Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
NashangaaEti jamani,ndio ulimwengu tuliopo mbona,haoni mfano wa Haji manara na Dr mwaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NashangaaEti jamani,ndio ulimwengu tuliopo mbona,haoni mfano wa Haji manara na Dr mwaka?
Shida kubwa sio nyie kuomba omba Hela, wanaume kwa asili tunapenda kuwapa hela wanawake wetu, shida ni kwamba wanawake wengi hamna upendo wa kweli, mnaigiza kuwa Mmevutiwa na sisi na mnatupenda ili mtuchomoe hela, kuna mdada wa kimarekani aliandika kitabu cha jinsi ya kutapeli hela za wanaume kwa kujifanya unawapenda, bila kutoa papuchi JoannahWazembe wazembe tu.
Kwa namna wanavyobania...hakika ni vya kwaoChao ni chetu mama! teacher unakwama wapi?
Kazi nafanya mama, lakini hili suala la wao kutuhudumia Ni nature kabisa,lipo tangu kuumbwa kwa misingi ya ulimwengu,achana na mbwembwe za Beijing,Ila Kama wewe Ni mdau wa kujipambania sio mbaya pambania kombe mkuuMkuu,kama unapenda sana pesa fanya kazi uzipate
Kutegemea majogoo haitakusaidia kitu
Sana sana utaangukia kwenye lawama za kwanini hupewi kama wao wanavyolalamika kuombwa
Kinaitwaje hicho kitabu mkuu? Nitafutie hata link tafadhali....Hapana TUNAWAPENDAShida kubwa sio nyie kuomba omba Hela, wanaume kwa asili tunapenda kuwapa hela wanawake wetu, shida ni kwamba wanawake wengi hamna upendo wa kweli, mnaigiza kuwa Mmevutiwa na sisi na mnatupenda ili mtuchomoe hela, kuna mdada wa kimarekani aliandika kitabu cha jinsi ya kutapeli hela za wanaume kwa kujifanya unawapenda, bila kutoa papuchi Joannah
Jogoo pamoja na mbwembwe zote hizo za kulisha sijui mitetea, lakini mwisho wa siku anaishia kuliwa...Jamani ndiyo tunamalizia wikiendi natumai mko poa.
Basi wikiendi ilivyoanza nikaona ni busara kwenda mtembelea bibi huko kijijini kwake Mwanzo Mgumu, nikapokelewa kwa kishindo. Basi bwana, bibi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nilipokuwa napumzika chini ya mwembe nikagundua jambo la kipekee kuhusu jogoo.
Jogoo akiona chakula kiwe kikubwa au kidogo hali hicho chakula, bali anamwita tetea kwa madaha aje ale halafu yeye anasindikizia sindikizia kishkaji. Sasa nyie binadamu mnakwama wapi kuiga mfano? Mmekuwa walalamishi, kila siku humu nyuzi mpya za kulalamika, hamtaki kulisha matetea wenu, mara muwaite ombaomba, mara sijui nini.
Wajameni igeni mfano bora wa jogoo jamani, halafu hana hata kisasi pamoja na tetea kula mwamba ye kidogo tu👍, binadamu sasa!
Jioni njema jamani.
Mbona na Nyie mnaishia kuliwa tu sikuhizJogoo pamoja na mbwembwe zote hizo za kulisha sijui mitetea, lakini mwisho wa siku anaishia kuliwa...
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio ukaona uandike kama tetea kisa umemtamani Jogoo?
vp lakini ulifuata dawa za.mvuto kwa bibi au ulienda kumfunga mumeo akupende zaidi?
Hakunaga Cha bure[emoji23]Hujamalizia story ya jogoo vizuri kuna ukweli unauficha.
Hebu sema ukweli mtetea kabla hata hajamaliza kula vizuri huo mlo alioitiwa jogoo anamfanyaje??
Utakuwa umeenda kumkoleza yule mume wa mtu😁😁😁Kumfanya mtoto wa mama mkwe aweze kucheka na wewe zaidi ya miaka kumi sio kazi ndogo,ku update penzi kwa Bibi muhimu Sana kwa ustawi wa familia
Mbona ndo tupo Kwenye Dunia ya namna hiyo