Binadamu mnashindwaje hata na jogoo?

Binadamu mnashindwaje hata na jogoo?

Wazembe wazembe tu.
Shida kubwa sio nyie kuomba omba Hela, wanaume kwa asili tunapenda kuwapa hela wanawake wetu, shida ni kwamba wanawake wengi hamna upendo wa kweli, mnaigiza kuwa Mmevutiwa na sisi na mnatupenda ili mtuchomoe hela, kuna mdada wa kimarekani aliandika kitabu cha jinsi ya kutapeli hela za wanaume kwa kujifanya unawapenda, bila kutoa papuchi Joannah
 
Haina tatizo mkuu, pamoja na uchoyo wao kwa Sasa wanatupanga mpaka wanne
Huyo jogoo anaweza kuwadunga wanne wakiwa wanaona na hawana wivu. Vipi we bibie unakubali ustaarabu wa mitetea ili ugawane na wanawake wenzio?
 
Mkuu,kama unapenda sana pesa fanya kazi uzipate

Kutegemea majogoo haitakusaidia kitu
Sana sana utaangukia kwenye lawama za kwanini hupewi kama wao wanavyolalamika kuombwa
Kazi nafanya mama, lakini hili suala la wao kutuhudumia Ni nature kabisa,lipo tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu,achana na mbwembwe za Beijing,Ila Kama wewe Ni mdau wa kujipambania sio mbaya pambania kombe mkuu
 
Shida kubwa sio nyie kuomba omba Hela, wanaume kwa asili tunapenda kuwapa hela wanawake wetu, shida ni kwamba wanawake wengi hamna upendo wa kweli, mnaigiza kuwa Mmevutiwa na sisi na mnatupenda ili mtuchomoe hela, kuna mdada wa kimarekani aliandika kitabu cha jinsi ya kutapeli hela za wanaume kwa kujifanya unawapenda, bila kutoa papuchi Joannah
Kinaitwaje hicho kitabu mkuu? Nitafutie hata link tafadhali....Hapana TUNAWAPENDA
 
Jamani ndiyo tunamalizia wikiendi natumai mko poa.

Basi wikiendi ilivyoanza nikaona ni busara kwenda mtembelea bibi huko kijijini kwake Mwanzo Mgumu, nikapokelewa kwa kishindo. Basi bwana, bibi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nilipokuwa napumzika chini ya mwembe nikagundua jambo la kipekee kuhusu jogoo.

Jogoo akiona chakula kiwe kikubwa au kidogo hali hicho chakula, bali anamwita tetea kwa madaha aje ale halafu yeye anasindikizia sindikizia kishkaji. Sasa nyie binadamu mnakwama wapi kuiga mfano? Mmekuwa walalamishi, kila siku humu nyuzi mpya za kulalamika, hamtaki kulisha matetea wenu, mara muwaite ombaomba, mara sijui nini.

Wajameni igeni mfano bora wa jogoo jamani, halafu hana hata kisasi pamoja na tetea kula mwamba ye kidogo tu👍, binadamu sasa!

Jioni njema jamani.
Jogoo pamoja na mbwembwe zote hizo za kulisha sijui mitetea, lakini mwisho wa siku anaishia kuliwa...
 
😁😁😁Kumfanya mtoto wa mama mkwe aweze kucheka na wewe zaidi ya miaka kumi sio kazi ndogo,ku update penzi kwa Bibi muhimu Sana kwa ustawi wa familia
Utakuwa umeenda kumkoleza yule mume wa mtu
 
Back
Top Bottom