Binadamu walifanya Ibada hata kabla ya hizi Dini

Binadamu walifanya Ibada hata kabla ya hizi Dini

Umeelewa hata ulichokiandika mwenyewe??
Mi kwa hiki kichwa changu cha kufugia nywele sijakuelewa 🤣
Huwezi kunielewa kwasababu achangamshi akili hivi nikupe mfano mdogo ondoa dini unabaki na nini katika maisha yako.

Kwahiyo bila dini huwezi tena mema?
 
Mwanzilishi wa Dini ya ukristo na uisalam ni mtu mmoja tena ni kwa lengo la utawala na biashara, hakuna cha ziada kuhusu uisalam na ukristo.

Maandiko na dini ni vitu viwili tofauti.
1. Thibitisha hoja yako
2. Huyo mwanzilishi ni nani?
3. Ibada ni nini?
 
1. Thibitisha hoja yako
2. Huyo mwanzilishi ni nani?
3. Ibada ni nini?
Kabla ya uisalam watu waliabudu .hata kabla ya yesu au ISSA bin mariamu watu walikuwa wakiabudu.

👉 Qur'an inasema waliowatangulia walifunga so fungeni. Kwahiyo unaona hata hii funga sio kwasababu ya dini ilikuwepo.

Bible. Yesu akuwa na dini na yesu aliwasihi watu kumcha mungu akusema wafuate dini.

👤 Mwanzilishi wa dini ni Binadamu.... kama binadamu aliyegundua pesa.

Masuala ya imani sio hoja.. sema bila kuchangamsha akili + maarifa utabaki kuwa mtumwa.
 
Upo finyu sana kijana.

Soma.
Sa kama hujui watu wajinga Duniani ndo hao waliosoma 😁😁😁 .
Watu waliosoma ndo wamewaletea ushoga na usagaji afu bado unasema nisome nisome nini zaidi 👇 kitabu gani labda au andiko gani linasema watu amabao hawana elimu ni wako na dhambi.
 
Mimi sina cha "kudhani" kama wewe.

Dini ni njia.
na dini imekuja duniani mwaka gani? Je Adamu, Issa, Mussa nipe Dini zao. Afu nambie walikuwa hawana njia au ? we ndo uongeze elimu.

Andiko linasema. WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA SIO KWA KUKOSA ELIMU. CHANGAMKA BADO WE MTUMWA
 
Kabla ya uisalam watu waliabudu .hata kabla ya yesu au ISSA bin mariamu watu walikuwa wakiabudu.

👉 Qur'an inasema waliowatangulia walifunga so fungeni. Kwahiyo unaona hata hii funga sio kwasababu ya dini ilikuwepo.

Bible. Yesu akuwa na dini na yesu aliwasihi watu kumcha mungu akusema wafuate dini.

👤 Mwanzilishi wa dini ni Binadamu.... kama binadamu aliyegundua pesa.

Masuala ya imani sio hoja.. sema bila kuchangamsha akili + maarifa utabaki kuwa mtumwa.
Kabla ya Uislam ni lini?

Unajuwa maana ya neno "Uislam " au unakurupuka tu?
 
Kabla ya uisalam watu waliabudu .hata kabla ya yesu au ISSA bin mariamu watu walikuwa wakiabudu.

👉 Qur'an inasema waliowatangulia walifunga so fungeni. Kwahiyo unaona hata hii funga sio kwasababu ya dini ilikuwepo.

Bible. Yesu akuwa na dini na yesu aliwasihi watu kumcha mungu akusema wafuate dini.

👤 Mwanzilishi wa dini ni Binadamu.... kama binadamu aliyegundua pesa.

Masuala ya imani sio hoja.. sema bila kuchangamsha akili + maarifa utabaki kuwa mtumwa.
Waliotangulia ni watu ambao walikuwepo kabla ya Mtume Muhammad (Sala na amani ziwe juu yake) na Mtume Muhammad amekuja katika njia ya uislamu ambao mlolongo wake ni tokea mitume waliokuwepo kabla yake mpaka kufikia yeye ambaye ni Mtume wa mwisho katika orodha yao. Sasa umetumia kigezo kipi katika ufahamu mpaka ukaelewa kuwa hao waliofunga kabla ya Mtume Muhammad hawakuwa ni waislamu?

Endelea kujibu hoja

1. Thibitisha hoja yako

2. Huyo mwanzilishi ni nani?

3. Ibada ni nini?
 
Back
Top Bottom