special pleading fallacy yenyewe unafanya hapa.

Unafosi kwamba Mungu hana chanzo, halafu hapohapo unalazimisha ulimwengu uwe na chanzo.

Kama Mungu hana na haihitaji chanzo hata ulimwengu hauna chanzo na hauhitaji chanzo.

Sasa wewe unataka kufosi tu Mungu asiwe na chanzo ila ulimwengu uwe na chanzo.

The special pleading fallacy happens when someone applies a general rule to everyone else, but claims an unjustified exception for themselves or their topic.

It relies on a double standard and changes the criteria mid-argument without a valid reason.
 
Habari za huyo Mungu ni UONGO tu.

Hakuna Mungu.

Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.

Ni nyie tu mnahangaika kutetea hadithi uchwara za vitabuni mlizopumbazwa kuamini.
 
Habari za huyo Mungu ni UONGO tu.

Hakuna Mungu.

Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.

Ni nyie tu mnahangaika kutetea hadithi uchwara za vitabuni mlizopumbazwa kuamini.
Ni hadithi Kivipi wakati Ushahidi upo!

1.Mabaki ya Historia yapo
2. Hekalu la Yerusalemu alilolitumia Mungu Kuta zake Zipo
3. Wana Historia wameandika YESU alikuwepo

Kuendelea kusema Ni UONGO maana Yake Wewe ndio Umepotoka na Moyo wako Mgumu ila Kuna Siku Utakiri kwamba Mungu ni Mkuu na YUPO.. Yaani Hauna Tofauti na Mtu anayebisha Kwamba NYERERE hakuwepo ni Hadithi tu wakati kila Kitu ushapewa na Ushhidi hata Nje ya Biblia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…