Binadamu tunaishi ili iweje? Au tupo duniani kufanya nini? Why Do We Live?


Kumbe adamu ni mtu wa kwanza kufariki eeh?
 
mkuu ni MUNGU si mungu

pili kinachoendelea duniani ni vita ya kumwangamiza shetani


ambayo itakuwa vita baada ya falme ya 7


THINK THINK SOMA DUNIA SI NYEPESI MPAKA UCHEKE HIVYO.

Mkuu kivipi hapo underline? Na pana mahusiano gani na hii mada?
 
Sizungumzii nani wa kwanza kufa LAKINI nani chanzo cha mauti na jawabu la mauti

Sasa kwa mtazamo wako nini chanzo na nini jawabu la mauti?

Na jee hilo ni jibu kwanini tunaishi?
 
Chanzo KUKOSA UTII
JAWABU NI YESU UKIMWAMINI.
Lengo la MUNGU wanadamu waishi kwa raha kusiwepo aina yeyote ya shida na msumivu. Kuwe na upendo halisi
 
Tunaishi ili tufurahie furaha ya asili aliyotupatia MUNGU.Furaha zenyewe ni hapa duniani na huko Mbinguni!!
 




My sentiments exacly. Kwamba hakuna universal meaning and purpose. Mtu binafsi anaweza akaamua the meaning of life and purpose for his/her being here.. Na mtu anaweza pia kusema hakuna sababu yoyote ya kuwepo hapa.
1] sorry kwa kudandia hapa!

2] Ivi Mkuu, kwanini lengo la kuishi liwe determined na mtu husika?
Hivi kila mtu awe na lengo lake (la kuishi) na atekeleze lengo hilo, wewe unahisi nini kitatokea? Na jee matokeo yake ni nini?

3] Do you believe on existance of God?


 
Chanzo KUKOSA UTII
JAWABU NI YESU UKIMWAMINI.
Ingawa sikukuuliza chanzo cha utii (nilikuuliza kuhusu mauti!)
Kwanini kukosa utii jawabu awe Yesu?
Yesu ni nani?
Lengo la MUNGU wanadamu waishi kwa raha kusiwepo aina yeyote ya shida na msumivu. Kuwe na upendo halisi
Kwahiyo lengo la kuishi ni starehe?
 
Tunaishi ili tufurahie furaha ya asili aliyotupatia MUNGU.Furaha zenyewe ni hapa duniani na huko Mbinguni!!

Furaha maana yake nini?
Furaha ya duniani ni ipi?
Jee kunafura ya watu wote?
Jee unafikiri kuna mtu hapendi furaha?
Na kwanini furaha iambatane na mambo ya dini?
 
huwezi ona semantic mana una upeo mdogo wa kufikiri hayo ndo majibu

Wewe mwenye upeo mkubwa wa kufikiri si utupe elimu sisi wapu.uzi!!!

Na jee ni nani alienaupeo mdogo wa kufikiri kati ya yule anaesema kitu na kushindwa kukielezea, na yule anaeuliza maswali?
...
Jibu ulichoulizwa acha bla blaa!
 
Utii huwezi kuutenganisha maana mauti ililetwa kwa wale walio kosa utii na Adam akaonekana kutotii kwa hiyo adhabu yake ni kufa milele na ndiyo ilikuwa hukumu.
Kwa nini awe Yesu well!
Sijajua wewe ni atheist au but I need to answer vividly.
Gharama ya ukombozi wa mwanadamu aliyeanguka ilifaa tu kwa damu kumwagika na Sio damu yeyote ile na Mungu kwasababu alitenganishwa Mawasiliano na mwanadamu kwa dhambi ilipaswa aje kwa mfumo wa mwanadamu ili amkomboe fillipi 2:5-9
Zaidi sana umbo la kibinadamu lilitumika kumkomboa mwanadamu kwa njia ya kristo Yesu
 
Mungu hajamuumba binadamu ateseke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…