Binadamu mnashindwaje hata na jogoo?

Binadamu mnashindwaje hata na jogoo?

Hujaona tu tofauti? Mtetea hajaomba bali jogoo kaguswa kaamua ampe mtetea sio nyie mnaomba badala mtuache tujiongeze
Mkiachwa ndio mnajitoa ufahamu kabisaaa....mnakuwa like everything is ok!
 
Njoo basi unionjeshe na mie kile anachopata huyo mume wa mtu
Aaaah Mambo ya waume za watu ya Nini Tena?hayo Ni Mambo ya kishetani kabisaaa,hivi hujaona ushauri wa unique flower Jana?
 
Jamani ndiyo tunamalizia wikiendi natumai mko poa.

Basi wikiendi ilivyoanza nikaona ni busara kwenda mtembelea bibi huko kijijini kwake Mwanzo Mgumu, nikapokelewa kwa kishindo. Basi bwana, bibi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nilipokuwa napumzika chini ya mwembe nikagundua jambo la kipekee kuhusu jogoo.

Jogoo akiona chakula kiwe kikubwa au kidogo hali hicho chakula, bali anamwita tetea kwa madaha aje ale halafu yeye anasindikizia sindikizia kishkaji. Sasa nyie binadamu mnakwama wapi kuiga mfano? Mmekuwa walalamishi, kila siku humu nyuzi mpya za kulalamika, hamtaki kulisha matetea wenu, mara muwaite ombaomba, mara sijui nini.

Wajameni igeni mfano bora wa jogoo jamani, halafu hana hata kisasi pamoja na tetea kula mwamba ye kidogo tu[emoji106], binadamu sasa!

Jioni njema jamani.
Juz Nyerere day niliomba namba mahali kimasira kweli nikapewa nimefika nakah HV nakutana na msg kuwa naomba uninunulie vocha ya buku 2 ..sas nikajiuliza Ni namba tu imekua hayo je mambo mengine
 
Back
Top Bottom