Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
- Thread starter
- #61
Faiza.. saumu naona imekaza. Mungu yupo Msikitini au kanisani? ๐๐๐"Mungu" wako unaemuongelea ni yupi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faiza.. saumu naona imekaza. Mungu yupo Msikitini au kanisani? ๐๐๐"Mungu" wako unaemuongelea ni yupi?
Alieniumba mimi.........kama una swali lingine uliza"Mungu" wako unaemuongelea ni yupi?
Mi nimekuuliza huyu mtu ni nani unaleta swali lisilo eleweka. Na effect ya dini kwenye imani potofu ni kubwa sana. Watu waliishi kwa imani za ajabu sana miaka ya nyuma. Waliamini kafara na njia zingine za ajabu katika maisha. Mfano mdogo ni namna watu wa Amerika kusini walivyokua wakiishi, nadhani umeshaona kwenye filamu ya Apocalypto, kama bado itafute. Dini zimesaidia sanaJibu. Dunia tangia iumbwe ni miaka 2023? ukinijibu utakuwa ushapata jibu.
Dini unajua maana ya dini au ? (DINI NI MWONGOZO AU NJIA)
.AFRIKA TULIKUWA NA MWONGOZO WETU SIO WOTE WALIKUWA NA IMANI ZA KISHIRIKINA. KAMA BASI UISALAM UMEKUJA KUONDOA USHIRIKINA NA IMANI POTOFU IMANI HIZO ZIMEISHA?
kwanza futa hiyo dhaifu. Kozi nawe unasema kitu ambacho huna uhakika nacho (Kama unavyoamni) mada inayojadiliwa unaelewa au unakuja na yako...very weak reasoning ๐๐๐๐
waliotangulia means ni kaumu (ummah) jamii za enzi yaani vizazi vilivyotangulia ..Jaalie leo ni mwaka 2023 ni 100% kwa watu walizaliwa kabla ya 1000's hawapo wote means ni kizazi kilichopita ni nadra sanaa kukuta hata binadamu wa sasa ana umri wa miaka 200 tu .
Nina maana kuna zama zinapita kila kizazi kinahang katika miaka fulani then kinapotea wanakuja wengine...Tambuq hizo ni zama na palikuwa na mitume kila zama kutokana na life expectancy yao nao wakafa na kizazi kikapotea basi nikaja kingine ndo ivyo mpaka hiki cha mwisho chini Ya Muhamad kama mtume kwa waislamu tunavyoamin
Dini nini?Ni wapi asili ya neno hilo Dini?Katika asili yake neno Dini linamaana ipi kiswahili?Kabla ya uisalam watu waliabudu .hata kabla ya yesu au ISSA bin mariamu watu walikuwa wakiabudu.
[emoji117] Qur'an inasema waliowatangulia walifunga so fungeni. Kwahiyo unaona hata hii funga sio kwasababu ya dini ilikuwepo.
Bible. Yesu akuwa na dini na yesu aliwasihi watu kumcha mungu akusema wafuate dini.
[emoji185] Mwanzilishi wa dini ni Binadamu.... kama binadamu aliyegundua pesa.
Masuala ya imani sio hoja.. sema bila kuchangamsha akili + maarifa utabaki kuwa mtumwa.
Eti filamu maarifa yako madogo sana. Endelea kukaza kichwa siku ukiijua kweli utafurahi. Kafara gani walifanya.Mi nimekuuliza huyu mtu ni nani unaleta swali lisilo eleweka. Na effect ya dini kwenye imani potofu ni kubwa sana. Watu waliishi kwa imani za ajabu sana miaka ya nyuma. Waliamini kafara na njia zingine za ajabu katika maisha. Mfano mdogo ni namna watu wa Amerika kusini walivyokua wakiishi, nadhani umeshaona kwenye filamu ya Apocalypto, kama bado itafute. Dini zimesaidia sana
Mwongozo au NjiaDini nini?Ni wapi asili ya neno hilo Dini?Katika asili yake neno Dini linamaana ipi kiswahili?
Sasa hivi ukatiri upo au haupo? Ustaarabu upo au haupo na dini zipo au hazipo?Lengo la kuwepo dini, lilikuwa ni kuimarisha ustaarabu wa kidunia kwa kuwajengea hofu watu kwa sababu miaka ya nyuma kulikuwa na unyama au ukatili mkubwa kimauaji, ingawa wapo waliotumia kibiashara pia.
Nitajie mtume mmoja ambae ni mweusi katika hiyo orodha yako. Mnadanganywa sana kupitia dini, na kwa sababu mmedangangwa kwa njia ya imani basi mko tayari kuua ndugu zenu kwa kisingizio cha kulinda dini. Ukristo na uislam zote ni dini za kibinadamu, sio dini za Mungu. Dini ni moja tu inayotambulika na Mungu, nayo ni kutenda mema na kusaidia wale wasiojiweza na kuliitia jina lake MUNGU, basi. Mengine ni mbwembwe zenu tu ambazo hazina maana.Waliotangulia ni watu ambao walikuwepo kabla ya Mtume Muhammad (Sala na amani ziwe juu yake) na Mtume Muhammad amekuja katika njia ya uislamu ambao mlolongo wake ni tokea mitume waliokuwepo kabla yake mpaka kufikia yeye ambaye ni Mtume wa mwisho katika orodha yao. Sasa umetumia kigezo kipi katika ufahamu mpaka ukaelewa kuwa hao waliofunga kabla ya Mtume Muhammad hawakuwa ni waislamu?
Endelea kujibu hoja
1. Thibitisha hoja yako
2. Huyo mwanzilishi ni nani?
3. Ibada ni nini?
Sasa hivi ukatiri upo au haupo? Ustaarabu upo au haupo na dini zipo au hazipo?
Kwahiyo unakubali kuwa dini hizi mbili zilikuja kwa sababu ya utawala na biashara
Dhaifu wakati hoja yako ni dhaifu sana tena huwezi kuongea mbele ya watu wenye akilikwanza futa hiyo dhaifu. Kozi nawe unasema kitu ambacho huna uhakika nacho (Kama unavyoamni) mada inayojadiliwa unaelewa au unakuja na yako...
Nani amekufundisha kuwa jina la mwabudiwa wako kuwa ni Mungu?Nitajie mtume mmoja ambae ni mweusi katika hiyo orodha yako. Mnadanganywa sana kupitia dini, na kwa sababu mmedangangwa kwa njia ya imani basi mko tayari kuua ndugu zenu kwa kisingizio cha kulinda dini. Ukristo na uislam zote ni dini za kibinadamu, sio dini za Mungu. Dini ni moja tu inayotambulika na Mungu, nayo ni kutenda mema na kusaidia wale wasiojiweza na kuliitia jina lake MUNGU, basi. Mengine ni mbwembwe zenu tu ambazo hazina maana.
Mimi sidanganyiki. Naamini katika Mungu mmoja, Mungu wa haki na amani. Asie mbaguzi. Asiyesema kuwa bila kumfuata muhamad au Yesu basi huendi mbinguni. Nasisitiza kuna Mungu Mmoja tu wa Haki na Amani na Mungu hana dini.Nani amekufundisha kuwa jina la mwabudiwa wako kuwa ni Mungu?
Katika Imani ninayoifuata Mimi nawajua mitume Kwa majina Yao zaidi na Wala siwajui Kwa utaifa Wala ukabila wao zaidi.
Labda wewe niambie dini uliyojichagulia kuifuata ya kutenda mema na kuwasaidia wasiojiweza imeletwa na nani? Kupitia njia hiyo ya dini yako nadhani kulikuwa na Mtume mweusi na ndio maana umeshikamana nayo,je unaweza kutuambia Mtume wako mweusi alikuwa anaitwa nani? Au Kinjeketile Ngwale alikuwa ni Mtume wako?
Suala la wewe kujua majina ya mitume wako ni utumwa tu na hakuna maana yoyote. Funguka kijana, badili tabia na acheni kutisha watu.Nani amekufundisha kuwa jina la mwabudiwa wako kuwa ni Mungu?
Katika Imani ninayoifuata Mimi nawajua mitume Kwa majina Yao zaidi na Wala siwajui Kwa utaifa Wala ukabila wao zaidi.
Labda wewe niambie dini uliyojichagulia kuifuata ya kutenda mema na kuwasaidia wasiojiweza imeletwa na nani? Kupitia njia hiyo ya dini yako nadhani kulikuwa na Mtume mweusi na ndio maana umeshikamana nayo,je unaweza kutuambia Mtume wako mweusi alikuwa anaitwa nani? Au Kinjeketile Ngwale alikuwa ni Mtume wako?
Kwahiyo hoja zangu haujaziona au hazijibiki?Suala la wewe kujua majina ya mitume wako ni utumwa tu na hakuna maana yoyote. Funguka kijana, badili tabia na acheni kutisha watu.
Sahihi kama ulizaliwa unajua uko sahihi. Kama unakubali ushoga kwakuwa unapata chochote kitu me nikiupinga lazima unione mwenda wazimu ๐Dhaifu wakati hoja yako ni dhaifu sana tena huwezi kuongea mbele ya watu wenye akili
Amen . UbarikiweNitajie mtume mmoja ambae ni mweusi katika hiyo orodha yako. Mnadanganywa sana kupitia dini, na kwa sababu mmedangangwa kwa njia ya imani basi mko tayari kuua ndugu zenu kwa kisingizio cha kulinda dini. Ukristo na uislam zote ni dini za kibinadamu, sio dini za Mungu. Dini ni moja tu inayotambulika na Mungu, nayo ni kutenda mema na kusaidia wale wasiojiweza na kuliitia jina lake MUNGU, basi. Mengine ni mbwembwe zenu tu ambazo hazina maana.
naona hauna hoja unaleta mifano haipo kabisa..sijalazimisha ila nimejibu kama hukubali basi haina haja ni free kuamini au kutoamini.Sahihi kama ulizaliwa unajua uko sahihi. Kama unakubali ushoga kwakuwa unapata chochote kitu me nikiupinga lazima unione mwenda wazimu ๐
๐ Living stone akasemaje? Hakuna aliyekomesha utumwa afrika tofauti na Mwaafrika mmoja aliyekuwa anahishi marekani mwisho wake nae aliuawawaUkatili upo ingawa si kama wa miaka hiyo ya kale, pia ustaarabu umeongezeka ingawa si wote ni wastaarabu; lakini pia dini imewezesha watu kutawaliwa na kufanikisha malengo ya watu wengine kiuchumi.
Dr Livingstone alieneza imani ya kikiristu ukanda wa huku kwetu lengo ni kupingana na biashara ya utumwa iliyokuwa ikifanywa na waarabu, kwa kuwaambia hii ni dhambi; lakini kwa upande mwingine wao wakifanya yao katika kuwanyonya hawa waafrika.
Kwa hiyo, dini zililetwa ili kutimiza malengo ya watu kwa kuwajengea watu hofu; na ukishakuwa na hofu ni rahisi kutawaliwa na mambo mengine kuendelea.
Miaka ijayo, hizi dini zote zitapotea; kwa sababu wengi wataanza kujua ukweli.