Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Elimu yako ndogo sana we Dada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Elimu yako ndogo sana we Dada
Huna jipya.Elimu yako ndogo sana we Dada
UISLAM ULIKUWEPO KABLA YA MTUME MUHAMMADDini yako ya Uislam ilianza karne ya 7. Haikuwahi kuwepo kabla ya hapo.
Huu ni ukweli mchungu ambao you have to swallow it.
Hakuna maandishi yoyote YA KABLA YA MOHAMAD yanayothibitisha uwepo wa Uislam. HAYAPO.
Narudia tena, HAYAPO. Kama yapo YAWEKE HAPA.
Lete ya mtume Mohammad .UISLAM ULIKUWEPO KABLA YA MTUME MUHAMMAD
NGUZO ZA UISLAM
1) KUAMINI MUNGU NI MMOJA TU
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
Yesu alikuwa muislam ndio maana hapo anashuhudia kuwa Mungu ni mmoja na yeye ametumwa na huyo Mungu mmoja
2) KUSALI KWA KUSUJUDU / paji la uso kugusa aridhi
Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Yesu hapo anaomba huku paji lake la uso likiwa limegusa aridhi Yani amesujudu
2 Mambo ya Nyakati 7:3
[3]Wakatazama wana wa Israeli wote, uliposhuka ule moto, utukufu wa BWANA ulipokuwapo juu ya nyumba; wakasujudu kifulifuli hata nchi sakafuni, wakaabudu, wakamshukuru BWANA, wakisema, Kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake ni za milele.
3) KUTOA ZAKA
Hi Haina ubishi Kila mtu anaijua
4) KUFUNGA SAUMU
Yeremia 36:9
[9]Basi, ikawa katika mwaka wa tano wa Yehoyakimu, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, katika mwezi wa kenda, watu wote waliokuwa katika Yerusalemu, na watu wote waliokuja Yerusalemu kutoka miji yote ya Yuda, wakapiga mbiu ya kufunga mbele za BWANA.
Yoeli 1:14
[14]Takaseni saumu, iteni kusanyiko la dini,
Wazee na wakusanye wenyeji wote wa nchi;
Waende nyumbani kwa BWANA, Mungu wenu,
Na kumlilia BWANA,
5) KUHIJI / KIBLA Kwa Sasa kibla ni msikiti wa maka waislam wote duniani wanapofanya ibada wanatakiwa waangalie huko na wenye uwezo waende huko
Waislam wa zamani pia walikuwa wanaenda hija walipo chaguliwa na Mungu
Kumbukumbu la Torati 12: Lakini mahali atakapochagua BWANA, Mungu wenu, katika kabila zenu zote, apaweke jina lake, maana, ni makao yake, elekezeni nyuso zenu hapo, nawe wende huko;
[6]pelekeni huko sadaka zenu za kuteketezwa, na dhabihu zenu, na zaka zenu, na sadaka ya kuinuliwa ya mikono yenu, na nadhiri zenu, na sadaka zenu za hiari, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yenu ya ng’ombe na ya kondoo;
HIZI NI NGUZO 5 ZA UISLAM NDANI YA BIBILIA
NITARUDI TENA KUJA KUKUONYESHA MTUME MUHAMMAD NDANI YA BIBILIA
Hahahaha...UISLAM ULIKUWEPO KABLA YA MTUME MUHAMMAD

Sijaona uislamu hapa. Haya ni matendo ambayo yalikuwepo sa wapi pameandikwa uislam . Dini ya uislam na waislamu vitu tofauti kabisa 😁😁😁Hahahaha...
Leo hii Biblia imekuwa reliable source ya kutetea Uislam. Wonders shall never end.
Unatetea Uislam kupitia Biblia usiyoiamini (ambayo mnadai imechakachuliwa).
Hayo maneno uliyonukuu kutoka kwenye Biblia wewe unayaamini?Hayajachakachuliwa?
Wewe unaiamini huiamini?Hahahaha...
Leo hii Biblia imekuwa reliable source ya kutetea Uislam. Wonders shall never end.
Unatetea Uislam kupitia Biblia usiyoiamini (ambayo mnadai imechakachuliwa). Si huwa mnadai Biblia imechakachuliwa nyie!!!
Hayo maneno uliyonukuu kutoka kwenye Biblia wewe unayaamini?
Hiyo Biblia uliyonkukuu hapo, Haijachakachuliwa?
Wewe umeoneshwa hapo Uislam upo kabla ya Mtume Muhammad, Sala Allahu alayhi Wasalaam.Lete ya mtume Mohammad .
Haya ni matendo ya watu wa kipindi hicho. We muislamu uliyesoma bible.
Uislam unamtowa mtu kizani na kumuweka kwenye nuru.Naona migambo wa bwana Mudi mnaruka na kukanyagana. Kumbe hii dini nayo inajichanganya tuu
Kati ya wewe na mtoa uzi nani yupo gizani? Maana naona hamuongei lugha moja japo wote ni waislamUislam unamtowa mtu kizani na kumuweka kwenye nuru.
Huo ni mtazamo wako, kwa mtazamo wangu mleta mada siyo Muislam. Nini kilichokufanya ukadhani kuwa mleta mada ni Muislam? Jina pekee halimfanyi mtu kuwa wa dini fulani.Kati ya wewe na mtoa uzi nani yupo gizani? Maana naona hamuongei lugha moja japo wote ni waislam
Duniani kuna aina 2 za ibada,kumuabudu shetena na kumuabudu mungu watu wako makundi hayo 2 hao watu unao wasema walikuwa wamuabudu nnMwanzilishi wa Dini ya ukristo na uisalam ni mtu mmoja tena ni kwa lengo la utawala na biashara, hakuna cha ziada kuhusu uisalam na ukristo.
Maandiko na dini ni vitu viwili tofauti.
Sa kama unalijua hilo mbona unapaniki... kwahiyo tusihoji maana kuna mambo yanafanyika kwenye uislamu ila maandiko hayajasema hivo. QUR'AN Ni mwongozo wa uislamu ila yanafuatwa yaliyomo kwa Quran? Acha kuteseka..... Mwenyezi Mungu anasema watu wangu wanaangamia kwa ukosefu wa maarifa sio ukosefu wa elimu.Huo ni mtazamo wako, kwa mtazamo wangu mleta mada siyo Muislam. Nini kilichokufanya ukadhani kuwa mleta mada ni Muislam? Jina pekee halimfanyi mtu kuwa wa dini fulani.
Uislam na "Muislam" ni vitu viwili tofauti. Unachotakiwa kukifata ni Uislam siyo Muislam.
Watu wanakula EMBE lililowekwa KIKAPUNI,alafu wewe unalazimisha kuwa watu wanakula KIKAPU![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha...
Leo hii Biblia imekuwa reliable source ya kutetea Uislam. Wonders shall never end.
Unatetea Uislam kupitia Biblia usiyoiamini (ambayo mnadai imechakachuliwa). Si huwa mnadai Biblia imechakachuliwa nyie!!!
Hayo maneno uliyonukuu kutoka kwenye Biblia wewe unayaamini?
Hiyo Biblia uliyonkukuu hapo, Haijachakachuliwa?
Zile ibada zilikuwa zinafika straight kwa Mungu. Mvua hiyo. Now TUPO km vichaa tumepoteza connection Ile muhimu sanaHizi dini ziliharibu Ibada zetu, mf. Wakati wa ukame wazee wanaongoza Ibada na mvua inanyesha. Leo tumia Bible, piga magoti mpaka yachubuke huoni tone la mvua, sio jadi yetu, tulipokea mapokeo ambayo hatuyajui. Big up kwa Ibada zetu za jadi.