Kwahiyo kule ambako hakuna karafuu Wala meno ya tembo uislamu ulifuata nini
Mada za dini zimekuwa nyingi na hazina mvuto. Wachangiaji wao nao ni watu wa kawaida kabisa kimaarifa. Pamoja na kashifa hizi na kejeli ndogondogo hizi naomba nichangie jambo.
kulingana na mtaalamu mmoja wa sayansi jamii aliyewahi kusoma dini kama tamaduni ya binadam aliwahi kusema kwamba mwanadam Ana mlolongo wa dini (steji takribani 5) ataanza na animism yani yule ambae hajui chochote kuhusu mungu. Atakuja fetishism, Yan yule anaeamini katika vitu asili na mizimu Yan anaabudu katika miti, majabali makubwa nk. Atakuja steji ya tatu ya polytheism, Yan watakuwa na imani juu ya uwepo wa MI-ungu (zaidi ya 1) steji hii ni Ile ya dini za wahindi kama hindu wenye miungu mi3, na pia ilipitiwa na dini za ustaarabu wa misri. Steji ya 4 ni monotheism yani mungu mmoja, hii steji ndo zilizaliwa dini ya uislam na ukristo. Na pia inafikiriwa steji ya mwisho ya atheism, hawa wasio amini uwezo wa mungu na uwepo wake. Hapa wengi ni watu wanao amini sayansi
IKUMBUKWE msomi huyu pia aliwahi kusema kwamba kila steji ambayo mwanadam atapitia kwenda steji nyingine ataacha mabaki/watu watakaokomaa na steji Ile aliytoka.
Cha kuzingatia: Kwa wanaojua steji za mabadiliko ya mwanadam, viashiria vya mwanadam kuanza kuamini /kuwa na dini vilikutwa katika masalia ya yule